Jua linaua kila mmea, halafu TMA wanasema kuna El Nino

TMA wajifunze kumeng'enya taarifa zao labla ya kuzitoa kwa umma.

Maelezo aliyoyatoa huyo mwamba pale wasafi nimeyaelewa ila ilitakiwa tangu mwanzo watumie lugha rahisirahisi kuliko kuleta taharuki mara mbilimbili mwisho watu wanakupuuza.
 
Ilikuwa ni kipindi cha jana na leo alikuwa na hojiwa na Oscar Oscar, Edo Kumwembe na Adela Tilya
Lakini Leo 22/10/2026 majira ya saa Nne; TMA wameweza kurudia Tahadhari yao na kusema: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesisitiza mvua kubwa za El Nino zipo na zitakuwa kubwa kuliko zilizotangulia.............. Soma uzi wa carbohydates uliopandishwa 10:04 am.
 
TMA wajifunze kumeng'enya taarifa zao labla ya kuzitoa kwa umma.

Maelezo aliyoyatoa huyo mwamba pale wasafi nimeyaelewa ila ilitakiwa tangu mwanzo watumie lugha rahisirahisi kuliko kuleta taharuki mara mbilimbili mwisho watu wanakupuuza.
BTW; aliyekuwa anahojiwa sio Msemaji wa TMA - Dkt. Chang'a.
 
Sio msemaji ila kaelezea kwa upana.
Ndiyo; ameeleza kwa mapana lakini hakuwa Focused kwenye Hoja Mtambuka i.e. TMA walitoa Utabiri wa uwepo wa mvua kubwa za El nino zitakazoanza Sept - hadi Dec 2026. lakini hadi leo mwishoni mwa Okt. 2026 hakuna kilichotokea.
Utabiri huo ulikuwa Fake? Yeye ametoa maelezo ambayo ni for Academic jargon/purposes wakati watu/wadau wanataka Uthibitisho wa Ni kweli au ni Ulaghai na Ilkuwa ni Danganya toto ili zile 780 B fedha za kodi zetu zitakasike au zihalalishwe kulambwa?.
 
Hiki alichokisema leo ndicho walichotakiwa kukisema mwanzo.
Na sio yale makadirio ya mpaka wiki za hizo mvua kuanza, walijipa uhakika kupitiliza.
 
Na kimvua kikinyesha hata kidogo kinakuwa na upepo mkali kweli.
 
Hiki alichokisema leo ndicho walichotakiwa kukisema mwanzo.
Na sio yale makadirio ya mpaka wiki za hizo mvua kuanza, walijipa uhakika kupitiliza.
Nime tanabahisha hapo juu kwamba Huyo sio msemaji wa TMA. Kila Taasisi ina Msemaji Rasmi. Msemaji Rasmi wa TMA ni dkt. Chang'a kama sijakosea. Hao watumishi wengine chini ya Mamlaka ya TMA wanaweza kusema lakini hawatawajibika (hawatakuwa Responsible) kwa lolote lile litakalotokea kutokana na alichokisema. Hapo huyo mwamba alikuwa anatoa somo au elimu(Tuition)baas' na wala sio Taarifa Rasmi ya TMA. yani kwa maneno mepesi, uko huru unaweza kuyachukua au kuyatupilia mbali i.e. Kutokuyazingatia. Lakini Taarifa Rasmi ya Serikali ambayo Msemaji Rasmi ni Dr.Chang'a ndo inayoaminika. Hizo nyingine ni for Home consumption
 
El nino ya 1997/98 tuliambiwa tujiandae kulima mazao yanayostahimili ukame, badala yake mvua za el nino zilianza mwishonimwishoni mwa mwezi November na hizo za September kama unavyosema yalikuwa ni manyunyu ya mbalimbali sana na dalili zote ziliashiria ukame uliokubuhu!
 
Umeshaambia kuwa El Nino si mvua
 

Attachments

  • 6422772-6b5ccf2e9c8bcd6b39da527800d07da.mp4
    14.5 MB
Umeishia darasa la Ngapi?
 
Kipindi cha Jiwe kuna 1.5 Tr. Hazikujulikana zilipo..
CCM ni Mchwa...
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…