CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Tatizo TMA walisema kuanzia Oct mosi kutakuwa na Elninyo mpaka tarehe 10 OCt za kufa mtu ,sasa watu wakipata picha ya elninyo ya mwaka 97/98 wakicompare na sasa wanaona kama MATANGO PORI TMA walitulisha.Watu wanapuuzia ila hii mvua ikianza wanaanza kutoa vilio. Waambie wahane mabondeni
Kawaida, El nino huwa inachelewa!
El nino haimaanishi mvua tu... Bali husababisha sehemu fulani mvua kubwa na mafuriko na kwingine joto na ukameKuleni hizo 700+ billion na maisha yaendelee
El Niño ni mfumo wa asili wa hali ya hewa unaotokana na kuongezeka kwa joto la maji ya bahari katika Bahari ya Pasifiki ya Kati na Mashariki, unaosababisha mabadiliko makubwa ya hewa duniani. Kinyume na dhana ya wengi, El Niño yenyewe si mvua, bali ni mabadiliko ya joto yanayoweza kuleta mvua zilizozidi wastani au ukame kulingana na jiografia ya eneo husika.Kuleni hizo 700+ billion na maisha yaendelee
Mi nakusanya tu majina ya wale wanaobeza na kutoa maneno ya kashfa halafu ngoma itakapoanza na kukolea; nitawakumbusha ili waWithdraw kauli zao kama watakuwa bado hawajatangulizwa.Watu wanapuuzia ila hii mvua ikianza wanaanza kutoa vilio. Waambie wahane mabondeni
mmMMh! Mbona tunaanza mdogomdogo kubadili game? TMA ambao ndo wamekasimiwa Jukumu(kazi) na Wajibu wa kutoa Taarifa sahihi walau kwa kiasi fulani kuhusu Hali ya Hewa na Tahadhari gani zichukuliwe ili kukabiliana (Mitigate) na yanayoweza kutokea Nchini mwetu HAWAKUANGALIZA hilo unalosema la Ukame. au Kwani ile sevenB kodi yetu imeisha inatafutwa njia ya kuTop Up?Tatizo wengi wajinga, elnino sio mvua. Ni hali ya hewa yenye impact tofauti kulingana na eneo, kuna sehemu elnino inakua ukame mkali saba, kwengine barafu, kwengine mvua kubwa.
Acheni ujuaji
Unajua Kutokea wapi? Rufiji kwa Kinjeketile? We are talking science!Ninavyojua mimi El nino itaanza na muandamo wa Mwezi unaofuata!
Shukuru watoto watakuwa washamaliza mitihani!
Wahame wachukue tahadhariWatu wanapuuzia ila hii mvua ikianza wanaanza kutoa vilio. Waambie wahane mabondeni
Ww kila kitu kusifia kuna vitu uweu akausha kama binadamu maaana tunakujua kuwa ww ni shogakwani athari za Elnino ni zipi gentleman?🐒
Bongo nyosoTatizo TMA walisema kuanzia Oct mosi kutakuwa na Elninyo mpaka tarehe 10 OCt za kufa mtu ,sasa watu wakipata picha ya elninyo ya mwaka 97/98 wakicompare na sasa wanaona kama MATANGO PORI TMA walitulisha.
Kwahiyo TMA kama wanabashiri hivi ,hawana uhakika ,mbona kupatwa kwa jua au mwezi NASA wanajua bila kukosea hata sekunde kwanini TMA kuhusu Elninnyo wanapuyanga? Mbona nchi zenye mifumo mizuri kama Japenga hawakoseai?
mihemko yanini sasa jukwani gentlema,?Ww kila kitu kusifia kuna vitu uweu akausha kama binadamu maaana tunakujua kuwa ww ni shoga
Oya dogo mkaldayo usitutukane sisi siyo kenge. Kuwa makini na hiyo mifugo hapo chaka ni muda wa kuanza kuwarudisha sisini.UN wametoa alert na redcross wameshajiaanda kuokoa watu ila kenge hazisikiagi mpaka zitoke damu
Huyo mwamba mTMA alitokea wapi na ilikuwa ni majira ya saa ngapi? Usikute aliyekuwa anamhoji alisahau kumwuliza: jua kali na tahadhari ya kuhama mabondeni kuna uhusiano gani?Nenda kwenye page za wasafi Tv kuna mTMA mmoja alikuwa nahojiwa kuhusu elinino alisema elinino hamanishi mvua tu hata jua kali linaweza kuwa elinino.
Yeah. Zile 780 B zitawatesa sana.Yaani bongo kila kitu ni utapeli
Hahahaaa.Oya dogo mkaldayo usitutukane sisi siyo kenge. Kuwa makini na hiyo mifugo hapo chaka ni muda wa kuanza kuwarudisha sisini.
Mbusii ww
Ilikuwa ni kipindi cha jana na leo alikuwa na hojiwa na Oscar Oscar, Edo Kumwembe na Adela TilyaHuyo mwamba mTMA alitokea wapi na ilikuwa ni majira ya saa ngapi? Usikute aliyekuwa anamhoji alisahau kumwuliza: jua kali na tahadhari ya kuhama mabondeni kuna uhusiano gani?
au labda alitokea kule Kitambaa cheupe?
Yeah. Zile 780 B zitawatesa sana.