Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

Mwenye makalio makubwa ni giLEsi ndiye aliyeanzisha uzi, baada ya ID kuunganishwa ikaonekana mwenye makalio makubwa ni bujibuji.

Watu mbakumbuku na mnafukua makaburiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenye makalio makubwa ni giLEsi ndiye aliyeanzisha uzi, baada ya ID kuunganishwa ikaonekana mwenye makalio makubwa ni bujibuji.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna mtu mwaka 2014 alianzishaga thread, kisha akajiomba contact, akajipa, akashukuru sana, kisha mods wakaunganisha ID ikawa aibu!
Hiyo ndogo sasa! kuna njemba mwaka huo huo hapa JF alianzishaga uzi kuwa ana makalio makubwa yanayochezacheza, anayabana na taiti mbili lakini bado yanacheza. Mods wakaunganisha ID ikaonekana ni mwanaume maarufu sana hapa JF! aisee tulicheka sana.
😅🤣😂
 
Mleta mada ndio mume / sijui alikuwa kwa hyo ulikuwa unajipa promo au sielewi elewi
 
yule dada mpambanaji alimaarufu Joyce kiria ambaye kwasasa ameolewa na kupata mtoto wa kiume. Anatarajiwa kurudi na ujio tofauti kabisa kwenye luninga moja wapo za bongo ukiachilia mbali vipindi vyake vinavyoruka kwenye DSTV, *nilibahatika kulonga na mwanadada huyo alipokuja hapa Arusha kumtembelea na kumpa hongera kamanda Lema mbunge wetu wa A- town, alikuwa ameongoza na mume wake, tulikutana maeneo ya magereza walipokuwa wameenda kumtembelea Godbless lema huku wakiwa wameambana na mke wa mbunge wetu yaani Neema lema,

Tulitaka kujua ujio wake utakuwaje: na mnukuu, NIimejipanga kurudi kimapinduzi zaidi ilikumkomboa mwanamke katika mfumo dume, pili natarajia kujatofauti kabisa, naombeni muniunge mkono maana bila nyie sitoweza kufika ninapotaka kufika na kuwafikisha wanawake wenzangu.


Tukamuomba angalau picha za ujio wake mpya, akatutumia naweka moja kwanza.View attachment 41068
Haya njoo umuone bulaza wako amepata nafasi ya kumuhoji mke wake na kuomba picha 😂😂😂😂
Hope urassa nikisema kaka zako wanazingua wachinjwe xmas unamind umeona hii?? 😹
 
Kweli fake id zinaficha mengi.

Yaani mm naweza anzisha uzi wa kusifia makande ya mpishi wa mgahawa B kumbe mm ndo mpishi wa mgahawa.
 
Jamaa kumbe alikuja kumsifia mke wake huku ,ID imemwumbua aisee ,sasa njoo na ID nyingine umponde

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Moja kwa moja MBILI
 
Back
Top Bottom