Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Ukijitoa kuhudumia umma muhimu kujifunza tabia za umma,ni sawa na kufungua dirisha ukitaka kupata hewa,tegemea mbu,nzi na takataka nyingine,wakosoaji ni sehemu ya umma uliojitolea kuuhudumia ulitakiwa kujiandaa kukabiliana nao kwa hekima.
 
Safi...amefanya kama real super woman..
Kweli wewe FYATU.......sasa huo SUPERWOMAN hapo upo wapi kwa KUTUKANA, kuwajibu tena kwa MATUSI MAKUBWA hivyo ni fedheha amejishushia heshima huwezi ukashindana na KILA MTU na kubali huwezi UKAPENDWA na KILA MTU sasa ukijenga dhana ya kutaka kila MTU AKUKUBALI basi haya ndo matokeo yake, kupitia kipindi chake cha Wanawake live yeye anaifundisha nini jamii inayo mzunguka hasa wanawake wenzake kwa imani jamii iliyo mpa hakupaswa avuke mipaka......Mimi mwenyewe binafsi nimeyaona hayo matusi sikuamini kama ni yeye anatoa maneno machafu hivyo mdomoni nilijuwa kuna mtu ame-hack account yake
 
Hawa wadada nao.. Sijui nani kawaambia mwanamke kuwa Na vigimbi vikubwa ni dhambi... That probably means ana-work out... Si bora vigimbi kuliko minyama uzembe mnayoning'iniza tumboni
 
Nadhani watu wanajisahau. Hakuna mtu aliyejiumba. Kumsema fulani una umbo baya ni kumdhihaki Mungu mana yeye ndiye muumbaji wetu.
 
Wakuu,
Are the screenshots extracted from her official page or somebody just hacked her account.????
It's totally insane.
 
Bibie Joyce, kwa nini kujiingiza kwenye kundi la watu kama hawa? Mbona mwisho uankuwa kama wao?

Ninaomba usiombee mabaya uzao wa binadamu kwa sababu watakaoteseka kwa kukosa miguu wala si wao wanakutukana na hawapo. Mateso watayapata maisha yao bila hata wazazi wao kuwepo. Hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu. Muwe na hasira lakini msitende dhambi. Jua lisichwe na uchungu wenu ungalipo. Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu!.

Ninaomba utangue utashi wako wa wenzio kuzaa vilema. Ni vyema kama vipi shughulika nao hao waliokukosea mmalizane lakini si watoto wasio na hatia.

Usiku mwema.

Humjui Joyce wewe ni bonge la Mswahili "HAFAI" changanya na shule ni darasa la saba mweeehhh Hata hao wadada anaojibishana ni afadhali
 
Kweli wewe FYATU.......sasa huo SUPERWOMAN hapo upo wapi kwa KUTUKANA, kuwajibu tena kwa MATUSI MAKUBWA hivyo ni fedheha amejishushia heshima huwezi ukashindana na KILA MTU na kubali huwezi UKAPENDWA na KILA MTU sasa ukijenga dhana ya kutaka kila MTU AKUKUBALI basi haya ndo matokeo yake, kupitia kipindi chake cha Wanawake live yeye anaifundisha nini jamii inayo mzunguka hasa wanawake wenzake kwa imani jamii iliyo mpa hakupaswa avuke mipaka......Mimi mwenyewe binafsi nimeyaona hayo matusi sikuamini kama ni yeye anatoa maneno machafu hivyo mdomoni nilijuwa kuna mtu ame-hack account yake
Relax ndugu....me nimeandika kwa mtindo wa reverse.....ni juu ya Wanawake wenyewe na jamii kutafakari kama anatosha kuwa superwoman.

Ila kuhusu mitusi nakumbuka nilishawahi kuona post zake (kama ni account zake halisi) tangu wakati ule akiwa bado anafanya kipindi cha BONGO MUVI....
 
mkuu usiumize kichwa ndiye huyo huyo,
yaani hawa wanaojiita superstar wa bongo wana matusi , tabia mbaya , walevi, malaya, kuna siku niliwahi kuombwa ofisi na wasanii wa bongo movies nikawapa na nikashinda nao, du kaka ni wachafu wa hovyo yaani baki tu kuwatizama kwenye Tv.
pia niliwahi kusoma comment za mtu anaitwa wolper mpka nikahoji we uliyeandika ndiyo wewe tunakuonaga kwenye tv au? nina uhakika ni yeye kaandika. japo ataruka kwamba wame vamia ac yake
 
Joyce kama binadamu mwingine nae ana moyo wa nyama unaoumia kwa pale mtu anapoaamua kukuchafua kwasababu zake anazojua yeye....

Lakini vile vile unapoamua kua kielelezo kwa jamii huna budi kua na uvumilivu pamoja na busara.
 
Ht hapa Jf full wanafiki
Kuna mtu hapo juu anaanza na herufi "N" anajifanya ana busara hapa wkt ni bingwa wa kutusi wenzake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe ulishamshtukia eeeh?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
5a5d25a1860eec600536d9f9dbc61fe5.jpg
 
As TV presenter akitakiwa kuwa na uvumilivu uliotukuka na busara kuu kwakuwa kipindi chake si cha vichekesho na kuchambana

Huyu dada haelewi kuwa kipindi anachotangaza kina heshima yake ambayo anatakiwa kuitunza kwa gharama yoyote...

Sikutegemea kama anaweza kutoa matusi ya nguoni kiasi hicho...mbona anazidi kudhihirisha kuwa ukosefu wake wa elimu bado unamfanya asistahili kipindi kikubwa kama hicho

Ila na ninyi wanawake muheshimiane maana mtaringiaje kitu ambacho mmejikuta nacho bila hata ya kutolea wazo katika uumbaji wake....
 
Back
Top Bottom