Huyu amekosa staha na ni kupenda sifa za kijinga! Sijui anafikiri analo liandika watu hawalijui..! Mtu mzima akikosa staha ni aibu sana...
Mimi nilikuwa namtetea sana tena sana humu walipo kuwa wanamponda!kabisa ila huyu wa sasa ndo joyce mwenyewe yule wa mwanzo alikua fake maana alikua anatafuya fame kashaipata sasa ndo tunaona rangi zakd orijino zote
Mimi nilikuwa namtetea sana tena sana humu walipo kuwa wanamponda!
Nimeamini ili kumjua mtu unahitaji kumpa muda!
Sikutegemea kama anaweza kwenda public na kuongea mambo kama yale tena anajua fika na watoto wanasoma ujinga ule halafu ajiita ni mtetezi na mpigania haki...hao waliokua wanamponda walikua wanamjua vizuri au washaskia habari zake..
jina alilojengea naona analiharibu mwenyewe tena kwa umaarufu kunuka
mi ananikwaza sana siku hizi sana inafika hatua hata kipindi chake siangalii
Sikutegemea kama anaweza kwenda public na kuongea mambo kama yale tena anajua fika na watoto wanasoma ujinga ule halafu ajiita ni mtetezi na mpigania haki...
Ig alisema hawezi kuacha kumfikia mmewe akimfikisha.
So she was content kuwa ni yeye na wala hajafanyiwa mchezo wowote kwenye page zake
Sijamfollow though.
Naona watu wanashare posts zake za kingono ngono.
Sikutegemea kama anaweza kwenda public na kuongea mambo kama yale tena anajua fika na watoto wanasoma ujinga ule halafu ajiita ni mtetezi na mpigania haki...