Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kwa hiyo mzee baba huko mbususu kama zote?Huko Lindi Maisha siku zote Magumu Sana watu wanaishi Kama Mbwa umasikini unatisha Sana same na Mtwara
Mikoa ya kusini ni mikoa ya kipumbavu Sana wao ngono ndo zao la kibiashara kila Sehemu guest Bora mtubu kwanza
Nilikaa wiki tatu siwezi kuishi kule zao la Biashara ni Ngono kila Sehemu Kuna guestKwa hiyo mzee baba huko mbususu kama zote?
So kilimo cha ngono Tz ni LindiNilikaa wiki tatu siwezi kuishi kule zao la Biashara ni Ngono kila Sehemu Kuna guest house
.....Hakuna juhudi zozote za kuboresha maisha ya watu zaidi ya kuwasaidia wafanyabiashara wa kiarabu na kiasia kutakatisha fedha na kuwafanya matajiri.
Watanzania ni kama watoto yatima ambao hawana mtetezi baadala yake wanaongozwa na vibaraka wanaowaza kutajirika na kusaidia mabeberu kuendeleza nchi zao.
Kumb!Enzi za kikwete
Nipo huku naisubiri sioni bhanaAcha tuone inasemekana huko nyanda za juu Kusini mavuno yatakuwa mazuri labda kidogo itatuletea nafuu
Watabiri walituambia wiki ya tatu ya mwezi huu wa March mvua kubwa zitanyesha ukanda wa Pwani. Naona bilabila
Mamaaa!!Nilikaa wiki tatu siwezi kuishi kule zao la Biashara ni Ngono kila Sehemu Kuna guest
Ngoja tuendelee kuwa na subira π€Nipo huku naisubiri sioni bhana
Huku niliko kilo ya unga wa sembe eti ni 2200! Mchele wa kueleweka kilo ni 3500!! Tutafika kweli nchi ya ahadi!!Nipo Lindi hapa Hali Ni mbaya Sana ,nimetembelea mtwara nako Hali tete ,,unga lazma utafika 3.5k mpk 4k ....biashara ngumu balaa natamani nifunge lakn sioni kwa kukimbilia ,
Umemsikia RAIS MSTAAFU Alichosema juu ya kulalamika huko?Hali ni mbaya sana mawilayani huku wafanyabiashara wengi waliokuwa wanawika wamefilisika Na kufunga biashara zao kwa sababu ya TRA. Mnapaswa muwalee wafanyabiashara ili wapate faida just imagine Mfanyabiashara anapigwa penalt
Lazima ni DarHuku niliko kilo ya unga wa sembe eti ni 2200! Mchele wa kueleweka kilo ni 3500!! Tutafika kweli nchi ya ahadi!!
Hii serikali ya CCM inatakiwa ituachie nchi yetu aisee. Maana hata msaada wao kwa wananchi hauonekani!
π€£π€£π€£π€£π Umeshinda aiseeKwa hiyo debe ngapi mamy? Utakuja kunilipa hii likizo yenu fupi huku Dar. Wiki 2 zote utakuwa magetoni ni kupika na kupakua tu π
Nitake radhi Mkurugenzi. Mimi ni mwanaume was Mikoani