Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

Kuna mtu mwaka 2014 alianzishaga thread, kisha akajiomba contact, akajipa, akashukuru sana, kisha mods wakaunganisha ID ikawa aibu!
Hiyo ndogo sasa! kuna njemba mwaka huo huo hapa JF alianzishaga uzi kuwa ana makalio makubwa yanayochezacheza, anayabana na taiti mbili lakini bado yanacheza. Mods wakaunganisha ID ikaonekana ni mwanaume maarufu sana hapa JF! aisee tulicheka sana.

Mkuu naomba nitag [emoji81][emoji81][emoji81]
Leo nataka kupata old skul za jf
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huo uzi wa makalio naukumbuka sema sikujua yaliyoendea

[emoji81][emoji81][emoji81] Aiseee!! Hebu samaraizi hiko kisa kidogo
 
Ya bujibuji ni afadhali hata kuanzia mwanzo humu ni kama comedian ,ila kilewo mtu na heshima zake kama kiongozi anakuja kujisifia humu na kutaka watu waige mfano

[emoji23][emoji23][emoji23] Kukosa kupita bila kupingwa, angekuwa mbunge wetu huyu anatuwakilisha mjengoni.!!
Na drama zake km hizi angefit sana
 
Kuna mtu mwaka 2014 alianzishaga thread, kisha akajiomba contact, akajipa, akashukuru sana, kisha mods wakaunganisha ID ikawa aibu!
Hiyo ndogo sasa! kuna njemba mwaka huo huo hapa JF alianzishaga uzi kuwa ana makalio makubwa yanayochezacheza, anayabana na taiti mbili lakini bado yanacheza. Mods wakaunganisha ID ikaonekana ni mwanaume maarufu sana hapa JF! aisee tulicheka sana.
Hahahahaaaaaaaaahaaaaaa
 
Yaan alikuwa anampigia mkewe promo..Kuna kipindi alikamatwa Joy alipambana sana lkn sijui ilikuwaje wakaachana ..shetani hupiga sana ndoa
 
Back
Top Bottom