Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

Kweli sheria zipo lakini kwa hapa Tanzania ukitaka kujua haki yako kama umekamatwa na polisi utafka kituoni umearibika sura.Hii wana heshimiwa 2 wenye nazo na wenye majina lakini mlala hoi thubutu! lakni binafsi na shukuru maana nilikuwa sizjui.
 
Mbona vihaki vyenyewe vichache hivi(si haba hata hivyo)!! Vitakidhi haja dhidi ya uonevu na manyanyaso tunayopata kutoka kwa polisi na wenye mamlaka? Na kama polisi akivunja haki hizi nichukue hatua gani. UELEWA WA SHERIA KWETU WA TZ NI TATIZO KUBWA SAAANA.

Polisi wenyewe aidha hawafuati sheria ama wanatuonea raia kwa sababu ya uelewa wetu mdogo wa sheria. Kama sheria ina sema "kutokujua sheria siyo sababu ya kufanya kosa" kwa nini isiseme "asiye jua sheria asivunjiwe sheria" Inabana upande mmoja tu.

Kama hairuhusiwi kusachiwa kati ya saa 12:30jioni na 12:30 asbh, mbona mtu akiwa Guest House au Hotelini hasa maeneo yetu vijijini, polisi wanapita kukagua viatambulisho wakiwa na mhudumu wa hiyo Guest Out/Hotel pekee? Ukikataa kufungua kwa kujifanya unajua sheria-utaona cha mtema kuni!

Mahakama zetu zina angalia mfuko wako au wewe ni wa nani!
 
haki himemezwa na RUSHWA.
sheria himemezwa na RUSHWA.
kumbe jamaa huyu yupo juue RUSHWA.
 
hakika sheria ingelikuwa inafuatwa hakna mtu angeliburuzwa hovyo hovyo kama ilivyo sasa,1 ukimuuliza maswali police atajiona umemudharau hvyo utaambulia virungu.2 hatjui haki zetu nyngi.3 ukiuliza kosa anakwambia utajua mbele ya safar,4 police hawafuate sheria.5 raia hawafuate sheria maana serikal haifati sheria ila inayofuatwa ni rushwa pee,ukiwa huna imekula kwako.
 
Paul Walker: Hollywood hero
and heartthrob
1 December 2013 Last updated at 13:23
Walker was best known for playing Brian
O'Conner in the Fast & Furious films
Actor Paul Walker, who has died at the age
of 40 in a car crash in California, was a
Hollywood heartthrob and action hero.
The Fast & Furious franchise has become one
of Hollywood's biggest hits thanks to its
reliable formula of high-speed chases,
underground gangs and thrilling stunts.
At the heart of the high-octane drama in five
out of the six films was Paul Walker, who
played Brian O'Conner.
Walker was brought up as a Mormon near Los
Angeles and it was his parents who pushed him
into modelling and acting.
When his mother, a model, started taking him
to her photoshoots as a toddler, he ended up
getting more work than she did. The young
Walker went on to appear in adverts
throughout his time in elementary school.
His father was not in showbusiness - he was a
sewer contractor. "My parents never looked at
my acting as a career," Walker said. "They saw
it as a way to help provide for the household."
Walker's real passion, though, was surfing.
That led him to study as a marine biologist at
college, but he soon dropped out to pursue a
life of, as he once put it, "smoking and living
out of a garage".
Walker was in Fast & Furious 6 with Vin Diesel
(centre) and Dwayne Johnson
The acting world called once more when his
former agent looked him up to ask him to
audition for a role as a surfer in the CBS
spiritual drama Touched By An Angel.
A week later, he got a small part in the time-
travel caper movie Pleasantville, which starred
Tobey Maguire and Reese Witherspoon.
"I figured that acting was a great way to make
money so I could continue surfing and avoid
real responsibility," Walker later said.
His roles gradually got bigger as he appeared
in films like Varsity Blues, playing a high
school football star; She's All That, a
lightweight teen love story; and The Skulls,
about a murky secret society on an Ivy League
college campus.
The Skulls was produced by Neal Moritz and
directed by Rob Cohen, who told him he
reminded them of a young Steve McQueen and
encouraged him to take his acting more
seriously.
Walker, with co-stars Vin Diesel, Michelle
Rodriguez and Jordana Brewster
So when Moritz and Cohen came to cast their
next film, set in the underground street racing
scene of Southern California, they turned to
Walker.
"They told me I could play a cop, drive fast
cars, make out with a beautiful leading lady
and they'd actually pay me," the actor said. "I
mean, hey, man, a young guy's fantasy come
true."
In The Fast and the Furious, Walker appeared
as the undercover cop who infiltrates a street-
racing gang led by Dominic Toretto, played by
Vin Diesel.
The film was a surprise smash hit, with its first
weekend takings in North America surpassing
its $38m (£23m) budget.
Walker recalled: "Neal Moritz called me [on
the] opening night screaming, 'It's a cultural
phenomenon!'"
Disaster charity
When Vin Diesel bowed out of the sequel after
a pay dispute, Walker moved centre stage. This
time, his character used his street-racing
abilities to bust a Miami money-laundering
cartel.
The franchise looked set to be short-lived
when Walker sat out the third instalment. A
fourth film seemed likely to go straight to DVD
until Diesel and Walker agreed to return.
A fifth and sixth were made, with the pair
teaming up for ever more elaborate high-speed
escapades across the world. The series' success
grew again, with the sixth film the most
popular yet.
Filming has started on a seventh, and just
before his death Walker even said the studio
had plans to take the total to 10 Fast &
Furious films over the next decade.
In between filming that franchise, Walker's
other movies included the festive drama Noel;
the diving thriller Into the Blue, alongside
Jessica Alba; Eight Below, about an Antarctic
husky trainer who has to rescue his stranded
dogs; and World War II film Flags of Our
Fathers.
His latest movie Hours, in which he plays a
father struggling in the wake of Hurricane
Katrina, is due out later this month.
Outside the film studio, Walker set up his own
charity to help the victims of natural disasters.
Reach Out Worldwide has sent teams of skilled
volunteers to help after earthquakes in Haiti
and Chile, a tsunami in Indonesia in 2010 and
the recent Typhoon Haiyan in the Philippines.
It was while attending a fundraising event for
Reach Out Worldwide on Saturday that Walker
died. He was a passenger in a Porsche that
crashed, killing the car's driver as well as the
actor.
Walker is survived by his 15-year-old daughter
 
• Raia ana haki ya kumwomba askari
ajitambulishe kwako.
o Mwulize jina lake
o Mwulize namba yake ya uaskari • Raia ana haki ya kujulishwa kwanini
anatiliwa mashaka ama kukamatwa.
• Raia ana haki ya kuwajulisha ndugu,
jamaa ama sehemu anakofanyia kazi
kwamba ama amekamatwa na polisi ama
Taasisi ya Kuzuia Rushwa. • Raia ana haki ya kuomba na kupewa
dhamana wakati akiwa kituo cha polisi
ama Taasisi ya kuzuia rushwa.
o Hutakiwi kutoa fedha kama dhamana
uwapo kituo cha polisi ama Taasisi ya
Kuzuia Rushwa, isipokuwa maelezo utakayoandika.
• Raia ana haki ya kuwaeleza polisi ama
Maafisa wa Kuzuia Rushwa kwamba lolote
atakalosema linaweza kutumiwa kama
ushahidi mahakamani, na asiburuzwe
kuandika tu. • Raia ana haki ya kuomba Wakili wake
awepo kituo cha polisi ama Taasisi ya
Kuzuia Rushwa wakati anatoa maelezo
yake.
• Raia ana haki ya kuyasoma kabla ya
kutia sahihi yake. • Raia ana haki ya kudai risiti ya orodha ya
vitu vyake/fedha zake alizozitoa ama
kukabidhi kituo cha polisi ama Taasisi ya
Kuzuia Rushwa.
• Raia kama ni mwanamke ana haki ya
kupekuliwa na polisi wa kike, na iwapo hakuna polisi mwanamke, basi
mwanamke yeyote na vile vile kwa
mwanamume.
• Raia ana haki ya kufikishwa
mahakamani katika muda usiozidi saa 24
tangu alipokamatwa na kufikishwa kituo cha polisi.
• Iwapo askari polisi ataamua kumpekua
mtuhumiwa, mtuhumiwa ana haki ya
kumpekua askari polisi KABLA ya
kupekuliwa yeye mwenyewe.
• Pia, askari polisi hawana haki ya kuingia kwenye gari, nyumba au ofisi ya mtu
wanayemtuhumu, kwa madhumuni ya
kufanya upekuzi, pasi na kuwapo kwa (a)
hati ya upekuzi ambayo hutolewa
mahakamani,
(b) mashahidi wanaotambulika rasmi kisheria, kama vile, mwenyekiti/mjumbe
wa serikali ya mtaa au mwenyekiti wa
nyumba kumi kumi (iwapo mfumo huo
unatumika), au
(c) jirani wa mtu anayetuhumiwa.
• Aidha, mtuhumiwa hatakamatwa au kupekuliwa na askari polisi baada ya saa
12.30 jioni au kabla ya saa 12.30 alfajiri,
kwa mujibu wa Mwenendo wa Makosa ya
Jinai (Penal Code Act), isipokuwa tu, kama
kutakuwa na ushahidi wa kutosha
kwamba, kumpekua mtuhumiwa kabla ya saa 12.30 alfajiri au baada ya saa 12.30
jioni kunaweza kuleta madhara kwa
askari polisi, mashahidi au watu wengine
wowote wale.
 
Safi sana mwanasheria,MUNGU akubariki uendelee kutoa elim hii ya uraia na haki za raia mbele ya vyombo vya dola.
 
Ahsante mkuu kwa elimu nzuri kwani wengi hatujui haki zetu pindi tukamatwapo na polisi.
 
• Iwapo askari polisi ataamua kumpekua
mtuhumiwa, mtuhumiwa ana haki ya
kumpekua askari polisi KABLA ya
kupekuliwa yeye mwenyewe.

Mkuu asante sana kwa kuweka hii kitu hapa.

Zaidi ya yote, hiyo niliyo i-quote ndio kiboko. Sikuwahi kujua kabla. Asante sana.
 
Dah!

Hii kubwa kuliko yaani mtuhumiwa ana haki ya kumpekua askari kabla yeye mwenyewe hajapekuliwa? Kweli?

Tusioijua sheria tunaburuzwa Sana nchi hii haki ya nani.

Shukrani Learned Advocate.
 
Ahsante kwa elimu ndugu. Ila kwavile polisi wetu wanachukua advantage ya watu kutojua haki zao na kufanya tofauti, hebu tueleze ni wapi pa kwenda endapo polisi atakiuka moja wapo ya hapo juu?

Pia naomba utujuze haya unayoyasema yanatoka wapi maana ukishajifanya unajua mbele yao na kisha ukashindwa kutaja kama ni sheria, kanuni nk na ni ya mwaka gani ukabaki kutaja niliona JF nadhani utachezea kipondo cha maana.
 
Asante sana nimejifunza mambo mengi nisiyoyafahamu
 
Mkuu asante sana kwa kuweka hii kitu hapa.

Zaidi ya yote, hiyo niliyo i-quote ndio kiboko. Sikuwahi kujua kabla. Asante sana.

mkuu hapa bongo hakuna kitu kibaya kama umwmbie askari umpekue, yaani utakula vibao vya kutosha
 
Safi sana mwanasheria,MUNGU akubariki uendelee kutoa elim hii ya uraia na haki za raia mbele ya vyombo vya dola.

hakuna shaka polisi wamekwisha pekua maeneo na watu wengi sana na wengine wamebambikizwa vielelezo kama vile mtoto wa mengi na issue ya madawa ila sijui ni askari au polisi wangapi wamepekuliwa kabla ya wao kupekua je unaweza kuweka reference mkuu
 
Mengi kati ya hayo hayafanyiki. Mtuhumiwa ni kupigwa makofi tu.
 
Nakushukuru kwa elimu hii nzuri ya uraia,hapo pakumpekua askari kabla hajakupekua nimepapenda kweli maaana utamjua ana nini kabla ya upekuzi, hawa jamaa hawachelewi kukupekua na kusokomea misokoto ya bangi au vidonge vya madawa ya kulevya mfukoni au kwenye mkoba na kukugeuzia kibao.
 
Umefanya Jambo Jema kufumbua na kukumbusha mambo muhmu ya haki za raia. Imefika Hatua Wananch 2jitambue.
 
Back
Top Bottom