JPM Hawezi kushindwa!.
P
..Kama kampeni za Magufuli zimeku-inspire then una haki ya kufikiria hivyo.
..Mimi nimevutiwa na kushawishika na kampeni za Tundu Lissu na ninakwenda kumpigia kura.
..Na ninamuombea ushindi Tundu Lissu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM Hawezi kushindwa!.
P
Hawezi kushindwa au hawezi kuachwa kutangazwa mshindi? Magufuli hana sifa ya kushinda kwa njia ya kura, na hii ni toka akiwa mbunge. Na hata huu uhayawani wa kupita bila kupingwa, sheria hii imefanya kazi sana chini yake kuliko awamu zote.JPM Hawezi kushindwa!.
P
Wasomi wa nchi hii kweli ni mapalamagamba haswaa!
Wanabodi,
Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri,
Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize
Kwa faida ya watumiaji wa bundle kwa budget hivyo hawezi kufungua video links na wale wenzangu na mimi wa kiwango cha uelewa wa chini kiasi cha kutoweza kumuelewa GT wa level ya Mkuu Mzee Mwanakijiji,
nawawekea paraphrased version, naomba kunukuu
"Nije kwa ndugu yangu Lissu...,
Lissu ni mtu ambaye anayeweza kuja kuwa rais wa Tanzania, hili sina shaka, sina shaka kabisa, na ana qualifications zote,
Jambo pekee ambalo amelikosa, na hii ninayo waambia, ndio sio sababu kubwa kwanini Lissu, sio tuu kwamba atashindwa, bali inampasa ashindwe, unisikilize vizuri.
Lisu atashinda, lakini pia inampasa ashindwe, nitakuambia kwa nini, kwasababu ndio utaamua upinzani wa Tanzania unaelekea wapi. Hili linalotokea leo hii, lilitakiwa litokee 2015, leo hii kuna mstari umechorwa mweupe kabisaa, kati ya CCM na Chadema, ile separation is very clear, watu wanaomuunga Lissu wapo na wanajua kwanini, na wanaomuunga Magufuli wapo na wanajua kwanini, Lissu atakaposhindwa, itaamua Chadema iende vipi 2025, ina ajenda gani?.
Na jambo la kwanza ambalo napenda kulisikia kabla ya mwisho wa wiki hii, baada ya Magufuli tuu kutangazwa kuwa rais,
(atashinda nimewaambia), (kwa msisitizo)
Freeman Aikaeli Mbowe, ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu chama, Lissu aijenge Chadema kwa image yake, na anataka chama cha upinzani kiende vipi.
Na nnajua (Lissu) ni mwanaharakati, na hii labda ndio weakness yake, lakini sasa ni lazima aanze kuonekana kama ni statesmanship, kuonyesha statesmanship, lazima Lissu aanze kuonekana kama kiongozi kweli wa upinzani, na hivyo aone, ni kwamba atakipokea chama hiki kabla ya mwisho wa wiki hii, na akae chini na...
mimi of course, mimi I'm always open, wakisema Bwana Ben, tunaomba uje uzungumze nasi, unatushauri vipi sasa hivi, mimi I'm very frank, mimi kwangu Tanzania ni kubwa zaidi kuliko hawa wagombea, kuliko hivi vyama vya kisiasa...
Lakini Lissu, atatakiwa aijenge Chadema, hastahili kupewe kura za pole, shukrani, hongera au asante, anatakiwa apewe kura za kuonyesha kama amekuwa kuongozi wa upinzani, na ameujenga upinzani wa Tanzania, na ana miaka 5 kuamua Chadema inakuwaje"-Mzee Mwanakijiji
Mwisho wa kunuku
My Take
Kufuatia exposure ya Mkuu Mzee Mwanakijiji, mimi naukubali ushauri huu ni ushauri wa busara sana, hivyo nawashauri wale wote wanaomkubali Mzee Mwanakijiji, na walipanga kesho wampigie kura Lissu, sasa kura hizo, waziweke akiba hadi 2025, kwa kesho, badala ya kuzipoteza kwa kumpigia mtu ambaye hata shinda, bora wampe Magufuli ambaye ndiye atamkabidhi Lissu ikule ile 2025.
Paskali
Naunga mkono hojaHawezi kushindwa, hawezi kuachwa kutangazwa mshindi. Magufuli ana sifa ya kushinda kwa njia ya kura, na hii ni toka akiwa mbunge. Na hata huu kupita bila kupingwa, sheria hii imefanya kazi sana chini yake kuliko awamu zote.
Iwe iwavyo, Magufuli ashinde kihalali uchaguzi huu umedhihirisha enzi za ccm kuendelea kuwa chama pekee chenye nguvu kwa uhalali wa umma ni kwasababu ccm imeshinda
Wanabodi,
Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri,
Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize
Kwa faida ya watumiaji wa bundle kwa budget hivyo hawezi kufungua video links na wale wenzangu na mimi wa kiwango cha uelewa wa chini kiasi cha kutoweza kumuelewa GT wa level ya Mkuu Mzee Mwanakijiji,
nawawekea paraphrased version, naomba kunukuu
"Nije kwa ndugu yangu Lissu...,
Lissu ni mtu ambaye anayeweza kuja kuwa rais wa Tanzania, hili sina shaka, sina shaka kabisa, na ana qualifications zote,
Jambo pekee ambalo amelikosa, na hii ninayo waambia, ndio sio sababu kubwa kwanini Lissu, sio tuu kwamba atashindwa, bali inampasa ashindwe, unisikilize vizuri.
Lisu atashinda, lakini pia inampasa ashindwe, nitakuambia kwa nini, kwasababu ndio utaamua upinzani wa Tanzania unaelekea wapi. Hili linalotokea leo hii, lilitakiwa litokee 2015, leo hii kuna mstari umechorwa mweupe kabisaa, kati ya CCM na Chadema, ile separation is very clear, watu wanaomuunga Lissu wapo na wanajua kwanini, na wanaomuunga Magufuli wapo na wanajua kwanini, Lissu atakaposhindwa, itaamua Chadema iende vipi 2025, ina ajenda gani?.
Na jambo la kwanza ambalo napenda kulisikia kabla ya mwisho wa wiki hii, baada ya Magufuli tuu kutangazwa kuwa rais,
(atashinda nimewaambia), (kwa msisitizo)
Freeman Aikaeli Mbowe, ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu chama, Lissu aijenge Chadema kwa image yake, na anataka chama cha upinzani kiende vipi.
Na nnajua (Lissu) ni mwanaharakati, na hii labda ndio weakness yake, lakini sasa ni lazima aanze kuonekana kama ni statesmanship, kuonyesha statesmanship, lazima Lissu aanze kuonekana kama kiongozi kweli wa upinzani, na hivyo aone, ni kwamba atakipokea chama hiki kabla ya mwisho wa wiki hii, na akae chini na...
mimi of course, mimi I'm always open, wakisema Bwana Ben, tunaomba uje uzungumze nasi, unatushauri vipi sasa hivi, mimi I'm very frank, mimi kwangu Tanzania ni kubwa zaidi kuliko hawa wagombea, kuliko hivi vyama vya kisiasa...
Lakini Lissu, atatakiwa aijenge Chadema, hastahili kupewe kura za pole, shukrani, hongera au asante, anatakiwa apewe kura za kuonyesha kama amekuwa kuongozi wa upinzani, na ameujenga upinzani wa Tanzania, na ana miaka 5 kuamua Chadema inakuwaje"-Mzee Mwanakijiji
Mwisho wa kunuku
My Take
Kufuatia exposure ya Mkuu Mzee Mwanakijiji, mimi naukubali ushauri huu ni ushauri wa busara sana, hivyo nawashauri wale wote wanaomkubali Mzee Mwanakijiji, na walipanga kesho wampigie kura Lissu, sasa kura hizo, waziweke akiba hadi 2025, kwa kesho, badala ya kuzipoteza kwa kumpigia mtu ambaye hata shinda, bora wampe Magufuli ambaye ndiye atamkabidhi Lissu ikule ile 2025.
Paskali
Kupona Kwa Lisu na zile risasi zenu.ni sehemu ya uchungu maishani mwenu nyinyi wauwaji.Hawezi kushinda!.
P
Hawezi kuyasema hayo mauwaji maana paskali yeye ni sehemu ya wanayasapoti wauwaji. jamaa ni mpuuzi sana.huyu hata akitumwa kuuwa anauwa.Wewe na huyo bendera hufuata upepo Mzee Mwanakijiji wote ni waganga njaa na WAPUUZI wote. Mauaji yanatokea nchini ya Watanzania ambao hawana hatia yoyote ile na nyie MAZWAZWA hamsemi lolote lile bali cha maana mnachokiona wachumia tumbo nyinyi na wasaka teuzi na kushinikiza Mbowe ajiuzulu!!!!