Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo jizi likivamia usiku wa manane inabidi kisheria tusubiri kuche ndio tiulikimbize kulikamata na kulisachi?
asante,wabheja, sancho mukwai,tuhongise,sante kalesa,dankie,aika, mwalemi,enaa, wasalipa!
mi napenda kujua ni mambo yapi yanaweza kuishaiwishi mahakama kutoa decree ya divorce, je ni mahaka ipi inajurisdiction hiyo. nisheria zipi na vifungu vipi vinaweza kuangaliwa ili divorce iwe possibble hapa tanzania? what a legal consequences to both parties after divorce interms of matrimonial property and children. please help me comreds.
[/QUOTE
- Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako.
- Mwulize jina lake
- Mwulize namba yake ya uaskari
- Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa.
- Raia ana haki ya kuwajulisha ndugu, jamaa ama sehemu anakofanyia kazi kwamba ama amekamatwa na polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa.
- Raia ana haki ya kuomba na kupewa dhamana wakati akiwa kituo cha polisi ama Taasisi ya kuzuia rushwa.
- Hutakiwi kutoa fedha kama dhamana uwapo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa, isipokuwa maelezo utakayoandika.
- Raia ana haki ya kuwaeleza polisi ama Maafisa wa Kuzuia Rushwa kwamba lolote atakalosema linaweza kutumiwa kama ushahidi mahakamani, na asiburuzwe kuandika tu.
- Raia ana haki ya kuomba Wakili wake awepo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa wakati anatoa maelezo yake.
- Raia ana haki ya kuyasoma kabla ya kutia sahihi yake.
- Raia ana haki ya kudai risiti ya orodha ya vitu vyake/fedha zake alizozitoa ama kukabidhi kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa.
- Raia kama ni mwanamke ana haki ya kupekuliwa na polisi wa kike, na iwapo hakuna polisi mwanamke, basi mwanamke yeyote na vile vile kwa mwanamume.
- Raia ana haki ya kufikishwa mahakamani katika muda usiozidi saa 24 tangu alipokamatwa na kufikishwa kituo cha polisi.
You have the right to remain silent. Anything you say or do can and will be held against you in a court of law. You have the right to an attorney If you cannot afford an attorney, one will be provided for you
Sio haki kabisa,japo uwa linafanywa mara nyingi,mtu anatakiwa kukamatwa kwa kosa alilolifanya yeye mwenyewe binafsi.je ni haki kukamatwa na kulazimishwa kumtafuta aliyetiliwa shaka?