Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

This rubbish edited,you rubbish too
Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini?

Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea Kiingereza chenye uvunjifu wa sarufi na tafsiri ya neno kwa neno toka Kiswahili kuja Kiingereza. Ya kwanza ni pale alipokuwa anamtishia Mkandaarasi wa kichina kuwa nitakusweka ndani (You will stay inside)

USHAURI:
Namshauri Mh Waziri awe anaongea kwa Kiswahili tu au awe anasoma hotuba alizoandikiwa na wataalamu. Kinyume chake anadhalilisha PhD yake na Vyuo vilivyompa hizo shahada.

Zaidi soma: Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?
View attachment 1355606

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameongea ki Chemistry Chemistry?

Huyu mama sijui alisomewa itikafu !
 
Nadhani Ndalichako ni case study kwa watanzania yakuwa na akili nyingi na usomi mpaka Phd doesn’t equates to speaking good English.

Going from her education background ambapo Ndalichako kasoma hesabu kuanzia undergraduate degree mpaka PhD huyu kichwani sio mwenzetu na si ajabu ndio waziri mwenye IQ kubwa huko kwenye baraza lao.

Tatizo ni kupewa majukumu yasiyo endana na uwezo wake badala ya kuandaa mathematical model mbali mbali za kisera au kwenye strategic planning; amekuwa akipewa nafasi za managerial na sasa politics.

Huko kwenye managerial posts na kutunga sera anapwaya na anaonekana hana analolijua kwa mtaji huo tutaendelea kumuita kilaza pamoja ni miakili yake.
 
Hivi Kuongea English ndio Ishara ya usomi!???

Watanzania English sio lugha yetu ya kwanza wala ya pili,mara nyingi tunaitumia tuwasilianapo na wageni na pia katika shughuli za kiofisi!!

English sio lugha yetu mama hivyo huwezi ukaiongea kama ambavyo inaongelewa America na Uingereza...Halafu tambua yeyote anayejifunza English ukubwani lazima akumbane na changamoto kwenye kuongea...

Kwa Mfano ili uwe mjuvi wa English lazima uwe mzuri kwenye" Pronunciation " hapa hubeba asilimia 60 kwenye uongeaji wa lugha hii..

"Stress" Mikazo ya maneno hapa napo ndipo shida hutokea kwa watu ambao English sio lugha mama na hapa hubeba asilimia zisizopungua 40.

Intonation,Rythm...kila lugha ina mfumo wake na mpangilio wake wengi kiswahili kimetuathiri sana na hzi lugha zetu za makabila...

Ni ngumu kuongea English yenye kupendeza masikio ya watu tusiongee kwa mihemko aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mshaurini Joyce aongee Kiswahili. Hoja kuwa English siyo mother tongue yake siyo excuse. Aache kutujazia clips YouTube za broken English wakati yeye ndiye Waziri wa Elimu. Je anaweka mfano gani kwa watoto wetu wanaosoma English leo?

Unaanzaje kum- discipline mwanao aliyepata grade F English Language wakati Waziri wake wa Elimu anaongea broken ?
 
Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini?

Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea Kiingereza chenye uvunjifu wa sarufi na tafsiri ya neno kwa neno toka Kiswahili kuja Kiingereza. Ya kwanza ni pale alipokuwa anamtishia Mkandaarasi wa kichina kuwa nitakusweka ndani (You will stay inside)

USHAURI:
Namshauri Mh Waziri awe anaongea kwa Kiswahili tu au awe anasoma hotuba alizoandikiwa na wataalamu. Kinyume chake anadhalilisha PhD yake na Vyuo vilivyompa hizo shahada.

Zaidi soma: Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

View attachment 1355606

Nadhani mleta uzi anataka kuleta kiingereza cha dictionary.Una ushamba mkubwa sana wa lugha .Nenda uingereza mnakokuabudu utashangaa wanavyocheza na lugha yao ambapo kwako wewe utaona ni maajabu na utadhania wanaharibu lugha yao.Usijilinganishe na Prof .Joyce Ndalichako hata siku moja.
 
Kwani kujua kiingereza inasaidia nini? na km mnapenda elimu sana kwanini mkakubali sifa ya mbunge ajue tu kusoma na kuandika?

They say it's for communication, not for fluency, kama mchina kaelewa hicho kibovu, over.

Kwani nyie mnaomsema sema mnakijua hicho kiingereza, halafu mkikutana na mzungu mnaanza tetemeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumesema atumie Kiswahili kuliko kuongea kiingereza chenye sarufi mbovu.
 
Waende British Council
Ama Wamuone Ras Simba

Kuosha/Kujinoa Hasa Hasa Ung'eng'e Utoke Mzuri
😅😄😃😂😁🤣😃😄😅✍✍✍✍✍😃😄😅
 
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?

Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??

Hovyo kabisa ,shithole mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri mwenye dhamana ya kusimamia yote hayo hajui hata kuongea lugha iliyompa uprofessa na watetezi wa utawala huu nyie mnaona sawa tu kutetea hadi ujinga kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uprofesa wa kibongo ndiyo hivi kweli elimu tanzania hakuna.Ni wizi tuu ndiyo maana hatuuziki katika soko la ajira
Comment yako imenigusa!! Hapo ndipo nilitaka kwenda. Ukiingia interview unagombea post ya EAC na Wakenya au Waganda hawata kupa excuse kuwa eti wakuvumilie na Kiingereza kibovu kwa vile una PhD, utapigwa chini tu. Na Watanzania wengi wamekosa positions za kimataifa kwa uzembe huu.
 
Nadhani mleta uzi anataka kuleta kiingereza cha dictionary.Una ushamba mkubwa sana wa lugha .Nenda uingereza mnakokuabudu utashangaa wanavyocheza na lugha yao ambapo kwako wewe utaona ni maajabu na utadhania wanaharibu lugha yao.Usijilinganishe na Prof .Joyce Ndalichako hata siku moja.
Nafuu mimi mashamba kuliko wewe unayetetea makosa ya wazi wazi. Two wrongs do not make one right.
Hatuwezi kufanya makosa kwa vile Ulaya wanafanya makosa.

Kumbuka huyu ni Waziri wa Elimu wa Tanzania siyo sawa na mbeba mabox au msafisha wazee wasiojiweza wa nursing homes za London
 
Kuna watu wangapi wewe personally unawajua ambao degree yao ya kwanza ni hesabe, leave alone postgraduate.

Jibu lako ndio litakwambia Ndalichako ni level zingine.
Wengi nawajua na wanatumikia kufundisha hesabu kwenye level mbali mbali au kutengeneza mitaala ya hesabu.

Kama huo ndiyo umahiri wake, mpelekeni huko siyo kutudhalilisha kwa English ile !!
Amesema nanukuu

"CHILDREN OF TANZANIA ARE GET" Hichi kingereza cha wapi? huyu professor kweli? hapana
 
Back
Top Bottom