Kwanza naomba ukaribisho wenu hapa kiwanjani,
Mada hii imenigusa sana, lakini ni nani atakayethubutu kumfunga Paka kengele? wakati sisi wote ni panya? wazo langu ni kwamba huku huku juu kabla hujafika kwa wanausalama (polisi) kuwe na uwezekano pale pale polisi yaani pale kituoni angalau zibandikwe hizi sheria ukutani hii iwe hatua ya kwanza ambayo itawasaidia wananchi waliokamatwa na hata wale wanausalama wasiojua sheria husika.
Tatizo alitoisha labda litapungua kwa asilimia moja, ni wazo langu tu , na nashukuru sana kwa ukaribisho wenu