Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Duh..Mayala unakumbukumbu..ntatuma tena salamu mapema 2025 inshallah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi Chadema wenzako wakisoma hii sentensi watacheka sana.mbona hizi kampeni tayari zimeonyesha kwamba Lissu is a statesman?
Wanabodi,
Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri,
Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize
Kwa faida ya watumiaji wa bundle kwa budget hivyo hawezi kufungua video links na wale wenzangu na mimi wa kiwango cha uelewa wa chini kiasi cha kutoweza kumuelewa GT wa level ya Mkuu Mzee Mwanakijiji,
nawawekea paraphrased version, naomba kunukuu
"Nije kwa ndugu yangu Lissu...,
Lissu ni mtu ambaye anayeweza kuja kuwa rais wa Tanzania, hili sina shaka, sina shaka kabisa, na ana qualifications zote,
Jambo pekee ambalo amelikosa, na hii ninayo waambia, ndio sio sababu kubwa kwanini Lissu, sio tuu kwamba atashindwa, bali inampasa ashindwe, unisikilize vizuri.
Lisu atashinda, lakini pia inampasa ashindwe, nitakuambia kwa nini, kwasababu ndio utaamua upinzani wa Tanzania unaelekea wapi. Hili linalotokea leo hii, lilitakiwa litokee 2015, leo hii kuna mstari umechorwa mweupe kabisaa, kati ya CCM na Chadema, ile separation is very clear, watu wanaomuunga Lissu wapo na wanajua kwanini, na wanaomuunga Magufuli wapo na wanajua kwanini, Lissu atakaposhindwa, itaamua Chadema iende vipi 2025, ina ajenda gani?.
Na jambo la kwanza ambalo napenda kulisikia kabla ya mwisho wa wiki hii, baada ya Magufuli tuu kutangazwa kuwa rais,
(atashinda nimewaambia), (kwa msisitizo)
Freeman Aikaeli Mbowe, ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu chama, Lissu aijenge Chadema kwa image yake, na anataka chama cha upinzani kiende vipi.
Na nnajua (Lissu) ni mwanaharakati, na hii labda ndio weakness yake, lakini sasa ni lazima aanze kuonekana kama ni statesmanship, kuonyesha statesmanship, lazima Lissu aanze kuonekana kama kiongozi kweli wa upinzani, na hivyo aone, ni kwamba atakipokea chama hiki kabla ya mwisho wa wiki hii, na akae chini na...
mimi of course, mimi I'm always open, wakisema Bwana Ben, tunaomba uje uzungumze nasi, unatushauri vipi sasa hivi, mimi I'm very frank, mimi kwangu Tanzania ni kubwa zaidi kuliko hawa wagombea, kuliko hivi vyama vya kisiasa...
Lakini Lissu, atatakiwa aijenge Chadema, hastahili kupewe kura za pole, shukrani, hongera au asante, anatakiwa apewe kura za kuonyesha kama amekuwa kuongozi wa upinzani, na ameujenga upinzani wa Tanzania, na ana miaka 5 kuamua Chadema inakuwaje"-Mzee Mwanakijiji
Mwisho wa kunuku
My Take
Kufuatia exposure ya Mkuu Mzee Mwanakijiji, mimi naukubali ushauri huu ni ushauri wa busara sana, hivyo nawashauri wale wote wanaomkubali Mzee Mwanakijiji, na walipanga kesho wampigie kura Lissu, sasa kura hizo, waziweke akiba hadi 2025, kwa kesho, badala ya kuzipoteza kwa kumpigia mtu ambaye hata shinda, bora wampe Magufuli ambaye ndiye atamkabidhi Lissu ikule ile 2025.
Paskali

Lisu atashinda, lakini pia inampasa ashindwe, nitakuambia kwa nini, kwasababu ndio utaamua upinzani wa Tanzania unaelekea wapi. Hili linalotokea leo hii, lilitakiwa litokee 2015, leo hii kuna mstari umechorwa mweupe kabisaa, kati ya CCM na Chadema, ile separation is very clear, watu wanaomuunga Lissu wapo na wanajua kwanini.
Freeman Aikaeli Mbowe, ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu chama, Lissu aijenge Chadema kwa image yake, na anataka chama cha upinzani kiende vipi.
Na nnajua (Lissu) ni mwanaharakati, na hii labda ndio weakness yake, lakini sasa ni lazima aanze kuonekana kama ni statesmanship, kuonyesha statesmanship, lazima Lissu aanze kuonekana kama kiongozi kweli wa upinzani, na hivyo aone, ni kwamba atakipokea chama hiki kabla ya mwisho wa wiki hii, na akae chini na...
Lakini Lissu, atatakiwa aijenge Chadema, hastahili kupewe kura za pole, shukrani, hongera au asante, anatakiwa apewe kura za kuonyesha kama amekuwa kuongozi wa upinzani, na ameujenga upinzani wa Tanzania, na ana miezi 5 kuamua Chadema inakuwaje"-Mzee Mwanakijiji
Mwisho wa kunuku
My Take
Kufuatia exposure ya Mkuu Mzee Mwanakijiji, mimi naukubali ushauri huu ni ushauri wa busara sana, hivyo nawashauri wale wote wanaomkubali Mzee Mwanakijiji, na watashuhudia Lissu akiingia Ikulu yetu October 2025.
Paskali
Wanabodi,
Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri,
Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize
Kwa faida ya watumiaji wa bundle kwa budget hivyo hawezi kufungua video links na wale wenzangu na mimi wa kiwango cha uelewa wa chini kiasi cha kutoweza kumuelewa GT wa level ya Mkuu Mzee Mwanakijiji,
nawawekea paraphrased version, naomba kunukuu
"Nije kwa ndugu yangu Lissu...,
Lissu ni mtu ambaye anayeweza kuja kuwa rais wa Tanzania, hili sina shaka, sina shaka kabisa, na ana qualifications zote,
Jambo pekee ambalo amelikosa, na hii ninayo waambia, ndio sio sababu kubwa kwanini Lissu, sio tuu kwamba atashindwa, bali inampasa ashindwe, unisikilize vizuri.
Lisu atashinda, lakini pia inampasa ashindwe, nitakuambia kwa nini, kwasababu ndio utaamua upinzani wa Tanzania unaelekea wapi. Hili linalotokea leo hii, lilitakiwa litokee 2015, leo hii kuna mstari umechorwa mweupe kabisaa, kati ya CCM na Chadema, ile separation is very clear, watu wanaomuunga Lissu wapo na wanajua kwanini, na wanaomuunga Magufuli wapo na wanajua kwanini, Lissu atakaposhindwa, itaamua Chadema iende vipi 2025, ina ajenda gani?.
Na jambo la kwanza ambalo napenda kulisikia kabla ya mwisho wa wiki hii, baada ya Magufuli tuu kutangazwa kuwa rais,
(atashinda nimewaambia), (kwa msisitizo)
Freeman Aikaeli Mbowe, ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu chama, Lissu aijenge Chadema kwa image yake, na anataka chama cha upinzani kiende vipi.
Na nnajua (Lissu) ni mwanaharakati, na hii labda ndio weakness yake, lakini sasa ni lazima aanze kuonekana kama ni statesmanship, kuonyesha statesmanship, lazima Lissu aanze kuonekana kama kiongozi kweli wa upinzani, na hivyo aone, ni kwamba atakipokea chama hiki kabla ya mwisho wa wiki hii, na akae chini na...
mimi of course, mimi I'm always open, wakisema Bwana Ben, tunaomba uje uzungumze nasi, unatushauri vipi sasa hivi, mimi I'm very frank, mimi kwangu Tanzania ni kubwa zaidi kuliko hawa wagombea, kuliko hivi vyama vya kisiasa...
Lakini Lissu, atatakiwa aijenge Chadema, hastahili kupewe kura za pole, shukrani, hongera au asante, anatakiwa apewe kura za kuonyesha kama amekuwa kuongozi wa upinzani, na ameujenga upinzani wa Tanzania, na ana miaka 5 kuamua Chadema inakuwaje"-Mzee Mwanakijiji
Mwisho wa kunuku
My Take
Kufuatia exposure ya Mkuu Mzee Mwanakijiji, mimi naukubali ushauri huu ni ushauri wa busara sana, hivyo nawashauri wale wote wanaomkubali Mzee Mwanakijiji, na walipanga kesho wampigie kura Lissu, sasa kura hizo, waziweke akiba hadi 2025, kwa kesho, badala ya kuzipoteza kwa kumpigia mtu ambaye hata shinda, bora wampe Magufuli ambaye ndiye atamkabidhi Lissu ikule ile 2025.
Paskali
Wanabodi,
Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri,
Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize
Kwa faida ya watumiaji wa bundle kwa budget hivyo hawezi kufungua video links na wale wenzangu na mimi wa kiwango cha uelewa wa chini kiasi cha kutoweza kumuelewa GT wa level ya Mkuu Mzee Mwanakijiji,
nawawekea paraphrased version, naomba kunukuu
"Nije kwa ndugu yangu Lissu...,
Lissu ni mtu ambaye anayeweza kuja kuwa rais wa Tanzania, hili sina shaka, sina shaka kabisa, na ana qualifications zote,
Jambo pekee ambalo amelikosa, na hii ninayo waambia, ndio sio sababu kubwa kwanini Lissu, sio tuu kwamba atashindwa, bali inampasa ashindwe, unisikilize vizuri.
Lisu atashinda, lakini pia inampasa ashindwe, nitakuambia kwa nini, kwasababu ndio utaamua upinzani wa Tanzania unaelekea wapi. Hili linalotokea leo hii, lilitakiwa litokee 2015, leo hii kuna mstari umechorwa mweupe kabisaa, kati ya CCM na Chadema, ile separation is very clear, watu wanaomuunga Lissu wapo na wanajua kwanini, na wanaomuunga Magufuli wapo na wanajua kwanini, Lissu atakaposhindwa, itaamua Chadema iende vipi 2025, ina ajenda gani?.
Na jambo la kwanza ambalo napenda kulisikia kabla ya mwisho wa wiki hii, baada ya Magufuli tuu kutangazwa kuwa rais,
(atashinda nimewaambia), (kwa msisitizo)
Freeman Aikaeli Mbowe, ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu chama, Lissu aijenge Chadema kwa image yake, na anataka chama cha upinzani kiende vipi.
Na nnajua (Lissu) ni mwanaharakati, na hii labda ndio weakness yake, lakini sasa ni lazima aanze kuonekana kama ni statesmanship, kuonyesha statesmanship, lazima Lissu aanze kuonekana kama kiongozi kweli wa upinzani, na hivyo aone, ni kwamba atakipokea chama hiki kabla ya mwisho wa wiki hii, na akae chini na...
mimi of course, mimi I'm always open, wakisema Bwana Ben, tunaomba uje uzungumze nasi, unatushauri vipi sasa hivi, mimi I'm very frank, mimi kwangu Tanzania ni kubwa zaidi kuliko hawa wagombea, kuliko hivi vyama vya kisiasa...
Lakini Lissu, atatakiwa aijenge Chadema, hastahili kupewe kura za pole, shukrani, hongera au asante, anatakiwa apewe kura za kuonyesha kama amekuwa kuongozi wa upinzani, na ameujenga upinzani wa Tanzania, na ana miaka 5 kuamua Chadema inakuwaje"-Mzee Mwanakijiji
Mwisho wa kunuku
My Take
Kufuatia exposure ya Mkuu Mzee Mwanakijiji, mimi naukubali ushauri huu ni ushauri wa busara sana, hivyo nawashauri wale wote wanaomkubali Mzee Mwanakijiji, na walipanga kesho wampigie kura Lissu, sasa kura hizo, waziweke akiba hadi 2025, kwa kesho, badala ya kuzipoteza kwa kumpigia mtu ambaye hata shinda, bora wampe Magufuli ambaye ndiye atamkabidhi Lissu ikule ile 2025.
Paskali
Huwa hueleweki.One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.
P
Ni kweli kabisa, mimi sieleweki na wengi wa vichwa hivi vya vile wenye elimu ya hapa na pale, lakini kwa wenye vichwa vyao na shule zao zilizosimama, wananielewa sana tuu!.Huwa hueleweki.
If wishes were horses, beggars would ride.Ni kweli kabisa, mimi sieleweki na wengi wa vichwa hivi vya vile wenye elimu ya hapa na pale, lakini kwa wenye vichwa vyao na shule zao zilizosimama, wananielewa sana tuu!.
Its true, so does wishiful thinkers of no election!.If wishes were horses, beggars would ride.
Wishiful✖️Its true, so does wishiful thinkers of no election!.
P