Tv personality and short time politician na kwa kipindi fulani aliyewahi kukiri kuwa yeye ni mshabiki namba moja wa "dyudyu", mwanamama na mwanadada kwa wakati mmoja amejikuta akiwekwa kitimoto na wakuu wake wa kazi na wanafamilia kwa muda wa saa 4 kwa kile kilichodaiwa kuvaa nguo za mwaka 2050 katika mwaka 2016.
Haya yote yametokea baada ya kuvaa sketi yenye mpasuo uliokuwa na urefu wa SM 34.5 wakati sketi yenyewe ilikuwa na urefu wa SM 35 huku watu wakidai hali hii haikubaliki kabisa katika jamii ya watu wastaarabu wala jamii ya wanamahesabu (mathematicians)
Tulipompigia simu mwenyekiti wa wanamahesabu na fizikia Afrika mashariki alidai dada huyo amevuruga kanuni nyingi sana za hesabu na fizikia kwa kuvaa nguo ambayo ina urefu karibia sawa na mpasuo, Na hivyo ''kuviolate Fallacy and tautology law'' kisha kukata simu.
Mpaka tunaingia mtamboni dada huyo tulipojaribu kumtafuta simu yake ilkuwa bize bila majibu.