KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
"Kitaaluma kuwa vizuri" ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuiwasilisha hiyo 'taaluma' uliyo nayo.Iyo sentensi uliyo andika mwishoni umeandika kiswahili au ki kwenu maana usije ukawa una mkosoa Ndalichako kumbe wewe mwenyewe popoma. Ki taaluma uyo Mama Ndalichako yuko vizuri kwaiyo usimchukulie poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna uwezo wa kujieleza watu wakuelewe, watajuaje uzuri wa taaluma uliyo nayo?