Jua Leo lipo "IKWETA" msimu wa Joto kuanza, Mwili wako na mazingira kubadilika

Jua Leo lipo "IKWETA" msimu wa Joto kuanza, Mwili wako na mazingira kubadilika

Arusha mwaka huu hakuna cha joto sijui imekuwaje leo bado ipo 14⁰ç
 
Walijua utatumia common sense kufikiria,au wewe uliona inawezekana binadamu akanywa lita 60 kwa siku?
Wanasiasa wakudharau halafu uruhusu na TMA wakudharau?
Hehimu kichwa chako mkuu,kiwiliwili chako hakitarajii ukiumize kama TMA wanavyotaka.Kiokoe.
Nadhani ni wewe
 
Halafu Wana sayansi haohao watakwambia hiyo mifumo imejitengeneza tu yenyewe hakuna aliyeitengeneza
 
Wanayohaki Kwa sababu ethics zao zinawataka mpaka wawe na uthibitisho
Nadharia ya newton ya kwamba kitu kitakua katika Hali tulivu au mwendo uleule mpaka itapotokea Kani itayobadilisha Hilo .yapasa imtie akili mwanasayansi yeyote kuwa solar system au universe Kama mifumo yupo aliyeisanifu,mwanasayansi gani anaamini akikuta nyumba porini mbali itakua imejijenga yenyewe na si kujengwa!?
 
Back
Top Bottom