Hapa akajifanya nae kavutiwa na wanandoa[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1655235
Kuna mtu mwaka 2014 alianzishaga thread, kisha akajiomba contact, akajipa, akashukuru sana, kisha mods wakaunganisha ID ikawa aibu!
Hiyo ndogo sasa! kuna njemba mwaka huo huo hapa JF alianzishaga uzi kuwa ana makalio makubwa yanayochezacheza, anayabana na taiti mbili lakini bado yanacheza. Mods wakaunganisha ID ikaonekana ni mwanaume maarufu sana hapa JF! aisee tulicheka sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo uzi wa makalio naukumbuka sema sikujua yaliyoendea
Hahaaaaa alijitahidi kuupamba huu uzi wake. JF sio ya kuiamini kabisa.[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Kajipa maua kitaalamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo uzi wa makalio naukumbuka sema sikujua yaliyoendea
Huyu kamanda nilipata kusikia, alitupiwa virago vyake kwasababu ya umariooo.
Mwenye makalio makubwa ni giLEsi ndiye aliyeanzisha uzi, baada ya ID kuunganishwa ikaonekana mwenye makalio makubwa ni bujibuji.
Ya bujibuji ni afadhali hata kuanzia mwanzo humu ni kama comedian ,ila kilewo mtu na heshima zake kama kiongozi anakuja kujisifia humu na kutaka watu waige mfano
Aisee lengo huwa ni nini?
Watu mbakumbuku na mnafukua makaburiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mleta mada ndio mume / sijui alikuwa kwa hyo ulikuwa unajipa promo au sielewi elewi
Hahaaaaa alijitahidi kuupamba huu uzi wake. JF sio ya kuiamini kabisa.
HahahahaaaaaaaaahaaaaaaKuna mtu mwaka 2014 alianzishaga thread, kisha akajiomba contact, akajipa, akashukuru sana, kisha mods wakaunganisha ID ikawa aibu!
Hiyo ndogo sasa! kuna njemba mwaka huo huo hapa JF alianzishaga uzi kuwa ana makalio makubwa yanayochezacheza, anayabana na taiti mbili lakini bado yanacheza. Mods wakaunganisha ID ikaonekana ni mwanaume maarufu sana hapa JF! aisee tulicheka sana.
πππ Alijua kuwapiga kanzu
πΉπΉπΉ nobody knows