Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ana historia ngumu sana huyu DadaHuyu dada nimemfuatilia sana Post zake nimegundua hata Elimu pia huwa inasaidia kumstiri mtu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana historia ngumu sana huyu DadaHuyu dada nimemfuatilia sana Post zake nimegundua hata Elimu pia huwa inasaidia kumstiri mtu...
Jinsi alivyo yaonesha kuna mashaka sana katika ndoa yake na uhalisia wa kazi zake.Katanguliza mihemko ya kike zaidi kuliko uhalisia wa kazi yake na mke wa mtu
SanaaaAna historia ngumu sana huyu Dada
Hata mimi nakubali. Huyu dada ni beautiful women. Haters wakafie mbali huko!Hicho kichambo wame deserve mno yani ukute wanaomtukana ni wabovu joyce ni beautiful women na hakuna asiye na kasoro
Hata kama ana historia ngumu yale anayoyaandika sio ya akili ya kawaida...Busara ya kuchuja cha kuandika na kuwajibu wale wanaokukosoa inahitajika...Ana historia ngumu sana huyu Dada
Mi nacheki page yake daily lkn SIKOMENTI....tatizo waTz wana viherehere!!!As TV presenter akitakiwa kuwa na uvumilivu uliotukuka na busara kuu kwakuwa kipindi chake si cha vichekesho na kuchambana
Sio wabongo tuu, hii ni dunia nzima. Ukiwa maarufu lazima watu wakuchokonoe tu. Ajifunze tuu kuwadharau, atapata ugonjwa wa moyo bureee, mijitu yenyewe wala haijali. Most likely wapo hapo na fake names. Namuonea huruma kwa kweli.Mi nacheki page yake daily lkn SIKOMENTI....tatizo waTz wana viherehere!!!
Is she a child? (NO)
Oooooh unavaaje
Oooooh sijui nini
GET BUSY (fanyeni yenu)
Wabongo waache umbea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unataka aje kutuchamba na huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamna Mwenye picha ya huo mguu wake?
Sio wabongo tuu, hii ni dunia nzima. Ukiwa maarufu lazima watu wakuchokonoe tu. Ajifunze tuu kuwadharau, atapata ugonjwa wa moyo bureee, mijitu yenyewe wala haijali. Most likely wapo hapo na fake names. Namuonea huruma kwa kweli.
Ua very right wanawake wengi wanao insults wenzao mitandaoni unakuta ni wabovu mno. Joyce yuko vzuri banaHata mimi nakubali. Huyu dada ni beautiful women. Haters wakafie mbali huko!
Wabongo ni watukanaji bila sababu unavumilia unashindwa na wakichabwa Mara mbili Tatu huacha sijui ndo ushamba wa mitandaoMi nacheki page yake daily lkn SIKOMENTI....tatizo waTz wana viherehere!!!
Is she a child? (NO)
Oooooh unavaaje
Oooooh sijui nini
GET BUSY (fanyeni yenu)
Wabongo waache umbea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bi mdada anajidhalilisha na kudhalilisha wadhamini wa vipindi vyake. Hivi anajua kauli au matendo yasifaa yanaweza kuwaondoa wadhamini wa vipindi vyake?
Ht hapa Jf full wanafikiWabongo ni watukanaji bila sababu unavumilia unashindwa na wakichabwa Mara mbili Tatu huacha sijui ndo ushamba wa mitandao