Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Huyu dada ana tatizo hajapata mshauri elekezi apatiwe somo pengine itamsaidia na aliyemwuoa ana wakati mgumu
 
Hivi ana Super Woman gani huyu?... ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu ya kutetea baadhi ya Ujinga... Mwanamke utabaki kuwa Shingo ya Familia na Mimi mwanaume nitabakia kuwa Kichwa cha Familia...Ubeijing wenu pelekeni huko...

1453526875623.jpg
 
Kuna siku nilimuona ktk kipindi cha FNL akipromote dyudyu, yule presenter wa kipindi jina limenitoka kdg ,alipata wakati mgumu sana kuwa na huyu mama pale, ni kama vile alikuwa kalewa sijui alivuta bangi!, alivokuwa anajiachia na kufunguka kihasarahasara huwezi amini kama kweli anatetea haki za wanawake, utadhani hajaolewa, yaani mama zetu hawa wakati mwingine wanajitoa ufahamu hadi unaogopa
 
Ndiyo Jamii Iliyo Zaliwa Tanzania Kwa Sasa. Watu Kuiga Wanzungu Mpaka Wanatembea Uchi. Si Vijana, Wazee, Mpaka Sasa Wake za Watu. Na Jimwana Mume Lina kenuatu Mkewe Kuvaa Nusu Uchi.

Shida Hapa Siyo Mwana Mke Bali Ni Mumewe Anaye Bariki Upumbavu Huu Wa Kishetani, Kwanini Wewe Mwana Mume Uache Watu Watazame Chakula Chako? Ambacho ni Chafaragha? Je! Niheshima Au Ni Kuanika Chakula Hadharani Huku watu Wakidhini Na Mkeo Kwa Macho?

Hembu Wanaume Wote Wenye Tabia Za Kuruhusu Wake Zao Kuvaa Nusu Utupu, Mjirekebishe Kwa Kusimama Katika Nafasi Zenu na Kuwaongoza Wanawake Katika Heshima Na Adabu, Iyo Uleta Heshima Kwa Mwanaume na Mkeo Atakuwa Mama Bora na Sio Bora Mama.
 
Hivi ana Super Woman gani huyu?... ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu ya kutetea baadhi ya Ujinga...Mwanamke utabaki kuwa Shingo ya Familia na Mimi mwanaume nitabakia kuwa Kichwa cha Familia...Ubeijing wenu pelekeni huko...View attachment 318652
Namna hii kweli hata hiyo heshima itatoka wapi, uvaaji gani huu!, tena mbele ya umma, shame!
 
Yale ni ya Musa tu...Jana kapga kigauni cha ovyo zaidi...Nendeni FB muone mambo
Stupid flan hv amazing !!!
 
Ovyo tu kama mchuzi wa jogoo. Halafu mke wa mtu
 
Mwacheni ajiachie wabongo wanafiki sana angekuwa anavaa madera nayo mngesema vibaya kwenu jema lipi mmekaa kichawichawi
 
Aliwahi kwenda rumande kwa ajili ya bangi unatarajia nini
 
Back
Top Bottom