Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

Bikra, je ni haki kufikishwa mbele ya hakimu bila kukupa summons inayonyesha kosa lako au ku kueleza kosa lako
 
Duh! kumbe huwa 2naonewa wengine 2siojua sheria na haki ze2. unakuta m2 anakamatwa na wengine hata sio maaskari ilimradi anaonekana anatembea na askari flani bac na yeye akiamua anaenda kukamata raia.

Kwa uwoga we2 2najikuta wana2lazimisha kutoa rush
 
Sawa nimeelewa vizuri haki ya raia anapokamatwa na askari. lakini waelimishwe pia baadhi ya maskari ambao hawawapi raia nafasi hiyo.
 
Pia mtuhumiwa ana haki ya kufungua kesi ya madai kwa askari au afisa wa polisi endapo atampiga,atamsababishia maumivu au majeraha mwilini wakati kumfikisha kituoni. Pia wakati wa kutoa maelezo askari anapaswa ajitambulishe na cheo chake, kwa sababu askari anaeruhusiwa kukuhoji ni mwenye cheo kinachoanzia na kopro.
 
polisi atakiwi kukukamata bila Arrest warrant labda Mazingira anayokukamata yanaruhusu kukukamata Bila Arrest warrant.
 
aisee kumbe watu hua tunaonewa na polis kwakutojua haki zetu nashukuru nimeelewa kwa sasa patachimbika mm na na polis
 
Kweli mkuu 2cje dandia magari ita2 cost

wakuu kujua sheria ni jambo la kwanza na kujua vifungu ni kazi ya wanasheria kwani ukitamani kujua au kukariri ndg haiwezekani.. Zaidi tutembelee sheria ya makosa ya jinai na taratibu zake. (Penal Code na Criminal Procedure)
 
Back
Top Bottom