Na huu ndio ukwl , visingizio kibaooo lengo tuu fedha wagawane .Kuleni hizo 700+ billion na maisha yaendelee
Kawaida, El nino huwa inachelewa!
Ninavyojua mimi El nino itaanza na muandamo wa Mwezi unaofuata!Kuchelewa kivipi Mkuu hakuna El nino hapa bwana
🚮Ninavyojua mimi El nino itaanza na muandamo wa Mwezi unaofuata!
Shukuru watoto watakuwa washamaliza mitihani!
Watu wanapuuzia ila hii mvua ikianza wanaanza kutoa vilio. Waambie wahane mabondeniNinavyojua mimi El nino itaanza na muandamo wa Mwezi unaofuata!
Shukuru watoto watakuwa washamaliza mitihani!
TUNZA COMMENT YANGU!
Mimi nani niwaambie wasikie? ... Serikali yao yenyewe wanaipuuzia ... nitakua mimi?Watu wanapuuzia ila hii mvua ikianza wanaanza kutoa vilio. Waambie wahane mabondeni
kwani athari za Elnino ni zipi gentleman?🐒Kuleni hizo 700+ billion na maisha yaendelee
Nakumbuka El Nino ya mwanzo 1998 mamlaka ya hali ya hewa ilitoa utabiri na angalizo kua mvua zitakua kubwa sana na watu wachukue tahadhari ikiwa ni pamoja na kuhama mabondeniWatu wanapuuzia ila hii mvua ikianza wanaanza kutoa vilio. Waambie wahane mabondeni
UN wametoa alert na redcross wameshajiaanda kuokoa watu ila kenge hazisikiagi mpaka zitoke damuMimi nani niwaambie wasikie? ... Serikali yao yenyewe wanaipuuzia ... nitakua mimi?
Ile ilikuwa kiboko sio poa, yaani landslides, mudslides kila mahali, mawe yanashushwa kutoka milimani kwenda tambarare, madaraja yalivunjwa, haikuwa poa hata kidogo. Nikiwa Iringa nikashindwa kwenda likizo, shule zimefungwa bahati nzuri bro alikuwa anaishi huko miaka hiyo.Nakumbuka El Nino ya mwanzo 1998 mamlaka ya hali ya hewa ilitoa utabiri na angalizo kua mvua zitakua kubwa sana na watu wachukue tahadhari ikiwa ni pamoja na kuhama mabondeni
Watanzania kama kawaida yao wakapuuza, sababu tu kulitokea mabadiliko kidogo kwenye utabiri. Mvua zikachelewa na vipindi vya jua kali vikawa virefu kidogo kuliko ilivyo tabiriwa
Miongoni mwa waliopuuza utabiri ni pamoja na watumishi waandamizi wa serikali. Aliyekua Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini wakati huo alizungumzia kwa kejeli kuhusiana na kukosekana kwa mvua
Kina cha maji katika mabwawa ya Mtera na Kidato ambavyo vilikua ndio vyanzo vikuu vya kuzalisha umeme nchini kilikua kimepungua kwa kiasi ambacho hakikuwahi kushuhudiwa katika historia ya mabwawa hayo na kukawa na tishio la kukauka kabisa
Ndipo Kiongozi huyo mwanadamizi wa Wizara(kama kumbukumbu zangu ziko sahihi alikua Ekiakimu Maswi) akatoa kauli kua mgao wa umeme utaendelea maana mabwawa yanaelekea kukauka na hata mvua inyeshe miaka kumi mfululizo haziwezi tena kujaza mabwawa hayo
Bwana eeh, hazikupita hata siku kumi mvua zikaitika! Zilikua mvua kubwa sana za kupita kiasi, mvua za uharibufu na madhara, mvua za shari zilizogharimu maisha ya watu, mali zao kama mazao shambani na majumba na miundombinu mbalimbali ya serikali kama barabara, njia za umeme na simu nk. Zilikua Mvua za El Nino
Ndani ya siku chache mabwawa yote ya Kidatu na Mtera yakawa yanatapika! Kingo zake zikasalimu amri kwa maji na sasa yakaenea katika makazi ya watu na kuzidi kuleta maafa badala ya heri
Tusipuuze tahadhari za wataalamu. Ingawa kuna wakati mwingine kunaweza kua na mabadiliko kiasi fulani kwenye utabiri wa hali ya hewa
Una uzoefu wa mvua za Elnino ngapi mkuu? Mvua ya Elnino ya 2923/2024 ilianza October,elnino ya 2015/2016 ilianza October,na Ile ya 1997/1998 ilianza September,sasa hii ya November itakuwa Elnino au mvua za masika za juu ya wastani?Kawaida, El nino huwa inachelewa!
Mkuu kaka yangu watu wengi hawana uelewa. Huu utabiri sio ramli ni uchunguzi uliofanya kupitia sattelites na kuona cyclones zinavyoenda na kwa kasi gani na zitafika wapi lini.Nakumbuka El Nino ya mwanzo 1998 mamlaka ya hali ya hewa ilitoa utabiri na angalizo kua mvua zitakua kubwa sana na watu wachukue tahadhari ikiwa ni pamoja na kuhama mabondeni
Watanzania kama kawaida yao wakapuuza, sababu tu kulitokea mabadiliko kidogo kwenye utabiri. Mvua zikachelewa na vipindi vya jua kali vikawa virefu kidogo kuliko ilivyo tabiriwa
Miongoni mwa waliopuuza utabiri ni pamoja na watumishi waandamizi wa serikali. Aliyekua Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini wakati huo alizungumzia kwa kejeli kuhusiana na kukosekana kwa mvua
Kina cha maji katika mabwawa ya Mtera na Kidato ambavyo vilikua ndio vyanzo vikuu vya kuzalisha umeme nchini kilikua kimepungua kwa kiasi ambacho hakikuwahi kushuhudiwa katika historia ya mabwawa hayo na kukawa na tishio la kukauka kabisa
Ndipo Kiongozi huyo mwanadamizi wa Wizara(kama kumbukumbu zangu ziko sahihi alikua Ekiakimu Maswi) akatoa kauli kua mgao wa umeme utaendelea maana mabwawa yanaelekea kukauka na hata mvua inyeshe miaka kumi mfululizo haziwezi tena kujaza mabwawa hayo
Bwana eeh, hazikupita hata siku kumi mvua zikaitika! Zilikua mvua kubwa sana za kupita kiasi, mvua za uharibufu na madhara, mvua za shari zilizogharimu maisha ya watu, mali zao kama mazao shambani na majumba na miundombinu mbalimbali ya serikali kama barabara, njia za umeme na simu nk. Zilikua Mvua za El Nino
Ndani ya siku chache mabwawa yote ya Kidatu na Mtera yakawa yanatapika! Kingo zake zikasalimu amri kwa maji na sasa yakaenea katika makazi ya watu na kuzidi kuleta maafa badala ya heri
Tusipuuze tahadhari za wataalamu. Ingawa kuna wakati mwingine kunaweza kua na mabadiliko kiasi fulani kwenye utabiri wa hali ya hewa
Ticha waambie wenzako muanze kuhama huko mabondeni achana na hekaya za abunuwasiUna uzoefu wa mvua za Elnino ngapi mkuu? Mvua ya Elnino ya 2923/2024 ilianza October,elnino ya 2015/2016 ilianza October,na Ile ya 1997/1998 ilianza September,sasa hii ya November itakuwa Elnino au mvua za masika za juu ya wastani?
By the way Elnino ilianza zamani,hata hii hali tunayopitia pia ni elnino.
Mkuu najua kuwa Elnino ipo,hata hii hali ya ukame ni Moja ya athari zake,kitu unachitakiwa kujua ni kwamba kwa East African countries kukiwa na elnino Duniani ,sisi lazima lazima tupate mvua kubwa lakini sio kanuni,lolote laweza tokea kati ya mvua au ukameTicha waambie wenzako muanze kuhama huko mabondeni achana na hekaya za abunuwasi
Mkuu najua kuwa Elnino ipo,hata hii hali ya ukame ni Moja ya athari zake,kitu unachitakiwa kujua ni kwamba kwa East African countries kukiwa na elnino Duniani ,sisi lazima lazima tupate mvua kubwa lakini sio kanuni,lolote laweza tokea kati ya mvua au ukame