Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Iyo sentensi uliyo andika mwishoni umeandika kiswahili au ki kwenu maana usije ukawa una mkosoa Ndalichako kumbe wewe mwenyewe popoma. Ki taaluma uyo Mama Ndalichako yuko vizuri kwaiyo usimchukulie poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks, ilikuwa ni predictive text inayokuwa auto generated na android keyboard. Nime edit ile typo
 
English ipo poaa kabisa,hapo haujaelewa nini?Mumuwache dada Joyce.Wewe hapo unamcheka wakati English ulipata mswaki wa whitedent.
 
Hivi Kuongea English ndio Ishara ya usomi!???

Watanzania English sio lugha yetu ya kwanza wala ya pili,mara nyingi tunaitumia tuwasilianapo na wageni na pia katika shughuli za kiofisi!!

English sio lugha yetu mama hivyo huwezi ukaiongea kama ambavyo inaongelewa America na Uingereza...Halafu tambua yeyote anayejifunza English ukubwani lazima akumbane na changamoto kwenye kuongea...

Kwa Mfano ili uwe mjuvi wa English lazima uwe mzuri kwenye" Pronunciation " hapa hubeba asilimia 60 kwenye uongeaji wa lugha hii..

"Stress" Mikazo ya maneno hapa napo ndipo shida hutokea kwa watu ambao English sio lugha mama na hapa hubeba asilimia zisizopungua 40.

Intonation,Rythm...kila lugha ina mfumo wake na mpangilio wake wengi kiswahili kimetuathiri sana na hzi lugha zetu za makabila...

Ni ngumu kuongea English yenye kupendeza masikio ya watu tusiongee kwa mihemko aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi mtuambie Aon
Basi hivi leo Watuambie aongee rugha gani maana hata kiswahili kinamsumbua
Wewe mtwa mkulu, KISWAHILI chenyewe kinakushinda. Nina MASHAKA SANA na URAIA wako.
Tanzania huwa hatutumii neno" RUGHA" sisi hutumia neno "LUGHA"
Wahusika wakikutafuta ili kukuhoji na kukuuliza kuhusu URAIA wako, naomba USILAUMU mtu yeyote!!!!!
Sababu neno "RUGHA" si lugha ya Kitanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wacha masihara bwana
Hii nayo ni habari?

Jamani tuache ujinga basi maana nyie wenyewe mfumo wetu wa elimu mnaujua.

Mtu mwingine mpaka anapata PhD neo analoweza kulitamka kwa ufasaha ni 'is'.

In God we Trust
 
shige2
Nitakumbuka daima mirere
 
Kwani si ni yule waziri wa elimu?
In God we Trust
 
Naona umeamua kumtandika kwa maneno
Hicho ni kiingereza cha ndani kabisa huko UK na ukiwa kilaza lazima mama akuache, mama anaongea KiEnglish makini sana..

In God we Trust
 
PhD kwenye ubora wake
Hata mie niliyedrop masomo ya History; Geography na Biology nikiwa kidato cha pili namzidi.

Ila wao wanasema ni kigugumizi ndiyo kinamsumbua.

In God we Trust
 
Ina maana wewe ndiye ulimsikiliza pekee yako?
Iyo sentensi uliyo andika mwishoni umeandika kiswahili au ki kwenu maana usije ukawa una mkosoa Ndalichako kumbe wewe mwenyewe popoma. Ki taaluma uyo Mama Ndalichako yuko vizuri kwaiyo usimchukulie poa.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Aliboronga baraza la mitihani ujue
In God we Trust
 
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?

Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??

Hovyo kabisa ,shithole mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo msemaji wa wizara au?? Mleta hoja hajasema kuwa mamaa hajasoma ila amesema; Huyu ni msomi mbobezi, akashangaa kuwa aliwezaje kujieleza huko huko alikoipatia hiyo Phd yake?? Hajamdharau kuwa kasoma.
Ya pili, wewe unayeidharau hiyo lugha ya malkia, mbona unaitumia tena hapa hapa?? Kweli tuna shithole minds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…