Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Joyce anabwia unga?
Mke wa kamanda huyoMKE WA MTU TENA MAARUFU,MAMA WA WATOTO,KACHEMSHA HAPO.
HOPE AMEJIFUNZA KITU
HahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHuyu alitakiwa kuwa mke wa le mutuz maana akili zao huwa zinafanana
Ni Mke wa nani Nataman nimjue huyo mume wakeMke wa kamanda huyo
Namna hii kweli hata hiyo heshima itatoka wapi, uvaaji gani huu!, tena mbele ya umma, shame!Hivi ana Super Woman gani huyu?... ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu ya kutetea baadhi ya Ujinga...Mwanamke utabaki kuwa Shingo ya Familia na Mimi mwanaume nitabakia kuwa Kichwa cha Familia...Ubeijing wenu pelekeni huko...View attachment 318652
Somebody Kilewo mbunge kama nipo sahihiNi Mke wa nani Nataman nimjue huyo mume wake
Rudi kijijini tulimeHuku ni shida tupu wamenivunjia nyumba
haha ha ha mi sijasemaNahisi ni huo mguu wa kulia unaofanana na wa mchezaji wa ndanda fc.