Jua kali, hakuna mvua, kodi kubwa

Jua kali, hakuna mvua, kodi kubwa

Huko Lindi Maisha siku zote Magumu Sana watu wanaishi Kama Mbwa umasikini unatisha Sana same na Mtwara

Mikoa ya kusini ni mikoa ya kipumbavu Sana wao ngono ndo zao la kibiashara kila Sehemu guest Bora mtubu kwanza
Kwa hiyo mzee baba huko mbususu kama zote?
 
Kenya trh 20 wanaandamana UNGA wa Mahindi Bei juu,

Huku labda Bei Bado ni chini.
 
Hakuna juhudi zozote za kuboresha maisha ya watu zaidi ya kuwasaidia wafanyabiashara wa kiarabu na kiasia kutakatisha fedha na kuwafanya matajiri.

Watanzania ni kama watoto yatima ambao hawana mtetezi baadala yake wanaongozwa na vibaraka wanaowaza kutajirika na kusaidia mabeberu kuendeleza nchi zao.
 
Aisee..... jiwe alikuwa mtu kwa hali hii
Hakuna juhudi zozote za kuboresha maisha ya watu zaidi ya kuwasaidia wafanyabiashara wa kiarabu na kiasia kutakatisha fedha na kuwafanya matajiri.

Watanzania ni kama watoto yatima ambao hawana mtetezi baadala yake wanaongozwa na vibaraka wanaowaza kutajirika na kusaidia mabeberu kuendeleza nchi zao.
.....
 
Nipo Lindi hapa Hali Ni mbaya Sana ,nimetembelea mtwara nako Hali tete ,,unga lazma utafika 3.5k mpk 4k ....biashara ngumu balaa natamani nifunge lakn sioni kwa kukimbilia ,
Huku niliko kilo ya unga wa sembe eti ni 2200! Mchele wa kueleweka kilo ni 3500!! Tutafika kweli nchi ya ahadi!!

Hii serikali ya CCM inatakiwa ituachie nchi yetu aisee. Maana hata msaada wao kwa wananchi hauonekani!
 
Hali ni mbaya sana mawilayani huku wafanyabiashara wengi waliokuwa wanawika wamefilisika Na kufunga biashara zao kwa sababu ya TRA. Mnapaswa muwalee wafanyabiashara ili wapate faida just imagine Mfanyabiashara anapigwa penalt
Umemsikia RAIS MSTAAFU Alichosema juu ya kulalamika huko?
 
Back
Top Bottom