Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Ukiwa maarufu lazima upitie issues kama hizi dada Joyce Kiria. Utajibu wangapi? Tumia busara zaidi ya hasira. Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga. Watu wengi walikua wanakufagilia sana, lakini siku hizi unaanza kupoteza umaarufu. Unafanya kazi nzuri, lakini una attitude chafu. Dah, I hope utabadilika kwa kweli. Hivi hauna mentor?
 
As TV presenter akitakiwa kuwa na uvumilivu uliotukuka na busara kuu kwakuwa kipindi chake si cha vichekesho na kuchambana
Mi nacheki page yake daily lkn SIKOMENTI....tatizo waTz wana viherehere!!!
Is she a child? (NO)
Oooooh unavaaje
Oooooh sijui nini
GET BUSY (fanyeni yenu)
Wabongo waache umbea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Sio wabongo tuu, hii ni dunia nzima. Ukiwa maarufu lazima watu wakuchokonoe tu. Ajifunze tuu kuwadharau, atapata ugonjwa wa moyo bureee, mijitu yenyewe wala haijali. Most likely wapo hapo na fake names. Namuonea huruma kwa kweli.
 
And also most likely they are cowards who can't face her face to face and say what they write behind the keyboard in front of her.
 
Basically Joyce hajiheshimu (mara aposti faragha zake na mmewe) hususani kwenye mitandao ya kijamii. Mambo yake ya ndani na mumewe angebaki nayo huko huko as a respecting woman.
Kama kioo cha jamii alipaswa kuwa mvumilivu pia na kuepuka mihemko.
 
Mi nacheki page yake daily lkn SIKOMENTI....tatizo waTz wana viherehere!!!
Is she a child? (NO)
Oooooh unavaaje
Oooooh sijui nini
GET BUSY (fanyeni yenu)
Wabongo waache umbea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wabongo ni watukanaji bila sababu unavumilia unashindwa na wakichabwa Mara mbili Tatu huacha sijui ndo ushamba wa mitandao
 
Bi mdada anajidhalilisha na kudhalilisha wadhamini wa vipindi vyake. Hivi anajua kauli au matendo yasifaa yanaweza kuwaondoa wadhamini wa vipindi vyake?

kwa bindamu yeyote anayeifahamu historia ya maisha ya joyce ambayo yeye mwenyewe hayafichi na mambo ambayo amekuwa akiifanyia jamii ya watanzania haitakuwa haki kumhukumu kwa sasa.anahitaji huruma zetu kwani naye ni binadamu anaumia na anaweza kupotoka kwani yeye siyo malaika. wivu wa baadhi ya kina dada kushindwa kuwa kama yeye kusisababishe joyce avunjike moyo.
 
Wabongo ni watukanaji bila sababu unavumilia unashindwa na wakichabwa Mara mbili Tatu huacha sijui ndo ushamba wa mitandao
Ht hapa Jf full wanafiki
Kuna mtu hapo juu anaanza na herufi "N" anajifanya ana busara hapa wkt ni bingwa wa kutusi wenzake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Joyce kiria alikuwa housegal sioni cha ajabu. Tangu lini beki tatu akawa na hekma.
 
Back
Top Bottom