Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

Wanasiasa muungeni huyu dada mkono maana kwenye kampeni zenu aliwaunga mkono kweli kweli
 
Fanya basi wewe tukuone.

watu wengine wanaboa kweli kweli yaani wanaweza hata kukuwekea sumu, yaani hataki kusikia mwenzake akisifiwa kwa kazi anayoifanya. tutamsifu yule anayefanya kitu chenye maslahi kwa jamii na huwo ndiyo mpango mzima, joyce hongera zako mamyyyyy.
 

atuwekee picha zake basi ili tumwone alivyopendeza
 
uyo md uyo si mwanamke wanawake hawako kama yeye
 
this lady huwa namwonea huruma sana, ana hasira za kuachika ndio maana maisha yake yote na vipindi vyake vyote huwa anafanya kwa kushindana.

angalia, majuzi alivyosikia mume wake halali ameoa, yeye mbio akaponda kwenye kipindi chake kuwa anafunga ndoa ambayo hatapata raha yeye akakimbia huyo na kilewo wake kwenda kubariki ndoa lutheran ndoa ya kikristo ambayo haivunjiki. kwa kifupi ni kwamba anazini na ataendelea kuzini hadi motoni na kileo kwasababu ndoa ya kikristo haivunjiki, alichokiunganisha mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha. talaka inaruhusiwa lakini kibiblia hakutakiwa kuolewa tena, akioleta yeye na kileo anazini na wale watoto ni uzao wa uzinzi na wao iyo laana itawafuata hadi kizazi cha nne.

alipoenda kuchukua talaka, alikodi matarumbeta toka ubungo hadi magomeni akaenda kinondoni kwenda kuchukua talaka kwa matarumbeta, ulishawahi kumwona mwanadamu wa aina hiyo? hajawahi kutokea duniani, ndio type ya yule wmanamke na kileo naye karidhikaa anaona amefika sijui hajawahi kuwa na demu....jamaa yako aliisasambua ile sambusa na joyce miaka 8, anaigeuza juu na chini anaijua ladha za kila aina joyce akiwa amembetulia miaka 8. kileo ambaye mgeni wa mapenzi mbio huyo akaenda kuoa, mwanamke sio sura, ni tabia na papuchi. uyo dem nilishawahi kumlamba kipindi yuko na yule mtangazaji, yaani kileo hadi huwa namwonea huruma. ningekuwa mimi ningenyamaza kimyaa kwasababu watu wakitaka kumdiscuss uyo dem wako (uyo si mkeo kibible hajaachika) utalia machozi kwasababu dah....,

kipindi cha wanawake live ni kizuri, lakini anachosambaza ni namna ya kuachika, na anaharibu sana wanawake akiwashauri waachike kama alivyoachika yeye kwasababu yeye ana uzoefu wa kuachika anafikiri wanawake wote wako kama yeye. yote anayoongea ni hasira za kuachika ikimaanisha bado ana mkumbuka mumewe halali wa ndoa (sio lile gwanda la ndoa ya boman, ile haitambuliki na mungu). kuna watu wengi walishampania kuna siku watamnyonya nya hakika, kwasababu kwanza anavyoact, anaingia ovyo kwenye nyumba za watu utafikiri yeye ana mamlaka yeyote kwenye nchi hii, upo kazini unashangaa joyce alishakuja nyumbani kwako, the next time akija anaweza kukutana na mkuki au unafungulia mbwa.
 
Mwanamama wa kichademaa hongera sanaa
 
Hivi ni kweli alikuwa nakugharamikia kila kitu kamanda ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…