Jua linaua kila mmea, halafu TMA wanasema kuna El Nino

Jua linaua kila mmea, halafu TMA wanasema kuna El Nino

SOUTH AFRICA WANASEMA KUTAJUWA NA UKAME USIO ELEZEKA.YANI ELININO YA JUA KALI SANA.

1. Mvua kuwa chini ya kiwango cha kawaida
Maeneo mengi ya Afrika Kusini yanatarajiwa kupata mvua chache kuliko kawaida.
Hali hii inatarajiwa kuonekana kuanzia Oktoba hadi Desemba 2026.
Hali ya ukavu inaweza kuendelea katika baadhi ya maeneo hadi mwanzoni mwa mwaka 2027.
South African Government +1

2. Joto kali kuliko kawaida
Joto linatarajiwa kuwa juu ya wastani katika maeneo mengi.
Mawimbi ya joto
(heatwaves) yanaweza kutokea mara nyingi zaidi.
Hali hii inaweza kuongeza mahitaji ya maji na umeme.
SAnews

3. Hatari ya ukame Mvua zikipungua kwa muda mrefu, nchi inaweza kukabiliwa na:
Upungufu wa maji katika baadhi ya maeneo.
Kupungua kwa unyevunyevu wa udongo.
Kupungua kwa uzalishaji wa mazao.
Changamoto kwa wafugaji kutokana na upungufu wa malisho na maji.
 
Watu wanapuuzia ila hii mvua ikianza wanaanza kutoa vilio. Waambie wahane mabondeni
Tatizo TMA walisema kuanzia Oct mosi kutakuwa na Elninyo mpaka tarehe 10 OCt za kufa mtu ,sasa watu wakipata picha ya elninyo ya mwaka 97/98 wakicompare na sasa wanaona kama MATANGO PORI TMA walitulisha.

Kwahiyo TMA kama wanabashiri hivi ,hawana uhakika ,mbona kupatwa kwa jua au mwezi NASA wanajua bila kukosea hata sekunde kwanini TMA kuhusu Elninnyo wanapuyanga? Mbona nchi zenye mifumo mizuri kama Japenga hawakoseai?
 
Kuleni hizo 700+ billion na maisha yaendelee
El Niño ni mfumo wa asili wa hali ya hewa unaotokana na kuongezeka kwa joto la maji ya bahari katika Bahari ya Pasifiki ya Kati na Mashariki, unaosababisha mabadiliko makubwa ya hewa duniani. Kinyume na dhana ya wengi, El Niño yenyewe si mvua, bali ni mabadiliko ya joto yanayoweza kuleta mvua zilizozidi wastani au ukame kulingana na jiografia ya eneo husika.
 
Tatizo wengi wajinga, elnino sio mvua. Ni hali ya hewa yenye impact tofauti kulingana na eneo, kuna sehemu elnino inakua ukame mkali saba, kwengine barafu, kwengine mvua kubwa.

Acheni ujuaji
mmMMh! Mbona tunaanza mdogomdogo kubadili game? TMA ambao ndo wamekasimiwa Jukumu(kazi) na Wajibu wa kutoa Taarifa sahihi walau kwa kiasi fulani kuhusu Hali ya Hewa na Tahadhari gani zichukuliwe ili kukabiliana (Mitigate) na yanayoweza kutokea Nchini mwetu HAWAKUANGALIZA hilo unalosema la Ukame. au Kwani ile sevenB kodi yetu imeisha inatafutwa njia ya kuTop Up?
 
Tatizo TMA walisema kuanzia Oct mosi kutakuwa na Elninyo mpaka tarehe 10 OCt za kufa mtu ,sasa watu wakipata picha ya elninyo ya mwaka 97/98 wakicompare na sasa wanaona kama MATANGO PORI TMA walitulisha.

Kwahiyo TMA kama wanabashiri hivi ,hawana uhakika ,mbona kupatwa kwa jua au mwezi NASA wanajua bila kukosea hata sekunde kwanini TMA kuhusu Elninnyo wanapuyanga? Mbona nchi zenye mifumo mizuri kama Japenga hawakoseai?
Bongo nyoso
 
Ww kila kitu kusifia kuna vitu uweu akausha kama binadamu maaana tunakujua kuwa ww ni shoga
mihemko yanini sasa jukwani gentlema,?

si ueleze tu athari za El nino bila makasiriko na itapendeza zaidi🐒
 
Nenda kwenye page za wasafi Tv kuna mTMA mmoja alikuwa nahojiwa kuhusu elinino alisema elinino hamanishi mvua tu hata jua kali linaweza kuwa elinino.
Huyo mwamba mTMA alitokea wapi na ilikuwa ni majira ya saa ngapi? Usikute aliyekuwa anamhoji alisahau kumwuliza: jua kali na tahadhari ya kuhama mabondeni kuna uhusiano gani?
au labda alitokea kule Kitambaa cheupe?
Yaani bongo kila kitu ni utapeli
Yeah. Zile 780 B zitawatesa sana.
 
Huyo mwamba mTMA alitokea wapi na ilikuwa ni majira ya saa ngapi? Usikute aliyekuwa anamhoji alisahau kumwuliza: jua kali na tahadhari ya kuhama mabondeni kuna uhusiano gani?
au labda alitokea kule Kitambaa cheupe?

Yeah. Zile 780 B zitawatesa sana.
Ilikuwa ni kipindi cha jana na leo alikuwa na hojiwa na Oscar Oscar, Edo Kumwembe na Adela Tilya
 
Back
Top Bottom