sipendi sana jinc huyu dada anavyovaa..ila ni uhuru wake na maisha yake so hatuna haja ya kumpigia keleleTv personality and short time politician na kwa kipindi fulani aliyewahi kukiri kuwa yeye ni mshabiki namba moja wa "dyudyu", mwanamama na mwanadada kwa wakati mmoja amejikuta akiwekwa kitimoto na wakuu wake wa kazi na wanafamilia kwa muda wa saa 4 kwa kile kilichodaiwa kuvaa nguo za mwaka 2050 katika mwaka 2016.
Haya yote yametokea baada ya kuvaa sketi yenye mpasuo uliokuwa na urefu wa SM 34.5 wakati sketi yenyewe ilikuwa na urefu wa SM 35 huku watu wakidai hali hii haikubaliki kabisa katika jamii ya watu wastaarabu wala jamii ya wanamahesabu (mathematicians)
Tulipompigia simu mwenyekiti wa wanamahesabu na fizikia Afrika mashariki alidai dada huyo amevuruga kanuni nyingi sana za hesabu na fizikia kwa kuvaa nguo ambayo ina urefu karibia sawa na mpasuo, Na hivyo ''kuviolate Fallacy and tautology law'' kisha kukata simu.
Mpaka tunaingia mtamboni dada huyo tulipojaribu kumtafuta simu yake ilkuwa bize bila majibu.
Niamini tu kuwa una mtania,pana mguu uko wapi pale au ni mtutumko tu wa kile kigimbi mguu wa kulia?Kwa kuwa Mguu upo, wacha atuonesha. Angekuwa hana mguu asingevaa hivyo.
These women expect men to respect them when they do not respect one another!! Respect is earned; respect yourself and you will be respected.
View attachment 343118 Hii imetokea kwa Joyce Kiria Super Woman,Mamaaa wa Wanawake Live wa EATV,leo uvumilivu umemshinda akaamua ku-screen shot msg za kwenye Twitter na kuzibandika Fb na kuwachamba wanawake wanaocheka umbo lake hasa miguu yake kwamba ni "ngwara" zisizofaa kuvaa kimini...Hatari sana
Cc Nifah
Diva Beyonce Madame B
View attachment 343114
Bi mdada anajidhalilisha na kudhalilisha wadhamini wa vipindi vyake. Hivi anajua kauli au matendo yasifaa yanaweza kuwaondoa wadhamini wa vipindi vyake?As TV presenter akitakiwa kuwa na uvumilivu uliotukuka na busara kuu kwakuwa kipindi chake si cha vichekesho na kuchambana
Katanguliza mihemko ya kike zaidi kuliko uhalisia wa kazi yake na mke wa mtuBi mdada anajidhalilisha na kudhalilisha wadhamini wa vipindi vyake. Hivi anajua kauli au matendo yasifaa yanaweza kuwaondoa wadhamini wa vipindi vyake?