Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

Mtangazaji wa East Africa Tv Joyce Kiria amemtambulisha Mpenzi wake mpya.

Mtangazaji huyo amedai Mpenzi wake huyu mpya ni mchagga na wamefahamiana kabla hajaingia kwenye ndoa zake zote mbili.
Mchagga huyo anaisha Ugaibuni Ulaya Taarifa yake imeeleza

"Jamani msipotoshe watu …. Ebu tuelewane hapa…. Nilipost siku chache leo Narudia tena sehemu hii ya utambulisho wa shemeji yenu…

Shemeji yenu anaitwa Aaron, ni mtanzania mchaga, ana watoto wawili wa kike 14yrs na 6yrs, ni mtalaka, anaishi Uingereza, tunafahamiana zaidi ya miaka 20 iliyopita, ni kabla kabisa sijaolewa ndoa hata moja… huyu ndo shem wenu wa kwanza, alienda zake kuishi huko majuu akaendelea na maisha yake na mimi nilibaki bongo Naendelea na maisha yangu, tulipokutana this time kila mmoja yuko singo ndo tukatudisha mapenzi yetu [emoji12] MPO? [emoji2368]

Haya Kazi Iendelee nawapenda sana [emoji8]
Wana JF ikumbukwe huyu dada alikuwa akihamasisha wanawake wawe huru kwa waume zao na ikiwezekana waachane na mabwana zao kwa Talaka kwakuwa u single mother ni "kuinjoy life"

Ajabu leo amemrudia Ex wa miaka ishirini nyuma.
View attachment 2040559
Usingle maza mchezo bwana wewe....wanaruka tuu lakini ukweli ni kwamba wanahitaji mwanaume ndani ya nyumba
 
Huyu dada ni zero brain kabisa! Halafu kutwa nzima kushawishi wanawake wenzake wavunje ndoa zao! Mara ohhh kua single ni raha kweli! Hii inaonyesha kabisa hata kipindi akiwa na Nelly na Kiliwo,bado alikua anatoka na huyu jamaa yake! Wanawake lakini,Mungu anawaona
Huyu kahaba ni darasa la saba B, halafu alikuja mjini kufanyakazi ya beki tatu.

Nilitegemea kwa background yake awe ni mwanamke mwenye akili, lakini bahati mbaya kichwani hamna kitu.
 
Kwa hiyo Joyce Kiria kaona huyu ndio bora zaidi kuliko wale wengine wawili wa mwanzo waliomuoa na kumuacha?
Dah! Kweli mwanamke mpumbavu ni mzigo kwa mama yake.

Yaani kwa picha tu huyo jamaa anaonekana sio 'mwanaume', na hata kama ni 'mwanaume' kweli lakini sio mwanaume wa kuoa mwanamke, na hata kama ni mwanaume wa kuoa mwanamke basi hatoshei kabisa kuoa single mother iliyozeeka kama Joyce Kiria.
Haa
Yaani Alikuwa Na Mitala Wakati Wote Akingoja Reserves Waingie
Nilijua Wanaume Tu Kumbe Sasa Ndiyo Nyundo Inagonga Ugoko

Baadaye Tena Kwa DC, Tumetoka Mbali Tunakwenda Mbali
 
Back
Top Bottom