Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce sijui kawaje siku hizi au hiyo ndo true colour yake, ana post ujinga ujinga tu hata akifwanywa anasema.... Labda ana stress
 
HATA Ww Umeshindwa Kufuata Utaratibu Wetu Wa KIAFRIKA!! Kwani Kama Ulikuwa Na Nia Njema Na Nduguyo Na Shemejio!! Basi Kuna UTARATIBU Wetu Kwa Mila Zetu, Kama Ulivyosema!!! HIVI Inakuwaje Shemejio Anafanya Mambo Yasio Na Ustaarabu Na Staha, Ndani Ya Mitandao Ya Kijamii, Basi Ilikuwa Busara Kwako KUMTAFUTA Nduguyo Na Kumweleza Kile Ambacho KINACHOJIRI Mitandaoni, Kinachoonekana Kuichafua Familia Yenu Mbele Ya Wanajamii! ILI Nduguyo Amkalishe Kitako Amkanye, Amuonye, Amshauri Na Amkemee Mkewe, Kwa Yale Yanayojiri!!!! KAMA Atashindwa Kama Ww Unavyofikiria, Basi Amshauri Awahusishe Wazee Wa Kifamilia, Kimila, Kanisa Lao, Wazazi Wao N.k. SASA Ww Kuleta Suala La Nduguyo Na Shemejio Mitandaoni Na Kumuomba Amkanye Mkewe Kwa Kutenda Mambo Yasio Na Stara Kwa Wanajamii, Ukizingatia Na Hadhi Yako Mbele Ya Wanajamii Hao!!! KWA Kuleta Humu, Ni Sawa Na KUZIDI KUMVUA NGUO HUYO NDUGUYO!!! NAPATA Mashaka Na Ulichokifanya, Kama Una Mia Njema Na Familia Hiyo Ya KILEWO!!?? BALI Ni UNAFIKI Mtupu!!
 
G
E
T

B
U
S
Y

F
A
N
Y
A


Y
A
K
O
!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
kwan mkewe naye alijidhalilisha pembeni
WW Ni MNAFIKI KWELI! Niliposema Nadhani Unalifanya Hilo Kwa Nia Ya Kubomoa Na Kumbomoa MR KILEWO Kisiasa Tu!!! SIO Kujenga Na Kutafuta Solutions Ndani Ya Familia Yake!! KWANI Ikiwa Dadako / Mkeo Au Shemejio Amefumaniwa Akijiuza Pale KIMBOKA, Basi Na Ww Kupata Solution Yake Ataenda Pale Pale KIMBOKA Ndio Ukamuombe Nduguyo Akamkanye Mkewe, Au Shemejio Akamkanye Dadako Au Ww Utamchukua Mkeo Na Kwenda Kumkanya Hapo Hapo KIMBOKA, Kwa Vile Ndipo Makosa Yalipofanyika!! BASI Ingekuwa Hivyo, MAHAKAMA Zetu Zingekuwa Mobile, Ili Ziwe Zinaenda MAENEO Ambayo Matukio Na Makosa Yametendeka!!!!! HOJA Yako Kwa Vile Mke Wa KILEWO Amefanya Hayo Masuala Mtandaoni Na Ww Unaona Suluhu Itatolewa Humu Pia!?? KUWA Huyo Mr KILEWO Atakuja Kumkanya Mkewe Na Kutoa Matokeo Yake Humu Pia!!!!?? WW Sio Rafiki Wa Mtu Mwema Kwa KILEWO, Bali Ni MNAFIKI Mkubwa Kwake, Tunachokitaka Ni Kumbomoa Mr KILEWO Tu!!
 
Maisha pesa tu......
Madaftari ya nini[emoji780]
WW Na VYETI Vyako Lukuki Ulivyojaza Sandukuni, Vinakusaidiaje Au Una Tofauti Gani Kati Yako Na Huyo Aliyeishia Drs La 4 KIMAISHA!!! ACHENI Dharau Kwa BINADAMU Wenazenu!!!
 
WW Na VYETI Vyako Lukuki Ulivyojaza Sandukuni, Vinakusaidiaje Au Una Tofauti Gani Kati Yako Na Huyo Aliyeishia Drs La 4 KIMAISHA!!! ACHENI Dharau Kwa BINADAMU Wenazenu!!!
Wanaboaaaaaa
Hata mtu km kaishia vidudu lkn kafanikisha life mbona swaafi tu
 
Hivi hakuna mtu mwingine anayemchukua huyo joyce nje ya kileo? Maana ukiona mke wa mtu anajiweka kihasara hasara mbele za watu ujue kuna kitu anatafuta, wala sio fashion.
 
Joyce ni fupa lisotafunika si tu kwa Kilewo bali hata kwako pia na ndo maana umekimbilia huku kulikofichama.
Nionavyo mimi ni kama unaleta unafki na kuingilia maisha ya watu..
Fuata yako, Fanya yako na hayakuhusu... as long as Kilewo anatimiziwa vyote atakavyo kwa mkewe bhaaasi!
 
Cha mhimu ni shule tu kichwani. Sasa huwa anahubiri nn?
 
Kuna siku nilikiwa catalunya...joyce kilia alivaa nguo hadi pichu ikawa inaonekana..duh aibu saana kwa familia....ifikie muda kuwe na udhubutu wa kuwakanya

Joyce ana mume halafu anakuwa kama akina diva wa clouds..ni kumrudisha nyuma kireo katika mpambano wa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…