Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

I agree with you MTU anaanzaje kukukosoa jinsi ulivoubwa bana utafikiri wao wanaweza kuumba hata ukucha. Joyce ka struggle kutimiza ndoto zake licha ya changamoto hao wasio jielewa wamtusi. Acha atoe ya moyoni kuliko kuvumilia ujinga
 
Ht hapa Jf full wanafiki
Kuna mtu hapo juu anaanza na herufi "N" anajifanya ana busara hapa wkt ni bingwa wa kutusi wenzake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watanzania bila unafiki hatuendi. Nilivojiunga jf nilivumilia matusi nikasema huh ujinga MTU akilianzisha na mie namumalizia kwanini kuvumilia insult aisee
 
Huna akili wewe rudi shule
 
Watanzania bila unafiki hatuendi. Nilivojiunga jf nilivumilia matusi nikasema huh ujinga MTU akilianzisha na mie namumalizia kwanini kuvumilia insult aisee
Kumbe ushamjua
Maisha bila unafiki hayaendi
Me nishapigwa mitusi ya kutosha but nimegundua "wananikubali kimyakimya" kwahiyo nimejifunza kuwaignore
 
Joyce kiria alikuwa housegal sioni cha ajabu. Tangu lini beki tatu akawa na hekma.

utatia akili siku mwanao atakapokuletea b3 kama mkweo. hivi kama hawana hekima mnadhubutuje kuwaachia watoto wenu wachanga wawalelee? mwogope mungu.
 
utatia akili siku mwanao atakapokuletea b3 kama mkweo. hivi kama hawana hekima mnadhubutuje kuwaachia watoto wenu wachanga wawalelee? mwogope mungu.
Mkuu ukishakuwa housegal unabaki kuwa housegal.
 
Shida ni kwamba anategemea sifa akifanya vitu,akiambiwa ukweli tu anaamsha mitusi,we nani mpaka usipewwe fact?uambiwe tu mpaka utakapo acha vituko kwenye media maana hamna namna nyingine
 
tumwombee, Mungu Ampe hekima, ameteleza ulimi kutokana na Hasira. Cha msingi Dada Joyce asikasirike Bali Ajaribu kujitafakari wakati mwingine kabla ya kukasirika na kutoa lugha zisizo nzuri, embu kaachini jikague je! Upo sawa?

Nazungumza haya kuwa saidia mabinti Ambao wanajiona wanakwenda na wakati, mpaka kupitiliza, ukizingatia ni wake za watu.

Ifikie maali mabinti mjiheshimu hasa wake za watu, muonekano wa mavazi uleta heshima na wakati mwingine uvunja heshima.

Nivyema basi wadada wakajiheshimu, kwa mavazi wanayo ya vaa, pia na wanaume wa rudi kwenye nafasi kama kichwa cha familia siyo heshima kuwaacha wakezenu wavae nguo za kuogelea, heti wanaenda na wakati.

Ni haibu kwa wanaume kuwaacha wakezenu kuwa vituko kwa watu, mnajihaibisha wenyewe.
 





Mh beki 3 huyu ni kiboko
 

Attachments

  • 1461879523240.jpg
    22.1 KB · Views: 52
Mkuu, pole sana ila uvumilivu ni kipimo cha busara. Huyu bi mdada anatakiwa awe mvumilivu na kuchunga heshima yake mbele ya jamii inayomtizama
 
Joyce katumia maneno makali sanaaa... pia maneno kama hayo hayamuumuzi adui hata siku moja anyway makuzi/malezi yana athari kubwa katika maisha ya kila mmoja. Nmejisikia vbaya kutokana na kauli za dada yangu kipeeenzi Joy, Mungu ampatie hekima ya kishinda mihemko hasi.
 
Dada joy we ni jembe tena la ukweli, lkn hayo matusi makubwa waachie kina mange ambao akili imeshafwatuka, wengi tunakutazama kwa malengo chanya, ni mwanamke shupavu, so tunza heshima yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…