Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

Yani ni aibu tupu Sasa kulana denda hadharani ni ujinga jamani, kwanza kibongo bongo ni uhuni tu, aachie mengine wazungu hafu eti mwanaharakati huku naye anatafta kiki ka za kina diamond huyu atapotea mazima, angekuwaga na shule kidogo Joyce kiria angekuwa mbali sana tofauti na alipo the more ana grow ndio anazidi kuwa mjinga aisee. Nawahurumia watoto angempa baba yao tu
Haa!!!
Ametusua Anaolewa Sasa Hivi
 
Kubwa Zaidi Nimeona Joyce Kiria Ame Log in Anafuatilia Thread Hii
Safi Sana Sana x 100
 
Haya makiki ya mapenzi yatamfanya aonekane malaya tu anayeharibu jamii, acheck wasanii waliozea kiki za kimapenzi sikuhizi watu wamewapuuza, ndoa ya tatu hii ina maana wanaume wote walikuwa wabaya na yeye malaika, Joyce a ahitaji mwanaume timamu wa kumu guide aache ujinga, she is old enough to act childish, sema umaarufu na kuweza kulipa bills Kuna mfanya ajione mkubwa
Kama atabwagana na jamaa, waTanzania watakuwa wamejifunza kitu kwamba yeye ndiyo mwenye tatizo ingawa ni public figure.
Lakini kwa ninavyoona huyu Dada hajajitambua licha ya umri. Makosa mengi fanya kwenye twenties, ukifika thirties kunakuwa hakuna jipya zaidi ya kutumia hekima.
 
Huyu dada ni zero brain kabisa! Halafu kutwa nzima kushawishi wanawake wenzake wavunje ndoa zao! Mara ohhh kua single ni raha kweli! Hii inaonyesha kabisa hata kipindi akiwa na Nelly na Kiliwo,bado alikua anatoka na huyu jamaa yake! Wanawake lakini,Mungu anawaona
Anawaponza wenziwe Joyce umaarufu umemzidi akili huyo Sasa huyu mwanaume wa tatu ina maana wote ni wabaya kwake aisee, hafu kasema huyu bwana eti alimtoa bikra na yeye ame divorce mkewe so wanalea it seems Hawa hawakuwa waaminifu kwa ndoa
 
Back
Top Bottom