Jua Leo lipo "IKWETA" msimu wa Joto kuanza, Mwili wako na mazingira kubadilika

Jamaa yetu hii topic amekopi sehemu course miti mingi ilianza kupukutisha toka August mwanzoni na soon ningine itaanza kuzalisha majani.

Mingine ninayo kwenye eneo langu.

Mkuu elimu ya mimea ni Pana Sana, halikadhalika elimu ya tabia ya nchi ni Pana Sana.

Kina factor zingine Kama Drainage Patten, nature of the Rock, nature of vegation, Altitude ya eneo husika n.k.
 
Nimeshukudia maeneo mengi Iringa, Njombe, Morogoro na Mbeya miti iliyopukutisha miezi kadhaa iliyopita sasa inaanza kuchipua (kuweka majani mapya) hii ya kupukutisha majani labda hutofautiana sehemu na sehemu

Jiografia ni Pana Sana. Hicho nilichoeleza ni Kwa ufupi,
Ningetaka kudadavua Kwa kina ningekesha hapa.

Kwanza Kueleza huo mzunguko WA jua na namna unavyoathiri tabia ya nchi tungekesha hapa.
Element za tabia ya nchi Kama temperature, wind, na pressutna namna zinavyoathiri mazingira ya mwanadamu ni mada ndefu.

Miti kuchanua kuna mambo mengi,
Lakini kubwa kuliko ni Tabia ya nchi, kisha masuala ya Asili ya udongo, uwepo wa Maji, altitude n.k.
 
Mkuu Taikon wa fasihi kupitia hii mada umenikumbusha mbali sana uliposema tropiki ya kansa umenikumbusha ticha mmoja wa geography enzi hizo nasoma shule asante sana.
 
Siku kama ya leo Pharao Akhenaten alikuwa akiwaamuru Wananchi wake wapige punyeto kwenye kingo za Mto Nile.

Alikuwa akiamini kwa kufanya hivyo wanauongezea Mto huo rutuba kwa msaada wa Amun Ra. (Mungu Jua)
 
Nimeshukudia maeneo mengi Iringa, Njombe, Morogoro na Mbeya miti iliyopukutisha miezi kadhaa iliyopita sasa inaanza kuchipua (kuweka majani mapya) hii ya kupukutisha majani labda hutofautiana sehemu na sehemu
Iringa kwa sasa kumepauka mno sio pa kwenda
 
Kuna wataalamu wa mchongo toka TMA walisema tunywe maji siyo chini ya ndoo tatu kwa siku sijui walimaanisha nini
Walijua utatumia common sense kufikiria,au wewe uliona inawezekana binadamu akanywa lita 60 kwa siku?
Wanasiasa wakudharau halafu uruhusu na TMA wakudharau?
Hehimu kichwa chako mkuu,kiwiliwili chako hakitarajii ukiumize kama TMA wanavyotaka.Kiokoe.
 
LEO JUA LIPO " IKWETA"MSIMU WA JOTO KUANZA, MWILI WAKO NA MAZINGIRA KUBADILIKA.

Anaandika, Robert Heriel
Msomi, 😊.

Baada ya safari ndefu ya takribani miezi mitatu tangu mwezi wa sita tulikuwa kipindi cha baridi/ ambacho kufikia kilele June 21/22 ambapo jua ndio huanza kugeuka Kurudi katika kizio cha Kusini. Leo jua limeingia Ikweta likitokea Upande wa Kaskazini mwa Dunia(Northern Hemisphere "Tropical of cancer") hii ni kumaanisha wenzetu waliokaskazini, bara Ulaya, amerika ya Kaskazini, na Asia wanaingia kipindi cha Baridi.

Tofauti na mwezi march 21 ambapo jua huwa pia ikweta ambapo msimu WA mvua huanza, mara hii hakutakuwa na mvua nyingi kutokana sababu kadhaa ambazo leo sitaeleza kutokana na mada nyingine.

Msimu wa joto unadumu kwa wiki 8-9 au siku 45-60. Hivyo inatarajiwa joto litaenda mpaka mwezi wa kumi na moja mwishoni kukaribisha MSIMU WA VULI.

Mambo yanayotarajiwa kutokea msimu huu,
1. Miti mingi kupukutisha majani.
Kutokana na joto na Jua kuwa Kali miti itapukutisha majani yake Kwa ajili ya uhifadhi wa Maji.
Hata hivyo baadhi ya miti inayohifadhi maji Kwa njia ya kuzalisha miiba, itakomaza miiba yake ili kuzuia wanyama wala majani( Herbivores) ili wasiishambulie Sana.

Kwa baadhi ya miti ya matunda ambayo haikuchavusha maua mapema na kutoa matunda machanga, ikiwa sasa ndio inatoa Maua basi haitarajiwi miti hiyo kuwa na matunda mengi kutokana na kuwa msimu huu umechangamana na upepo, hivyo Maua mengi yataangushwa na upepo na uchavushaji utakuwa mgumu kutokea.

Miti hiyo ni Kama Maembe ambayo hutakiwa kuchanua kuanzia mwezi wa Saba mpaka mwezi wa tisa maembe machanga yanatakiwa yawe mtini, kusubiria Mvua itakayotakiwa kunyesha katikati ya mwezi Oktober kuyafanya yaive Kuruhusu msimu WA maembe.

2. Upepo na vumbi
Kutokana na joto na Jua kuwa Kali, hii itafanya hewa iliyopo ardhini na majini na kwenye mimea kuchomwa na jua, hewa hiyo itapanda mpaka anga la juu.

Zingatia Jua litakuwa Kali Maeneo ya Ikweta kuliko Maeneo ya kwenye Vizio za dunia(Earth poles).
Warm Equatorial air rises higher na kusambaa kuelekea katika Poles. Hiyo inatasababisha mfumo wa Mgandamizo mdogo wa hewa(Low-pressure System).

Na wakati huohuo hewa ya badiri yenye mgandamizo" cooler and denser air" ita-moves upande wa chini wa Dunia kuelekea Ikweta ku-replace hewa iliyounguzwa"Heated Air" ambayo ilipanda anga la juu. Hiyo inasababisha kitu inaitwa High - Pressure System (mfumo wa mgandamizo mkubwa wa hewa).
Zingatia Sehemu yenye baridi ndio kuna mgandamizo mkubwa wa hewa(High Pressure). Na sehemu yenye joto kuna mgandamizo mdogo WA hewa. Low Pressure.

Jambo Hilo ndilo hufanya upepo kutokea. Upepo ni mjongeo wa hewa kutoka maeneo lenye mgandamizo mkubwa wa hewa(High Pressure areas) kwenda kwenye Maeneo yenye mgandamizo mdogo WA hewa(Low Pressure areas).

Hii ni kusema Upepo utakuwa unavuma kutokea katika Vizio vya dunia kuelekea Ikweta ili kubalance hewa iliyokuwa heated na kupanda angani. Mpaka baina ya Maeneo hayo mawili huitwa Front.

Upepo huu utakuwa na vumbi kwani Ardhi itakuwa kavu, pia upepo utachangia kukausha Ardhi.
Zingatia, upepo ina sawazisha anga "Equalizer of the Atmosphere" Kwa kusafirisha Joto(heat) unyevuunyevu(moisture), takataka na vumbi (Pollutant na Vumbi)

Vumbi linaweza athiri mfumo wa upumuaji Kwa baadhi ya watu hivyo vikohozi na mafua ya vumbi yanatarajiwa.

3. Mlingano baina ya usiku na mchana, kisha Mchana kuwa mrefu kuliko usiku.
Leo usiku na mchana vilinganana lakini baada ya leo mpaka mwezi wa tatu mchana utakuwa mrefu kuliko usiku.
Yaani jua litawahi kuchomoza na litachelewa kuzama.

4. Kutoa jasho jingi
Kutokana na joto kuongezeka mwili utahitaji kudhibiti joto linaloingia mwilini hivyo Moyo utasukuma damu karibu zaidi na ngozi na kusababisha vinyweleo kupanuka/kufunguka ili kutoa jasho Kwa ajili ya kudhibiti joto la mwili.

Mwili utapoteza maji mengi zaidi Kwa njia ya kutoa jasho.
Hivyo inashauriwa watu kunywa maji mengi angalau Kwa siku Lita tatu.

5. Athari katika mapafu.
Hii nishaeleza kuwa vumbi linaweza pelekea baadhi ya watu kuathirika katika mapafu Yao. Na kusababisha vikohozi au mafua.

6. Kiwango cha Hamu ya tendo la ndoa kuongezeka hasa Kwa wanaume hata hivyo wakati WA tendo kutokana na joto kunaweza kupelekea kupoteza hamu ya tendo kutokana na mwili kupata joto kupita kiasi. Zingatia, jua ndio chanzo cha vitamin D ambayo hiyo inachangia kiasi kikubwa uzalishaji WA homoni ya testosterone ambayo inachochea hamu ya tendo la ndoa kwa Sisi Wanaume almaarufu kama Libido au nyege mshindo

7. Kuongezeka hamu ya Kula chakula kingi. Hii ni tofauti na msimu WA baridi.

8. Umeme kwenda mwingi kutokana na matumizi ya Feni, AC, pamoja na majokofu Kwa ajili ya maji.

9. Vyakula kuwahi kuharibika, kuchacha.
Vyakula wakati WA joto huharibika haraka tofauti na wakati WA baridi au kwenye baridi.
Hii inamaanisha kuwa watu waongeze namna Bora ya kuhifadhi chakula ikiwemo kutovifunika.

10. Bill ya maji kuongezeka.
Tofauti na nyakati za baridi, msimu WA joto maji hutumika mengi kuanzia kwenye kuyanywa, kuoga, na kufulia.

Wakati WA baridi watu wengi hawanywi maji mengi, Lakini kipindi cha joto huogeza kiwango cha kunywa maji.

Hata Kwa wale wenzangu na miye kina Taikon tusiopenda kuoga, wakati wajoto tutaoga angalau mara mbili Kwa siku. Hii itaongeza bill ya maji.
Kufua kutaongezeka kutokana na kuwa mwili utakuwa unatoa jasho, na vumbi litakuwa jingi, hivyo ni ngumu mtu Kurudia nguo mara mbili.

Maji ya kumwagilia Bustani halikadhalika yataongezeka, pamoja na kulisha mifugo.

11. Ajali za barabarani zinazotokana na matairi kupasuka hasa Yale matairi yaliyoisha wakati wake.

12. Watu wengi ngozi zao zitafubaa kutokana na kuchomwa na miale mikali ya jua. Wengi wakaonekana weusi.

13. Nzi wataongezeka hasa baada ya mvua za mwezi Oktober baada ya mwezi kuandama, kukaribisha msimu WA Maembe. Hivyo magonjwa ya kuharisha yanatarajiwa kwa Maeneo ya uswahilini au watu wanaoishi kiholela.

14. Mbu wa mchana kuongezeka maradufu tofauti na msimu wa baridi. Huku mbu wa usiku wakipungua kidogo ukilinganisha na msimu WA masika hii ni kutokana na uhaba wa madimbwi ya maji ambapo huyatumia kuzaliana pamoja na Majani ambapo huzaliana na kujificha humo.

Hata hivyo Kwa Maeneo yenye maji taka yaliyotuama au mashimo ya maji mbu wa mchana wataendelea kuzaliana.
Hivyo malaria itaendelea kama kawaida itazidi kidogo kipindi cha msimu wa Harusi.

15. Wadada na wanawake wengi hawatavaa nguo za ndani.
Yaani wengi watakuwa ndembendembe😀. Kutokana na joto kuwa jingi na wao hawapendi rabsha.
Hii itawasaidia wale mafisi maji, wanaume chakaramu kufanya Yao. Hata hivyo Kama nilivyosema hapo juu msimu huu Libido Kwa wanaume wengi itakuwa juu. Sasa ukichanganya na ndembendembe ya wanawake zetu ni Kama kuchangannya TRAB na TRAT🏃🏃.

16. Biashara nyingi zitakuwa nzuri hasa biashara za vinywaji, kama Maji, barafu, ice cream, soda na pombe baridi.
Pia biashara ya vyakula kutokana na ukame nitakuwa BEI juu, huku biashara ya mavazi zikidorora Kwa kiasi.
Biashara ya magari na usafirisha itasuasua mpaka mwezi November mwishoni.

17. Huu ni msimu wa Waganga na manabii kudanganya watu kuliko misimu yote.
Hii ni kutokana jua litakuwa linachoma kama Miaka yote lakini wao watasema wakati WA mwisho umekaribia, watajifanya wanafunga na kuomba Kwa ajili ya mvua lakini mvua haitanyesha mpaka mwezi kuandama, hapo watajifanya Mungu amewajibu ilhali mvua haikuletwa Kwa maombi Yao isipokuwa ni mvutano wa mwezi na Dunia pale mwezi unapoandama, lakini pia msimu WA mvua za kuivisha maembe na matunda ya miti yanayotoka msimu mmoja na msimu wa maembe.

18. Kutakuwa na uhaba wa Panya kutokana na msimu uliopita Kama miezi miwili ulikuwa msimu wa Paka kuzaa. Hivyo miezi hii mpaka mwezi wa kumi Paka wengi wataongezeka. Na kutokana na uhaba wa nafaka automatically panya wataadimika.
Msimu wa panya unakuwaga mwezi wa pili ambapo mavuno ya Mazao ya vuli yakimalizika, na mwezi wa Tano na wasita mpaka WA Saba mavuno ya masika yakianza kuvunwa.

19. Maziwa ya NG'OMBE na Nyama kuadimika Kama sio kupanda bei kabisa.
Hii inachochewa na uhaba wa malisho ya majani pamoja na mvua. Hata hivyo ng'ombe wengi na Mbuzi wengi huu sio msimu wao wa kuzaa.
Hivyo maziwa yataadimika. Hii ni pamoja na maziwa mgando.

Kwa Leo tuishie hapo. Pole na Hongera Kwa kusoma mpaka hapa.

Nakutakia maandalizi Mema ya SABATO.
Ni Yule Mtibeli,

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Nimeipenda hiyo kina Mwamposa Kuja na dhana yakuombea mvua wakati itakuwa Ni wakati wake kunyesha
 
Yaani hii ni ile hata kama mwanafunzi ana kichwa kigumu namna gani lazima aelewe!
 
Siku kama ya leo Pharao Akhenaten alikuwa akiwaamuru Wananchi wake wapige punyeto kwenye kingo za Mto Nile.

Alikuwa akiamini kwa kufanya hivyo wanauongezea Mto huo rutuba kwa msaada wa Amun Ra. (Mungu Jua)

Noma Sana
😀😀😀
 
Mkuu Taikon wa fasihi kupitia hii mada umenikumbusha mbali sana uliposema tropiki ya kansa umenikumbusha ticha mmoja wa geography enzi hizo nasoma shule asante sana.

🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Karibu Sana MKUU
 
LEO JUA LIPO " IKWETA"MSIMU WA JOTO KUANZA, MWILI WAKO NA MAZINGIRA KUBADILIKA.

Anaandika, Robert Heriel
Msomi, [emoji4].

Baada ya safari ndefu ya takribani miezi mitatu tangu mwezi wa sita tulikuwa kipindi cha baridi/ ambacho kufikia kilele June 21/22 ambapo jua ndio huanza kugeuka Kurudi katika kizio cha Kusini. Leo jua limeingia Ikweta likitokea Upande wa Kaskazini mwa Dunia(Northern Hemisphere "Tropical of cancer") hii ni kumaanisha wenzetu waliokaskazini, bara Ulaya, amerika ya Kaskazini, na Asia wanaingia kipindi cha Baridi.

Tofauti na mwezi march 21 ambapo jua huwa pia ikweta ambapo msimu WA mvua huanza, mara hii hakutakuwa na mvua nyingi kutokana sababu kadhaa ambazo leo sitaeleza kutokana na mada nyingine.

Msimu wa joto unadumu kwa wiki 8-9 au siku 45-60. Hivyo inatarajiwa joto litaenda mpaka mwezi wa kumi na moja mwishoni kukaribisha MSIMU WA VULI.

Mambo yanayotarajiwa kutokea msimu huu,
1. Miti mingi kupukutisha majani.
Kutokana na joto na Jua kuwa Kali miti itapukutisha majani yake Kwa ajili ya uhifadhi wa Maji.
Hata hivyo baadhi ya miti inayohifadhi maji Kwa njia ya kuzalisha miiba, itakomaza miiba yake ili kuzuia wanyama wala majani( Herbivores) ili wasiishambulie Sana.

Kwa baadhi ya miti ya matunda ambayo haikuchavusha maua mapema na kutoa matunda machanga, ikiwa sasa ndio inatoa Maua basi haitarajiwi miti hiyo kuwa na matunda mengi kutokana na kuwa msimu huu umechangamana na upepo, hivyo Maua mengi yataangushwa na upepo na uchavushaji utakuwa mgumu kutokea.

Miti hiyo ni Kama Maembe ambayo hutakiwa kuchanua kuanzia mwezi wa Saba mpaka mwezi wa tisa maembe machanga yanatakiwa yawe mtini, kusubiria Mvua itakayotakiwa kunyesha katikati ya mwezi Oktober kuyafanya yaive Kuruhusu msimu WA maembe.

2. Upepo na vumbi
Kutokana na joto na Jua kuwa Kali, hii itafanya hewa iliyopo ardhini na majini na kwenye mimea kuchomwa na jua, hewa hiyo itapanda mpaka anga la juu.

Zingatia Jua litakuwa Kali Maeneo ya Ikweta kuliko Maeneo ya kwenye Vizio za dunia(Earth poles).
Warm Equatorial air rises higher na kusambaa kuelekea katika Poles. Hiyo inatasababisha mfumo wa Mgandamizo mdogo wa hewa(Low-pressure System).

Na wakati huohuo hewa ya badiri yenye mgandamizo" cooler and denser air" ita-moves upande wa chini wa Dunia kuelekea Ikweta ku-replace hewa iliyounguzwa"Heated Air" ambayo ilipanda anga la juu. Hiyo inasababisha kitu inaitwa High - Pressure System (mfumo wa mgandamizo mkubwa wa hewa).
Zingatia Sehemu yenye baridi ndio kuna mgandamizo mkubwa wa hewa(High Pressure). Na sehemu yenye joto kuna mgandamizo mdogo WA hewa. Low Pressure.

Jambo Hilo ndilo hufanya upepo kutokea. Upepo ni mjongeo wa hewa kutoka maeneo lenye mgandamizo mkubwa wa hewa(High Pressure areas) kwenda kwenye Maeneo yenye mgandamizo mdogo WA hewa(Low Pressure areas).

Hii ni kusema Upepo utakuwa unavuma kutokea katika Vizio vya dunia kuelekea Ikweta ili kubalance hewa iliyokuwa heated na kupanda angani. Mpaka baina ya Maeneo hayo mawili huitwa Front.

Upepo huu utakuwa na vumbi kwani Ardhi itakuwa kavu, pia upepo utachangia kukausha Ardhi.
Zingatia, upepo ina sawazisha anga "Equalizer of the Atmosphere" Kwa kusafirisha Joto(heat) unyevuunyevu(moisture), takataka na vumbi (Pollutant na Vumbi)

Vumbi linaweza athiri mfumo wa upumuaji Kwa baadhi ya watu hivyo vikohozi na mafua ya vumbi yanatarajiwa.

3. Mlingano baina ya usiku na mchana, kisha Mchana kuwa mrefu kuliko usiku.
Leo usiku na mchana vilinganana lakini baada ya leo mpaka mwezi wa tatu mchana utakuwa mrefu kuliko usiku.
Yaani jua litawahi kuchomoza na litachelewa kuzama.

4. Kutoa jasho jingi
Kutokana na joto kuongezeka mwili utahitaji kudhibiti joto linaloingia mwilini hivyo Moyo utasukuma damu karibu zaidi na ngozi na kusababisha vinyweleo kupanuka/kufunguka ili kutoa jasho Kwa ajili ya kudhibiti joto la mwili.

Mwili utapoteza maji mengi zaidi Kwa njia ya kutoa jasho.
Hivyo inashauriwa watu kunywa maji mengi angalau Kwa siku Lita tatu.

5. Athari katika mapafu.
Hii nishaeleza kuwa vumbi linaweza pelekea baadhi ya watu kuathirika katika mapafu Yao. Na kusababisha vikohozi au mafua.

6. Kiwango cha Hamu ya tendo la ndoa kuongezeka hasa Kwa wanaume hata hivyo wakati WA tendo kutokana na joto kunaweza kupelekea kupoteza hamu ya tendo kutokana na mwili kupata joto kupita kiasi. Zingatia, jua ndio chanzo cha vitamin D ambayo hiyo inachangia kiasi kikubwa uzalishaji WA homoni ya testosterone ambayo inachochea hamu ya tendo la ndoa kwa Sisi Wanaume almaarufu kama Libido au nyege mshindo

7. Kuongezeka hamu ya Kula chakula kingi. Hii ni tofauti na msimu WA baridi.

8. Umeme kwenda mwingi kutokana na matumizi ya Feni, AC, pamoja na majokofu Kwa ajili ya maji.

9. Vyakula kuwahi kuharibika, kuchacha.
Vyakula wakati WA joto huharibika haraka tofauti na wakati WA baridi au kwenye baridi.
Hii inamaanisha kuwa watu waongeze namna Bora ya kuhifadhi chakula ikiwemo kutovifunika.

10. Bill ya maji kuongezeka.
Tofauti na nyakati za baridi, msimu WA joto maji hutumika mengi kuanzia kwenye kuyanywa, kuoga, na kufulia.

Wakati WA baridi watu wengi hawanywi maji mengi, Lakini kipindi cha joto huogeza kiwango cha kunywa maji.

Hata Kwa wale wenzangu na miye kina Taikon tusiopenda kuoga, wakati wajoto tutaoga angalau mara mbili Kwa siku. Hii itaongeza bill ya maji.
Kufua kutaongezeka kutokana na kuwa mwili utakuwa unatoa jasho, na vumbi litakuwa jingi, hivyo ni ngumu mtu Kurudia nguo mara mbili.

Maji ya kumwagilia Bustani halikadhalika yataongezeka, pamoja na kulisha mifugo.

11. Ajali za barabarani zinazotokana na matairi kupasuka hasa Yale matairi yaliyoisha wakati wake.

12. Watu wengi ngozi zao zitafubaa kutokana na kuchomwa na miale mikali ya jua. Wengi wakaonekana weusi.

13. Nzi wataongezeka hasa baada ya mvua za mwezi Oktober baada ya mwezi kuandama, kukaribisha msimu WA Maembe. Hivyo magonjwa ya kuharisha yanatarajiwa kwa Maeneo ya uswahilini au watu wanaoishi kiholela.

14. Mbu wa mchana kuongezeka maradufu tofauti na msimu wa baridi. Huku mbu wa usiku wakipungua kidogo ukilinganisha na msimu WA masika hii ni kutokana na uhaba wa madimbwi ya maji ambapo huyatumia kuzaliana pamoja na Majani ambapo huzaliana na kujificha humo.

Hata hivyo Kwa Maeneo yenye maji taka yaliyotuama au mashimo ya maji mbu wa mchana wataendelea kuzaliana.
Hivyo malaria itaendelea kama kawaida itazidi kidogo kipindi cha msimu wa Harusi.

15. Wadada na wanawake wengi hawatavaa nguo za ndani.
Yaani wengi watakuwa ndembendembe[emoji3]. Kutokana na joto kuwa jingi na wao hawapendi rabsha.
Hii itawasaidia wale mafisi maji, wanaume chakaramu kufanya Yao. Hata hivyo Kama nilivyosema hapo juu msimu huu Libido Kwa wanaume wengi itakuwa juu. Sasa ukichanganya na ndembendembe ya wanawake zetu ni Kama kuchangannya TRAB na TRAT[emoji125][emoji125].

16. Biashara nyingi zitakuwa nzuri hasa biashara za vinywaji, kama Maji, barafu, ice cream, soda na pombe baridi.
Pia biashara ya vyakula kutokana na ukame nitakuwa BEI juu, huku biashara ya mavazi zikidorora Kwa kiasi.
Biashara ya magari na usafirisha itasuasua mpaka mwezi November mwishoni.

17. Huu ni msimu wa Waganga na manabii kudanganya watu kuliko misimu yote.
Hii ni kutokana jua litakuwa linachoma kama Miaka yote lakini wao watasema wakati WA mwisho umekaribia, watajifanya wanafunga na kuomba Kwa ajili ya mvua lakini mvua haitanyesha mpaka mwezi kuandama, hapo watajifanya Mungu amewajibu ilhali mvua haikuletwa Kwa maombi Yao isipokuwa ni mvutano wa mwezi na Dunia pale mwezi unapoandama, lakini pia msimu WA mvua za kuivisha maembe na matunda ya miti yanayotoka msimu mmoja na msimu wa maembe.

18. Kutakuwa na uhaba wa Panya kutokana na msimu uliopita Kama miezi miwili ulikuwa msimu wa Paka kuzaa. Hivyo miezi hii mpaka mwezi wa kumi Paka wengi wataongezeka. Na kutokana na uhaba wa nafaka automatically panya wataadimika.
Msimu wa panya unakuwaga mwezi wa pili ambapo mavuno ya Mazao ya vuli yakimalizika, na mwezi wa Tano na wasita mpaka WA Saba mavuno ya masika yakianza kuvunwa.

19. Maziwa ya NG'OMBE na Nyama kuadimika Kama sio kupanda bei kabisa.
Hii inachochewa na uhaba wa malisho ya majani pamoja na mvua. Hata hivyo ng'ombe wengi na Mbuzi wengi huu sio msimu wao wa kuzaa.
Hivyo maziwa yataadimika. Hii ni pamoja na maziwa mgando.

Kwa Leo tuishie hapo. Pole na Hongera Kwa kusoma mpaka hapa.

Nakutakia maandalizi Mema ya SABATO.
Ni Yule Mtibeli,

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hapo kwenye uhaba wa panya (aka samaki mchanga); nadhani litakuwa pigo kubwa sana kwa ndugu zetu wa kule kusini-mashariki. Lakini hakuna namna, inabidi wawe wapole tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom