JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

Mkuu Paukwa, Pakawa, with due respect, tuko wote humu jf kwa zaidi ya miaka 10!, hujazijua tuu thumbs up zangu?.
Nakuomba sana, usiwawazie wengine mabaya, ni kama kuwahukumu na kuwanyooshea vidole, ikitokea hawana huo ubaya ulioudhania, karma ya maumivu ya ubaya unaowadhania its upon you!.
Usihukumu usije ukahukumiwa!.
P
 

akikupa udisii amekuona njaa

unafaa uarasii Mh.Pascal
 
Alisikika kada mmoja wa ccm akiwapa ushauri chadema ya jinsi ya kuishinda ccm🤣🤣🤣
 
Ha ha ha hilo la Mbowe kujiuzulu sahau. Ni Sawa na mpangaji kumtimua mwenye nyumba. Lissu ajiandae kuanzisha chama chake na Amsterdam huko kwao Ubelgiji.
 
We nae kwa kujitiaga mchambuzi wa siasa!

Halafu hivi kuwa mwanaharakati ni jambo baya kiasi hicho?
 
wewe ulikua mayala kwetu ni njaa, ulibinywa pumbu ukakubali tokeo ukaanza kuunga juhudi,, nani asiyekujua kama wewe ni mnafki tu sasa hivi umebakia,, hii ngoma tuachie wenyewe tutaicheza wenyewe
 
Mko wengi Sana mnaosubiri wenzenu wakapige kura halafu Lissu ashinde.
Baada ya kura mlionyuma ya keyboard mnaosubiri wenzenu wakapige kura mtaanza kupost mfululizo kwamba mmeibiwa kura.
Mmekaa kusubiri kumjulisha Amsterdam kuhusu kuibiwa kura.
 
Magufuli atashinda kwa vigezo gani wakati watanzania wengi tumemkataa hakika??
ni kweli Magu wananchi wengi wamemkataa ila kumbuka ni mungu kwa tume ya uchaguzi ya mahera akikohoa tu mahera na kaijage wanajambajamba kwa hiyo lazima watamtangaza kuwa ni mshindi tena kwa asilimia zaidi ya 90, kingine kumbuka sisi ccm, sio tu kwamba tuna tume, bali tuna jeshi pia, tuna polisi kingine ni washirikina balaa kutoa damu na kafara za wanadamu kwa ajili ya madaraka ni sekunde tu sasa kwa vizingiti hivi nilivyotaja hamtatangazwa kuwa mmeshinda hata iweje
 
Nani anamuogopa Lissu? Ngoja bado masaa machache tuu usikimbie jukwaani uone hakuna anayemuogopa huyo mbelgiji. Kura atakazopata ataona Dec 18 mbali Sana na beberu lake Amsterdam litakuwa limefura kwa hasira kwa kudanganywa.
 
Wewe na huyo mzee kijiji wako kura zenu ni 2 tu.

Hiyo 2025 wewe utakuwepo?

NEC itamtangaza mpinzani..?

Mumezoea kushabikia upuuzi na ujinga kwa maslahi yenu ya HAJA KUBWA.


THIS TIME NO BIG
 
Mwanakijiji amefeli kabisa. Ni kweli project Lowasa ilikuwa na mapungufu makubwa, lakini anashindwa kutambua kwamba Lissu wa leo amezaliwa na udikteta na ukatili wa utawala wa Magufuli. Siasa za mazungumzo za Kikwete zilimdumaza Lissu akabakia kujiona ni mbunge tu. Lakini ubabe wa Magufuli umeiamsha GENIUS ya Lissu. Hivyo Lissu 2015 asingeweza kutamba hivi na kuungwa mkono hivi.

Ni kweli ameichonga CHADEMA na ameiamsha upya, na watanzania wameitikia. Tanzania pia ipo tayari kumpokea Lissu kama kiongozi wao, baada ya kuchoshwa na ubabe wa Magufuli. Lissu ndie mtanzania pekee mwenye uthubutu wa kumkabili Magufuli, pamoja na maguvu yake na ukali wake. Hilo halikuwepo 2015.

Kulikuwa na hoja zinajengwa kwamba ACT ndio inakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Lakini Kimbunga cha Lissu pamoja na kimeo cha Membe, vimefutilia mbali ndoto hizo na sasa ACT wanakuwa washirika wa CHADEMA .

Lissu bado anamhitaji saaaana Mbowe. Na kwa kweli bila msimamo, hekima na akili za Mbowe, Lissu asingevuka kirahisi shambulio la risasi. Kwa hiyo unaweza kusema Mbowe ni mmoja wa wakunga wakuu katika kuzaliwa Lissu wa leo. Na hilo Lissu analijua, na anamheshimu sana Mbowe.

Mwanakijiji ana hangover za 2015 na anataka kupanga meza ili afunike blunder zake katika kumsapoti Magufuli kwa hasira za Lowasa kuja CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…