The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Huyu mama kanisainia vyeti vyangu vya sekondari ila ni kilaza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mtuambie Aon
Basi hivi leo Watuambie aongee rugha gani maana hata kiswahili kinamsumbua
Kwa sababu ajasomea things of social science theories in nature.Mbona kila anaposhika anaharibu ?
It can very complicated if you don’t have the head.
Mkuu wewe na ndelichako mnafanaa kila kitu!mtu ana ata first degree za mathematic
Ni British cancel [emoji41]Waende British Council
Ama Wamuone Ras Simba
Kuosha/Kujinoa Hasa Hasa Ung'eng'e Utoke Mzuri
[emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28][emoji871][emoji871][emoji871][emoji871][emoji871][emoji2][emoji1][emoji28]
Hahahaha aiseeeee.Hicho ni kiingereza cha ndani kabisa huko UK na ukiwa kilaza lazima mama akuache, mama anaongea KiEnglish makini sana..
Duh, mbona Kuna mahali humu watu wanasema walimpendekeza kwa jiwe.Hivi ndio vichwa tulivyovipa jukumu la kufikiri kwa niaba yetu!! Inasikitisha sana!
Yaani professor mzima anashindwa simple English namna hiyo?
Jiwe amejua kuchagua wakufanana nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeweka video nzima ingependeza au ya angalau dakika 2Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini?
Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea Kiingereza chenye uvunjifu wa sarufi na tafsiri ya neno kwa neno toka Kiswahili kuja Kiingereza. Ya kwanza ni pale alipokuwa anamtishia Mkandaarasi wa kichina kuwa nitakusweka ndani (You will stay inside)
USHAURI:
Namshauri Mh Waziri awe anaongea kwa Kiswahili tu au awe anasoma hotuba alizoandikiwa na wataalamu. Kinyume chake anadhalilisha PhD yake na Vyuo vilivyompa hizo shahada.
Zaidi soma: Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?
View attachment 1355606
Hivi ndio vichwa tulivyovipa jukumu la kufikiri kwa niaba yetu!! Inasikitisha sana!
Yaani professor mzima anashindwa simple English namna hiyo?
Jiwe amejua kuchagua wakufanana nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari kwako ni ipi?Hii nayo ni habari?
Jamani tuache ujinga basi maana nyie wenyewe mfumo wetu wa elimu mnaujua.
Mtu mwingine mpaka anapata PhD neo analoweza kulitamka kwa ufasaha ni 'is'.
😆😆😆😆 ana digrii ya hesabuMkuu wewe na ndelichako mnafanaa kila kitu!
Ungejitahidi uandike kwa kiswahili kuliko kujiabisha namna hii!
Usitumie lugha ngeni kama inakusumbua!
Binadamu awezi pangiwa cha kusema kumwita Ndalichako mwenye mi degree ya hesabu kilaza ni kujifurahisha tu; na huyo kiazi mwingine nimeona nimpotezee sidhani kama anaweza andika ata karatasi ya A4 in standard English.😆😆😆😆 ana digrii ya hesabu
Hii ni habari haswa mkuu 'technically'.Hii nayo ni habari?
Jamani tuache ujinga basi maana nyie wenyewe mfumo wetu wa elimu mnaujua.
Mtu mwingine mpaka anapata PhD neo analoweza kulitamka kwa ufasaha ni 'is'.