I was ready to defend her but, Kumwita Mungu kati ya mitusi na povu ka hilo naona si haki hata kidogo. Joice, umemwita Mungu yupi hapo? Yule kiziwi na kipofu au?? Kwa sababu huyo Mungu uliyemwita inaonekana aidha alikuwa hayupo hapo wakikudhihaki au alikuwa kalala.
Pole zako ila punguza munkareeeeiii. Dah! Women are among the wonders of the world. Halaf na nyiye, Nafasi ya Joice ingelikuwa inahitaji miguu si mngelishinda nyiye?? Pale hatuangalii mapaja, tunasiliza nondo anazomwaga. Waswagaji wengine ndo huangalia mapaja.