Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

Vitu vya kuchekesha hivi
 
jamaa una maigizo sana....
 
Kuna mtu mwaka 2014 alianzishaga thread, kisha akajiomba contact, akajipa, akashukuru sana, kisha mods wakaunganisha ID ikawa aibu!
Hiyo ndogo sasa! kuna njemba mwaka huo huo hapa JF alianzishaga uzi kuwa ana makalio makubwa yanayochezacheza, anayabana na taiti mbili lakini bado yanacheza. Mods wakaunganisha ID ikaonekana ni mwanaume maarufu sana hapa JF! aisee tulicheka sana.
 
huyo dada habahatishi hata siku moja, na mkubali sana anajua anachokifanya yupo tofauti na wenzake wanaojiita mastaar. Anajichanganya kwenye kila kundi la jamii bila kujali ustaa wake.
Utakuwa bektatu ww....
manake hao ndio wanamkubali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huo uzi wa makalio naukumbuka sema sikujua yaliyoendea
 
Ha ha ha ha
 
Mwenye makalio makubwa ni giLEsi ndiye aliyeanzisha uzi, baada ya ID kuunganishwa ikaonekana mwenye makalio makubwa ni bujibuji.
Ya bujibuji ni afadhali hata kuanzia mwanzo humu ni kama comedian ,ila kilewo mtu na heshima zake kama kiongozi anakuja kujisifia humu na kutaka watu waige mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…