Aaaaaaaaa huyu Dada kiboko
Kweli wewe FYATU.......sasa huo SUPERWOMAN hapo upo wapi kwa KUTUKANA, kuwajibu tena kwa MATUSI MAKUBWA hivyo ni fedheha amejishushia heshima huwezi ukashindana na KILA MTU na kubali huwezi UKAPENDWA na KILA MTU sasa ukijenga dhana ya kutaka kila MTU AKUKUBALI basi haya ndo matokeo yake, kupitia kipindi chake cha Wanawake live yeye anaifundisha nini jamii inayo mzunguka hasa wanawake wenzake kwa imani jamii iliyo mpa hakupaswa avuke mipaka......Mimi mwenyewe binafsi nimeyaona hayo matusi sikuamini kama ni yeye anatoa maneno machafu hivyo mdomoni nilijuwa kuna mtu ame-hack account yakeSafi...amefanya kama real super woman..
Bibie Joyce, kwa nini kujiingiza kwenye kundi la watu kama hawa? Mbona mwisho uankuwa kama wao?
Ninaomba usiombee mabaya uzao wa binadamu kwa sababu watakaoteseka kwa kukosa miguu wala si wao wanakutukana na hawapo. Mateso watayapata maisha yao bila hata wazazi wao kuwepo. Hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu. Muwe na hasira lakini msitende dhambi. Jua lisichwe na uchungu wenu ungalipo. Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu!.
Ninaomba utangue utashi wako wa wenzio kuzaa vilema. Ni vyema kama vipi shughulika nao hao waliokukosea mmalizane lakini si watoto wasio na hatia.
Usiku mwema.
Relax ndugu....me nimeandika kwa mtindo wa reverse.....ni juu ya Wanawake wenyewe na jamii kutafakari kama anatosha kuwa superwoman.Kweli wewe FYATU.......sasa huo SUPERWOMAN hapo upo wapi kwa KUTUKANA, kuwajibu tena kwa MATUSI MAKUBWA hivyo ni fedheha amejishushia heshima huwezi ukashindana na KILA MTU na kubali huwezi UKAPENDWA na KILA MTU sasa ukijenga dhana ya kutaka kila MTU AKUKUBALI basi haya ndo matokeo yake, kupitia kipindi chake cha Wanawake live yeye anaifundisha nini jamii inayo mzunguka hasa wanawake wenzake kwa imani jamii iliyo mpa hakupaswa avuke mipaka......Mimi mwenyewe binafsi nimeyaona hayo matusi sikuamini kama ni yeye anatoa maneno machafu hivyo mdomoni nilijuwa kuna mtu ame-hack account yake
Kumbe ulishamshtukia eeeh?Ht hapa Jf full wanafiki
Kuna mtu hapo juu anaanza na herufi "N" anajifanya ana busara hapa wkt ni bingwa wa kutusi wenzake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa nasoma tu....sina kiherehere cha kucommentKumbe ulishamshtukia eeeh?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
As TV presenter akitakiwa kuwa na uvumilivu uliotukuka na busara kuu kwakuwa kipindi chake si cha vichekesho na kuchambana