Jua Leo lipo "IKWETA" msimu wa Joto kuanza, Mwili wako na mazingira kubadilika

Jamaa yetu hii topic amekopi sehemu course miti mingi ilianza kupukutisha toka August mwanzoni na soon ningine itaanza kuzalisha majani.

Mingine ninayo kwenye eneo langu.

Mkuu elimu ya mimea ni Pana Sana, halikadhalika elimu ya tabia ya nchi ni Pana Sana.

Kina factor zingine Kama Drainage Patten, nature of the Rock, nature of vegation, Altitude ya eneo husika n.k.
 
Nimeshukudia maeneo mengi Iringa, Njombe, Morogoro na Mbeya miti iliyopukutisha miezi kadhaa iliyopita sasa inaanza kuchipua (kuweka majani mapya) hii ya kupukutisha majani labda hutofautiana sehemu na sehemu

Jiografia ni Pana Sana. Hicho nilichoeleza ni Kwa ufupi,
Ningetaka kudadavua Kwa kina ningekesha hapa.

Kwanza Kueleza huo mzunguko WA jua na namna unavyoathiri tabia ya nchi tungekesha hapa.
Element za tabia ya nchi Kama temperature, wind, na pressutna namna zinavyoathiri mazingira ya mwanadamu ni mada ndefu.

Miti kuchanua kuna mambo mengi,
Lakini kubwa kuliko ni Tabia ya nchi, kisha masuala ya Asili ya udongo, uwepo wa Maji, altitude n.k.
 
Mkuu Taikon wa fasihi kupitia hii mada umenikumbusha mbali sana uliposema tropiki ya kansa umenikumbusha ticha mmoja wa geography enzi hizo nasoma shule asante sana.
 
Siku kama ya leo Pharao Akhenaten alikuwa akiwaamuru Wananchi wake wapige punyeto kwenye kingo za Mto Nile.

Alikuwa akiamini kwa kufanya hivyo wanauongezea Mto huo rutuba kwa msaada wa Amun Ra. (Mungu Jua)
 
Nimeshukudia maeneo mengi Iringa, Njombe, Morogoro na Mbeya miti iliyopukutisha miezi kadhaa iliyopita sasa inaanza kuchipua (kuweka majani mapya) hii ya kupukutisha majani labda hutofautiana sehemu na sehemu
Iringa kwa sasa kumepauka mno sio pa kwenda
 
Kuna wataalamu wa mchongo toka TMA walisema tunywe maji siyo chini ya ndoo tatu kwa siku sijui walimaanisha nini
Walijua utatumia common sense kufikiria,au wewe uliona inawezekana binadamu akanywa lita 60 kwa siku?
Wanasiasa wakudharau halafu uruhusu na TMA wakudharau?
Hehimu kichwa chako mkuu,kiwiliwili chako hakitarajii ukiumize kama TMA wanavyotaka.Kiokoe.
 
Nimeipenda hiyo kina Mwamposa Kuja na dhana yakuombea mvua wakati itakuwa Ni wakati wake kunyesha
 
Yaani hii ni ile hata kama mwanafunzi ana kichwa kigumu namna gani lazima aelewe!
 
Siku kama ya leo Pharao Akhenaten alikuwa akiwaamuru Wananchi wake wapige punyeto kwenye kingo za Mto Nile.

Alikuwa akiamini kwa kufanya hivyo wanauongezea Mto huo rutuba kwa msaada wa Amun Ra. (Mungu Jua)

Noma Sana
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu Taikon wa fasihi kupitia hii mada umenikumbusha mbali sana uliposema tropiki ya kansa umenikumbusha ticha mmoja wa geography enzi hizo nasoma shule asante sana.

πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
Karibu Sana MKUU
 
Hapo kwenye uhaba wa panya (aka samaki mchanga); nadhani litakuwa pigo kubwa sana kwa ndugu zetu wa kule kusini-mashariki. Lakini hakuna namna, inabidi wawe wapole tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…