Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

Ngoja tusubiri tuone huwo ujio wake wa kishindo maana tunahamu naye sana. Vipi anarudi kwenye luninga ile ile ama kabadili? Vipi kuhusu bongo movies maana amekaa kimya na kumeyumba sana, huyu wa cloud kazi yake kuiga tu hana jipya alilo lileta kwenye tasnia hii
Vitu vya kuchekesha hivi
 
Hapa akajifanya nae kavutiwa na wanandoa[emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_20201220-161319_1.jpg
 
Ngoja tusubiri tuone huwo ujio wake wa kishindo maana tunahamu naye sana. Vipi anarudi kwenye luninga ile ile ama kabadili? Vipi kuhusu bongo movies maana amekaa kimya na kumeyumba sana, huyu wa cloud kazi yake kuiga tu hana jipya alilo lileta kwenye tasnia hii
jamaa una maigizo sana....
 
Kuna mtu mwaka 2014 alianzishaga thread, kisha akajiomba contact, akajipa, akashukuru sana, kisha mods wakaunganisha ID ikawa aibu!
Hiyo ndogo sasa! kuna njemba mwaka huo huo hapa JF alianzishaga uzi kuwa ana makalio makubwa yanayochezacheza, anayabana na taiti mbili lakini bado yanacheza. Mods wakaunganisha ID ikaonekana ni mwanaume maarufu sana hapa JF! aisee tulicheka sana.
 
huyo dada habahatishi hata siku moja, na mkubali sana anajua anachokifanya yupo tofauti na wenzake wanaojiita mastaar. Anajichanganya kwenye kila kundi la jamii bila kujali ustaa wake.
Utakuwa bektatu ww....
manake hao ndio wanamkubali
 
Kuna mtu mwaka 2014 alianzishaga thread, kisha akajiomba contact, akajipa, akashukuru sana, kisha mods wakaunganisha ID ikawa aibu!
Hiyo ndogo sasa! kuna njemba mwaka huo huo hapa JF alianzishaga uzi kuwa ana makalio makubwa yanayochezacheza, anayabana na taiti mbili lakini bado yanacheza. Mods wakaunganisha ID ikaonekana ni mwanaume maarufu sana hapa JF! aisee tulicheka sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huo uzi wa makalio naukumbuka sema sikujua yaliyoendea
 
Kuna mtu mwaka 2014 alianzishaga thread, kisha akajiomba contact, akajipa, akashukuru sana, kisha mods wakaunganisha ID ikawa aibu!
Hiyo ndogo sasa! kuna njemba mwaka huo huo hapa JF alianzishaga uzi kuwa ana makalio makubwa yanayochezacheza, anayabana na taiti mbili lakini bado yanacheza. Mods wakaunganisha ID ikaonekana ni mwanaume maarufu sana hapa JF! aisee tulicheka sana.
Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom