Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhaaAaaaaaa....mtani... ...ninong'oneze basi mtani...nitakununulia mbege.....ha ha ha kinachonichekesha siri yangu
mtani huyu mama kama analewa sasaAhaaAaaaaaa....mtani... ...ninong'oneze basi mtani...nitakununulia mbege.....
Sio tu kulewa bali atakuwa anatumia na sigara bwege....mtani huyu mama kama analewa sasa
wanampotezaSio tu kulewa bali atakuwa anatumia na sigara bwege....
Ha ha ha huyu reporter anachekesha kwakweli lol
Ha ha ha huyu reporter anachekesha kwakweli lol
Kwa kuwa Mguu upo, wacha atuonesha. Angekuwa hana mguu asingevaa hivyo.
Mguu wa kuusifia uko wapi hapo, na huyu sijui mpare huyu. Haya mavazi ya mitumba haya
Matokeo ya haki ya kutokuingiliwa privacy za watu ndo hayo, zamani hakuwa hivyo lakiniTv personality and short time politician na kwa kipindi fulani aliyewahi kukiri kuwa yeye ni mshabiki namba moja wa "dyudyu", mwanamama na mwanadada kwa wakati mmoja amejikuta akiwekwa kitimoto na wakuu wake wa kazi na wanafamilia kwa muda wa saa 4 kwa kile kilichodaiwa kuvaa nguo za mwaka 2050 katika mwaka 2016.
![]()
Haya yote yametokea baada ya kuvaa sketi yenye mpasuo uliokuwa na urefu wa SM 34.5 wakati sketi yenyewe ilikuwa na urefu wa SM 35 huku watu wakidai hali hii haikubaliki kabisa katika jamii ya watu wastaarabu wala jamii ya wanamahesabu (mathematicians)
Tulipompigia simu mwenyekiti wa wanamahesabu na fizikia Afrika mashariki alidai dada huyo amevuruga kanuni nyingi sana za hesabu na fizikia kwa kuvaa nguo ambayo ina urefu karibia sawa na mpasuo, Na hivyo ''kuviolate Fallacy and tautology law'' kisha kukata simu.
Mpaka tunaingia mtamboni dada huyo tulipojaribu kumtafuta simu yake ilkuwa bize bila majibu.
ha ha ha kinachonichekesha siri yangu
Eet shape kama bodyguard wa chibuu...