Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Kwa mbali sanaUtamu uleeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mbali sanaUtamu uleeeee
Maisha pesa tu......Mke kaishia darasa la nne,unategemea nin hapo!
GMkuu habari za siku nyingi na pole na misukosuko ya maisha Kamanda Henry Kilewo.
Yangu leo ninayo machache sana ya kukuhusia mdogo wangu, si kwamba naingilia maisha yako bali nakutabanaisha hulka tulizokuwa nazo watz wa sasa.
Kamanda Kilewo waswahili wanasema kosea kujenga nyumba lkn usikosee kuoa mke.
Kamanda kwa heshima kubwa nakushauri ufanye review ya ndoa yako na Joyce Kiria dada asiyethamini mwili wake.
Kamanda Kilewo kama makamanda wenzio Freeman Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika, G. Lema etc wanakuonea aibu kukuambia ukweli wacha mimi nikueleze.
Post za Joyce Kiria katika fb page yake zinanipa conclusion ya kwamba she is not your type hasa kwa kipindi hiki ambacho watanzania wameweka imani yao kwa CHADEMA kama mkombozi wao wa pili katika kuitafuta haki yao ya kikatiba ndani ya nchi yao.
Kamanda Kilewo pole sana mana wazungu wanasema Charity begins at home lkn kwa bahati mbaya nyumbani kwako ni tofauti.
Mwisho nakushauri Kiongozi mzuri ni yule anayeweza kuiongoza familia yake kwa tamaduni za jamii husika.
Sitarajii kuona wanasame wakikuchagua kuwa mbunge wao huku wakiona mke wa mbunge wao akijidhalilisha kwenye mitandao ya kijamii.
Ukishindwa Kumdhibiti mkeo Mpoto alisema Kuanza upya si ujinga.
Wasaalam
Mkuu hebu tushushie yale makanuni ya biometric violation na circumferential dimensions. Naona hapa kuna ukiukwaji mkubwa. Teeh teehdah kakiuka sana kanuni huyu dada
WW Ni MNAFIKI KWELI! Niliposema Nadhani Unalifanya Hilo Kwa Nia Ya Kubomoa Na Kumbomoa MR KILEWO Kisiasa Tu!!! SIO Kujenga Na Kutafuta Solutions Ndani Ya Familia Yake!! KWANI Ikiwa Dadako / Mkeo Au Shemejio Amefumaniwa Akijiuza Pale KIMBOKA, Basi Na Ww Kupata Solution Yake Ataenda Pale Pale KIMBOKA Ndio Ukamuombe Nduguyo Akamkanye Mkewe, Au Shemejio Akamkanye Dadako Au Ww Utamchukua Mkeo Na Kwenda Kumkanya Hapo Hapo KIMBOKA, Kwa Vile Ndipo Makosa Yalipofanyika!! BASI Ingekuwa Hivyo, MAHAKAMA Zetu Zingekuwa Mobile, Ili Ziwe Zinaenda MAENEO Ambayo Matukio Na Makosa Yametendeka!!!!! HOJA Yako Kwa Vile Mke Wa KILEWO Amefanya Hayo Masuala Mtandaoni Na Ww Unaona Suluhu Itatolewa Humu Pia!?? KUWA Huyo Mr KILEWO Atakuja Kumkanya Mkewe Na Kutoa Matokeo Yake Humu Pia!!!!?? WW Sio Rafiki Wa Mtu Mwema Kwa KILEWO, Bali Ni MNAFIKI Mkubwa Kwake, Tunachokitaka Ni Kumbomoa Mr KILEWO Tu!!kwan mkewe naye alijidhalilisha pembeni
Kileo kakwambia anadhalilishwa?!Pole dada Joyce aka Mountainmover ila jirekebishe unamdhalilisha kamanda wetu au kwa kuwa hana chapaa
WW Na VYETI Vyako Lukuki Ulivyojaza Sandukuni, Vinakusaidiaje Au Una Tofauti Gani Kati Yako Na Huyo Aliyeishia Drs La 4 KIMAISHA!!! ACHENI Dharau Kwa BINADAMU Wenazenu!!!Maisha pesa tu......
Madaftari ya nini[emoji780]
WanaboaaaaaaWW Na VYETI Vyako Lukuki Ulivyojaza Sandukuni, Vinakusaidiaje Au Una Tofauti Gani Kati Yako Na Huyo Aliyeishia Drs La 4 KIMAISHA!!! ACHENI Dharau Kwa BINADAMU Wenazenu!!!
daaah , we mkaliKama ndoa ni kitu cha kwanza mbona cdm mnamtukana dr.slaa alipoamua kuachana na cdm kwa ajili ya kuilinda ndoa yake
Kuna siku nilikiwa catalunya...joyce kilia alivaa nguo hadi pichu ikawa inaonekana..duh aibu saana kwa familia....ifikie muda kuwe na udhubutu wa kuwakanyaMkuu habari za siku nyingi na pole na misukosuko ya maisha Kamanda Henry Kilewo.