Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Talk show yake ipo ki-local local, hamna u-professionalism hata chembe
It's a work in progress...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Talk show yake ipo ki-local local, hamna u-professionalism hata chembe
It's a work in progress...
View attachment 48787
Mtangazaji Mashuhuri wa Kipindi cha Wanawake Live Bi Joyce Kiria leo 0603012 ameweka bayana kiwango chake cha elimu na kusema kwamba licha ya kwamba ameishia darasa la saba tu lakini ni mwanamke anayeweza kujivunia kwa mafanikio aliyonayo hadi sasa kwa kuweza kumiliki kampuni mbili ikiwemo ya Local Media Entertainment, ameyazungumza hayo na kuishia kububujikwa machozi wakati wa maadhimisho ya kuelekea siku ya mwanamke duniani aliyoandaliwa na WiLDAF katika ukumbi wa Karimjee (mtoa makala alikua shuhuda) na kusema kwamba mfumo wa elimu uliopo sasa unamkwamisha kuendeleza kipaji chake......
Ajitahidi zaidi asijione kafika...
Talk show yake ipo ki-local local, hamna u-professionalism hata chembe
Mkuu unaweza kunitajia show mbili tatu za kibongo hosted na wanawake zenye u-professionalism unaouzungumzia?!
Mkuu unaweza kunitajia show mbili tatu za kibongo hosted na wanawake zenye u-professionalism unaouzungumzia?!
Kwa vile ndo tu ameanza mimi sioni huo u-professionalism kuwa kama ni ishu kubwa kihivyo. Hata talk show queen Oprah wakati anaanza ile miaka ya 80 show zake hazikuwa kama zike za miaka ya 2000!
She will improve as time goes on, hopefully.
Mkuu hata kwenye vibovu kuna vyenye afadhali, Joyce kaanza kutangaza lini kulinganisha na Salam J ambaye yupo kitambo sana..Kama alivyosema NN ni swala la kumpa muda tu.Kwa hiyo kama wote wanaboronga
ndio tumpambe?
Salama Jabir ni afadhali
Tatizo letu Watanzania tupo mbele mno kurudishana nyuma, badala tumpe mtu moyo mtu aliyethubutu kufanya kitu ili ajitahidi kufanya vizuri tunaishia kuponda bila kutoa solution.
Namkubali Joyce Kiria nimemuona kwenye porogrammes za African Magic. Kuhusu kusoma asijali kwani hata kina Bill Gates,Winston Churchill, Steve Jobs hawakuwa na vyeti vya University. Cha muhimu ni upeo upeo ulionao na jinsi jamii inavyopokea mchango wako. Ila ukitaka kusoma bado una chance kwani waweza kujiandikisha QT ukapata "O" level credits then una sit private candidate exam ya Form VI. Therefter ukipata eligibility ya university waweza kuwa graduate by 2017. Na nakuhakikishia ukifika hapo utakuwa juu sana. Hata Tyra Banks amegraduate mwaka 2012 na degree ya Havard baada ya kufanya talk shows na modelling kwa miaka zaidi ya 15. Wake up Joyce and do it!! Kumbuka kuwa "What a woman has done, a woman can do"
ulitaka iwe vipi?Talk show yake ipo ki-local local, hamna u-professionalism hata chembe
ru lesbo?Kwa hiyo kama wote wanaboronga ndio tumpambe?
Salama Jabir ni afadhali
ulitaka iwe vipi?
Ajitahidi zaidi asijione kafika...
nanihuyo?Opinions are like ass-holes....
nanihuyo?
It's a work in progress...
Ilimu muhimu sana! Kuwa na kampuni hata mia haikufanyi uwe na upeo. UPEO unaletwa na ELIMU. Tusitanie ndo maana ana inferiority. Shule kwanza na pesa baadaye.