Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Kwa kuwa Mguu upo, wacha atuonesha. Angekuwa hana mguu asingevaa hivyo.
 
Kwa kuwa Mguu upo, wacha atuonesha. Angekuwa hana mguu asingevaa hivyo.


Mguu wa kuusifia uko wapi hapo, na huyu sijui mpare huyu. Haya mavazi ya mitumba haya
 
  • Thanks
Reactions: nao
Eet shape kama bodyguard wa chibuu...
 
Tv personality and short time politician na kwa kipindi fulani aliyewahi kukiri kuwa yeye ni mshabiki namba moja wa "dyudyu", mwanamama na mwanadada kwa wakati mmoja amejikuta akiwekwa kitimoto na wakuu wake wa kazi na wanafamilia kwa muda wa saa 4 kwa kile kilichodaiwa kuvaa nguo za mwaka 2050 katika mwaka 2016.

12472390_577538545755176_5205178261787731554_n.jpg


Haya yote yametokea baada ya kuvaa sketi yenye mpasuo uliokuwa na urefu wa SM 34.5 wakati sketi yenyewe ilikuwa na urefu wa SM 35 huku watu wakidai hali hii haikubaliki kabisa katika jamii ya watu wastaarabu wala jamii ya wanamahesabu (mathematicians)

Tulipompigia simu mwenyekiti wa wanamahesabu na fizikia Afrika mashariki alidai dada huyo amevuruga kanuni nyingi sana za hesabu na fizikia kwa kuvaa nguo ambayo ina urefu karibia sawa na mpasuo, Na hivyo ''kuviolate Fallacy and tautology law'' kisha kukata simu.

Mpaka tunaingia mtamboni dada huyo tulipojaribu kumtafuta simu yake ilkuwa bize bila majibu.
Matokeo ya haki ya kutokuingiliwa privacy za watu ndo hayo, zamani hakuwa hivyo lakini
 

Attachments

  • 1KIRIA.jpg
    1KIRIA.jpg
    24.5 KB · Views: 62
Back
Top Bottom