Joyce Kiria naye ni mmojawapo wa wanawake aliyetelekezwa, amekwenda kuitikia ofisini kwa RC Paul Makonda

Joyce Kiria naye ni mmojawapo wa wanawake aliyetelekezwa, amekwenda kuitikia ofisini kwa RC Paul Makonda

Wanasaikolojia wa ' Mwonekano ' wa Mtu huwa wanasema Sura ya Mtu pia huweza kukuambia jinsi umbile lake ' Ikuluni ' lilivyo kama ni tamu, chungu, baya au limekomaa kuliko na kwa Sura hii ya huyu Dada na nikiuchukua na huo Utaalam wa wanasaikolojia naweza kabisa kupata Picha ya Umbile lake la ' Ikuluni ' jinsi lilivyo baya na komavu mno.
Masta amekukosea nini aseee??maana umempa za chembe hatarii
 
Joy alianza kuchanganyikiwa tokea Kilewo akose ubunge!yaani huyu mama bana Mungu anamuona ana tamaa mno! haya kashavunja ndoa yake ngoja viben 10 vianze kumchangamkia le superwoman
 
IMG_20180409_204404_932.JPG
wanawake waliotelekezwa na waume zao wamefika kwa wingi kuonana na bashite akiwemo mwanamke wa shoka, mwana harakati, super woman joyce Kiria
 
Kama ametelekezwa basi amefanya vyema kuitikia wito
 
Back
Top Bottom