Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Huyu amekosa staha na ni kupenda sifa za kijinga! Sijui anafikiri analo liandika watu hawalijui..! Mtu mzima akikosa staha ni aibu sana...

kabisa ila huyu wa sasa ndo joyce mwenyewe yule wa mwanzo alikua fake maana alikua anatafuya fame kashaipata sasa ndo tunaona rangi zakd orijino zote
 
kabisa ila huyu wa sasa ndo joyce mwenyewe yule wa mwanzo alikua fake maana alikua anatafuya fame kashaipata sasa ndo tunaona rangi zakd orijino zote
Mimi nilikuwa namtetea sana tena sana humu walipo kuwa wanamponda!

Nimeamini ili kumjua mtu unahitaji kumpa muda!
 
Mimi nilikuwa namtetea sana tena sana humu walipo kuwa wanamponda!

Nimeamini ili kumjua mtu unahitaji kumpa muda!

hao waliokua wanamponda walikua wanamjua vizuri au washaskia habari zake..
jina alilojengea naona analiharibu mwenyewe tena kwa umaarufu kunuka

mi ananikwaza sana siku hizi sana inafika hatua hata kipindi chake siangalii
 
Sikutegemea kama anaweza kwenda public na kuongea mambo kama yale tena anajua fika na watoto wanasoma ujinga ule halafu ajiita ni mtetezi na mpigania haki...
 
Sikutegemea kama anaweza kwenda public na kuongea mambo kama yale tena anajua fika na watoto wanasoma ujinga ule halafu ajiita ni mtetezi na mpigania haki...

mi mwanzo nlijua masihara ila naona sasa anafanya kwelj,mbaya zaidi anatuelezea kuhusu kungwi wake na namna ya kukata kiuno dahh...
nilichoka sana yani hii tabia ya kuruka stage mbaya sana!
 
Ig alisema hawezi kuacha kumfikia mmewe akimfikisha.
So she was content kuwa ni yeye na wala hajafanyiwa mchezo wowote kwenye page zake
Sijamfollow though.
Naona watu wanashare posts zake za kingono ngono.

Dyu dyu na liheshimiwe na wanawake wote.
 
Sikutegemea kama anaweza kwenda public na kuongea mambo kama yale tena anajua fika na watoto wanasoma ujinga ule halafu ajiita ni mtetezi na mpigania haki...

Huwa nasema humu kila siku Watanzania hatuna utamaduni wa kupima afya ya akili, lakini siku wote tukipimwa.kwa lazima utashangaa sana majibu yatakayotoka.
 
Tv personality and short time politician na kwa kipindi fulani aliyewahi kukiri kuwa yeye ni mshabiki namba moja wa "dyudyu", mwanamama na mwanadada kwa wakati mmoja amejikuta akiwekwa kitimoto na wakuu wake wa kazi na wanafamilia kwa muda wa saa 4 kwa kile kilichodaiwa kuvaa nguo za mwaka 2050 katika mwaka 2016.

12472390_577538545755176_5205178261787731554_n.jpg

Haya yote yametokea baada ya kuvaa sketi yenye mpasuo uliokuwa na urefu wa SM 34.5 wakati sketi yenyewe ilikuwa na urefu wa SM 35 huku watu wakidai hali hii haikubaliki kabisa katika jamii ya watu wastaarabu wala jamii ya wanamahesabu (mathematicians)

Tulipompigia simu mwenyekiti wa wanamahesabu na fizikia Afrika mashariki alidai dada huyo amevuruga kanuni nyingi sana za hesabu na fizikia kwa kuvaa nguo ambayo ina urefu karibia sawa na mpasuo, Na hivyo ''kuviolate Fallacy and tautology law'' kisha kukata simu.

Mpaka tunaingia mtamboni dada huyo tulipojaribu kumtafuta simu yake ilkuwa bize bila majibu.
 
kuna jamaa alileta uzi na kusema kuna wengine wanajiuza bila kujua ili hali wengine wakijua fika kuwa wanajiuza!
 
Back
Top Bottom