Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

Huyu sindio aliekua anawahamasisha wakezetu waachike ili waenjoy life ya usingo maza...[emoji53][emoji44]
Alafu sindio huyu aliyekua anawasisitiza wake zetu waachike, then sijui nawao tutarudiana after 20 good years...[emoji848][emoji849]
Simpendi huyu mwanamke anaharibu sanaakili z wle wnwke wanaoshikiwa akili zao
 
Ila wanaume na sisi siku hizi tunachukuaga mitakataka

No wonder tunakufa mapema kuliko baba zetu
 
Hahahaaha huyu bibie ni pasua kichwa,si Ndio huyu alifanya ex wake enzi zile bwana Kilewo kujianzishia thread ya kujisifia kua harusi Yao ilifana kweli kweli!
Bongo nyosso!
😁😁😁😁
 
Go straight mkuu,,, unawachukulia mchele mchele...

Watu sampuli hio wengi ni mabwabwa... Wanaume tunaongezewa sana mizigo siku hizi,,Dada mchunge mmeo.
Yaani mzigo mzito tunapewa wenzetu wapo jela timu imezidiwa khalafu kuna majitu linapigwa kadi nyekundu kijinga tu kisha linakwenda timu pinzani
 
Huyu sindio aliekua anawahamasisha wakezetu waachike ili waenjoy life ya usingo maza...[emoji53][emoji44]
Alafu sindio huyu aliyekua anawasisitiza wake zetu waachike, then sijui nawao tutarudiana after 20 good years...[emoji848][emoji849]
Feminist huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ukiangalia kwa jicho la ndani sana wale wanaojifanya mafeminist sana huwa wanashida sehemu either awe mwanamke au mwanamke
Feminists wote wana matatizo ya kisaikolojia

Na wengi wamenagukia humo kutokana na kufeli kimahusiano

Wengine wako kiupigaji zaidi hasa hawa wenye ma NGO ili wapate donation kutoka majuu
 
Kwenye picha huyo Joyce kiria ndio yupi? yupo upande wa kushoto au kulia ?🐒
 
Feminists wote wana matatizo ya kisaikolojia

Na wengi wamenagukia humo kutokana na kufeli kimahusiano

Wengine wako kiupigaji zaidi hasa hawa wenye ma NGO ili wapate donation kutoka majuu
Refer Flaviani Matata
 
KWENYE BIASHARANA NA UJASILIAMALI WALIMU WETU NI WAFANYA BIASHARA WALIO FANIKIWA

KWENYE NDOA NA MAHUSIANO YA LEO WALIMU WETU NII WALE WALIOSHINDWA
 
Mtangazaji wa East Africa Tv Joyce Kiria amemtambulisha Mpenzi wake mpya.

Mtangazaji huyo amedai Mpenzi wake huyu mpya ni mchagga na wamefahamiana kabla hajaingia kwenye ndoa zake zote mbili.
Mchagga huyo anaisha Ugaibuni Ulaya Taarifa yake imeeleza

"Jamani msipotoshe watu. Ebu tuelewane hapa. Nilipost siku chache leo Narudia tena sehemu hii ya utambulisho wa shemeji yenu…

Shemeji yenu anaitwa Aaron, ni mtanzania mchaga, ana watoto wawili wa kike 14yrs na 6yrs, ni mtalaka, anaishi Uingereza, tunafahamiana zaidi ya miaka 20 iliyopita, ni kabla kabisa sijaolewa ndoa hata moja… huyu ndo shem wenu wa kwanza, alienda zake kuishi huko majuu akaendelea na maisha yake na mimi nilibaki bongo Naendelea na maisha yangu, tulipokutana this time kila mmoja yuko singo ndo tukatudisha mapenzi yetu [emoji12] MPO? [emoji2368]

Haya Kazi Iendelee nawapenda sana [emoji8]

Wana JF ikumbukwe huyu dada alikuwa akihamasisha wanawake wawe huru kwa waume zao na ikiwezekana waachane na mabwana zao kwa Talaka kwakuwa u single mother ni "kuinjoy life"

Ajabu leo amemrudia Ex wa miaka ishirini nyuma.

View attachment 2040559
WAPENZI WA JINSIA MOJA HAWA
 
Huyu mkibosho ni kilaza hata huyo kaka sijui ni WA uru kishimundu huko na mambo yao
Huyo mkaka ni mchaga wa marangu ukoo wao ni kyara. Amekulia ilala mchikichini ktk kanisa la kilokole,baba yake alikuwa mchungaji wa hilo kanisa sasa ni marehem.
 
Back
Top Bottom