rugha...lugha??Basi mtuambie Aon
Basi hivi leo Watuambie aongee rugha gani maana hata kiswahili kinamsumbua
Mpumbavu anakosoa ujinga!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rugha...lugha??Basi mtuambie Aon
Basi hivi leo Watuambie aongee rugha gani maana hata kiswahili kinamsumbua
Point of correction: HIYO NI ENGLISH YA ENGLISH COURSE FORM ONE (wale waliofaulu la saba)MKUU NDEGE WANAO FANANA HURUKA PAMOJA. HIYO NI ENGLISH YA FORM 2 ALIYE FELI
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?
Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??
Hovyo kabisa ,shithole mind.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe na ndelichako mnafanaa kila kitu!
Ungejitahidi uandike kwa kiswahili kuliko kujiabisha namna hii!
Usitumie lugha ngeni kama inakusumbua!
Jasho kama anasukuma mkokoteni vile. Na hapo yupo anasoma word-to-word!Afadhali kidogo safari hii, lakini mbona kijasho kinamtoka.
Daaah,wabongo wengi bado wanaamini kwamba,kujua ki-english fasaha ni kuwa mwerevu.
Jose Mourinho kocha wa Spurs bado anaongea broken English mpaka kesho pamoja na kuish England miaka kibao ,sasa sijui nayeye KILAZA kwa mujibu wa 'wasomi' wetu hapa???
Hivi ndio vichwa tulivyovipa jukumu la kufikiri kwa niaba yetu!! Inasikitisha sana!
Yaani professor mzima anashindwa simple English namna hiyo?
Jiwe amejua kuchagua wakufanana nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili ,aliyekwambia kujua English ndiyo ishara ya usomi ni nani?
Karne hii bado unaamini anyeongea kiingereza vizuri ndiyo msomi??
Hovyo kabisa ,shithole mind.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lugha aliyozaliwa nayo sioni shida hapo ili mradi aeleweke tu kwa hadhira anayozungumza nayo,hata huko mavyuoni tumefaulu lakini si kwa kuandika kiingereza kizuri ila kwa kumwaga points kwenye swali uliloulizwa na msahihishaji akanielewa.
Hivi Mtu ukijua kuongea Kiingereza ndo amefaulu. Basi kama ndiyo hivyo mtoto Wangu wa Dara la 4 nimsomi kwelikweli maana anaongea sana kiingereza, UK English and USA English.
Vilevile Watoto wale wa uingereza nao ni Wasomi kwelikweli maana kutwa wanaongea kiingereza.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nineamini kuna Mburula wengi sana ambao wanaamini ukijua Lugha ya kiingereza ndo usomi wenyewe.
Wewe ndiye mjinga. Elimu ya Tanzania tunajifunza English kama somo compulsory kuanzia Std 1 mpaka O-level, yaani miaka 11. Na ni language of instruction kwa masomo yote kasoro Kiswahili kuanzia Form 1 hadi University yaani miaka mingine 9. Kisha kama unafanya Masters na PhD una miaka mingine 5. Kwa ujumla ana minimum ya miaka 25 ambayo alikuwa involved au kujifunza lugha au kutumia lugha ya Kiingereza
Hakuna excuse ya kusema eti Watanzania lugha yetu tunayoongea sana ni Kiswahili ndiyo uongee English fyongo kama hiyo ya Joyce. Kulazimisha kuongea "broken English" ni more damaging kuliko kuongea Kiswahili then mkalimani akakusaidia kutafsiri.
Kubalini tu kuwa Kiingereza hakimpendi, abakie kwenye Kiswahili tu, otherwise anajiaibisha kama Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini.
Kuna vitu hata usipovijua vinakuwa havina madhara wala umuhimu wowote. Mzungu huwezi kuta anamcheka mwongea broken Ila sisi tulioikuta hii lugha shuleni tunachekana, hovyo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
lugha tu hiz jamani tusibezane sana wakenya jana walikuwa wanalalamika pia Gidion Moi (expected kenyan 5th) hajui kiswahili ..Doktari =daktari
Kuzungumza Kiingereza kizuri hakuna uhusiano wowote na utendaji. Rekodi ya huyu mama inambeba. Nafahamu suala hili pia linachagizwa na siasa lakini huyu mama amefanya mambo makubwa kabisa na ya maana kwa Taifa hili
Wewe lazima utakuwa umesoma chuo janja janja, yani unatetea waziri wa elimu siyo muhimu kujua kingereza ambacho kakitumia mpaka kupata PhD (nahisi nayo ni fake kama ya yule jamaa).
Sent using Jamii Forums mobile app