Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Huwa napata shida mno sasa huko kuingilia ndoa ya mwenzio kwangu ni ushamba mno ...fuatilia yako
 
Huyu mrombo sijui mmachame naona hajielewi kabisa
 
Tv personality and short time politician na kwa kipindi fulani aliyewahi kukiri kuwa yeye ni mshabiki namba moja wa "dyudyu", mwanamama na mwanadada kwa wakati mmoja amejikuta akiwekwa kitimoto na wakuu wake wa kazi na wanafamilia kwa muda wa saa 4 kwa kile kilichodaiwa kuvaa nguo za mwaka 2050 katika mwaka 2016.

12472390_577538545755176_5205178261787731554_n.jpg


Haya yote yametokea baada ya kuvaa sketi yenye mpasuo uliokuwa na urefu wa SM 34.5 wakati sketi yenyewe ilikuwa na urefu wa SM 35 huku watu wakidai hali hii haikubaliki kabisa katika jamii ya watu wastaarabu wala jamii ya wanamahesabu (mathematicians)

Tulipompigia simu mwenyekiti wa wanamahesabu na fizikia Afrika mashariki alidai dada huyo amevuruga kanuni nyingi sana za hesabu na fizikia kwa kuvaa nguo ambayo ina urefu karibia sawa na mpasuo, Na hivyo ''kuviolate Fallacy and tautology law'' kisha kukata simu.

Mpaka tunaingia mtamboni dada huyo tulipojaribu kumtafuta simu yake ilkuwa bize bila majibu.
sipendi sana jinc huyu dada anavyovaa..ila ni uhuru wake na maisha yake so hatuna haja ya kumpigia kelele
 
Halafu eti watu hawawapendi wanaume wanaonyanyasa wanawake huku wanawake hao hao wako mstari wa mbele kunyanyasa na kunyanyapaa wanawake wenzao.

Prejudice ni mbaya sana hususan ukiwa nayo halafu hujui hata Kama unayo.
 
Kwanini wanapenda kumchokoza?

Kwanini kum-Follow mtu ambaye unaona yupo tofauti unavyotaka yeye awe?

Halafu huu msemo, "Msanii ni kioo cha jamii" nadhani watu wengi hawauelewi.
 
I was ready to defend her but, Kumwita Mungu kati ya mitusi na povu ka hilo naona si haki hata kidogo. Joice, umemwita Mungu yupi hapo? Yule kiziwi na kipofu au?? Kwa sababu huyo Mungu uliyemwita inaonekana aidha alikuwa hayupo hapo wakikudhihaki au alikuwa kalala.
Pole zako ila punguza munkareeeeiii. Dah! Women are among the wonders of the world. Halaf na nyiye, Nafasi ya Joice ingelikuwa inahitaji miguu si mngelishinda nyiye?? Pale hatuangalii mapaja, tunasiliza nondo anazomwaga. Waswagaji wengine ndo huangalia mapaja.
 
Hicho kichambo wame deserve mno yani ukute wanaomtukana ni wabovu joyce ni beautiful women na hakuna asiye na kasoro
 
Joyce hana uvumilivu katu nimewahi ishi jirani yao ni mkurupukaji sana tena kwa wadada ni shida maana alikoanzia mmmhhh nashindwa kuelezea.......... Awe Patient sana maana waswahili ndio walivo wanasubiri uharibikiwe wafurahie..........
 
View attachment 343118 Hii imetokea kwa Joyce Kiria Super Woman,Mamaaa wa Wanawake Live wa EATV,leo uvumilivu umemshinda akaamua ku-screen shot msg za kwenye Twitter na kuzibandika Fb na kuwachamba wanawake wanaocheka umbo lake hasa miguu yake kwamba ni "ngwara" zisizofaa kuvaa kimini...Hatari sana
Cc Nifah
Diva Beyonce Madame B
View attachment 343114


Bibie Joyce, kwa nini kujiingiza kwenye kundi la watu kama hawa? Mbona mwisho uankuwa kama wao?

Ninaomba usiombee mabaya uzao wa binadamu kwa sababu watakaoteseka kwa kukosa miguu wala si wao wanakutukana na hawapo. Mateso watayapata maisha yao bila hata wazazi wao kuwepo. Hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu. Muwe na hasira lakini msitende dhambi. Jua lisichwe na uchungu wenu ungalipo. Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu!.

Ninaomba utangue utashi wako wa wenzio kuzaa vilema. Ni vyema kama vipi shughulika nao hao waliokukosea mmalizane lakini si watoto wasio na hatia.

Usiku mwema.
 
As TV presenter akitakiwa kuwa na uvumilivu uliotukuka na busara kuu kwakuwa kipindi chake si cha vichekesho na kuchambana
Bi mdada anajidhalilisha na kudhalilisha wadhamini wa vipindi vyake. Hivi anajua kauli au matendo yasifaa yanaweza kuwaondoa wadhamini wa vipindi vyake?
 
Bi mdada anajidhalilisha na kudhalilisha wadhamini wa vipindi vyake. Hivi anajua kauli au matendo yasifaa yanaweza kuwaondoa wadhamini wa vipindi vyake?
Katanguliza mihemko ya kike zaidi kuliko uhalisia wa kazi yake na mke wa mtu
 
Back
Top Bottom