Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,311
Sasa kwa nini jubilee walalamije?wanaogopa nini?kama tume ya uchaguzi imeamuo wao kwa nini waogope?kama sio kujiamini ni nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Butola hao 377000 walikuwa wapiga kura? Kama jibu ni ndiyo kama hawakuona mgombea anayefaa unataka kura yake isihesabiwe?
swali la kizushi:
Tuseme zimepigwa 100,kura 20 zikaenda kwa Raila,kura 25 zikaenda kwa Uhuru na kura 55 zikaharibika,hivi Uhuru atatangazwa kuwa ni Rais wa Kenya?
Sasa kwa nini jubilee walalamije?wanaogopa nini?kama tume ya uchaguzi imeamuo wao kwa nini waogope?kama sio kujiamini ni nini.
Hata mimi nilibaki nimeduwaa.lets waiteeeh! eti mtandao wa IEBC umekuwa hucked....!!?? yangu macho
Butola Agatany8I IEBC wako sahihi kimahesabu. Watu wa HGL mnaweza msielewe; Ili mgombea atangazwe mshindi wa uraisi anatakiwa kupa zaidi ya 50% ya kura zilizopigwa na majimbo 24 kati ya majimbo 47. "Variable" hapa ni kura zilizopigwa na idadi ya majimbo mgombea aliyoshinda (kukubalika kitaifa).
Kura zilizopigwa (X) = kura walizopata wagombea wote + kura zilizoharibika.
Ili mgombea "A" atangazwe mshindi kura alizopata A/X lazima ziwe zaidi ya 50%.
Wakifanya kama Jubilee Coalition wanavyotaka maana yake hata kama wagombea wote wangekataliwa na wapiga kura (kura za maruhani) bado tume ingetangaza mshindi kati ya wale waliopigiwa kura
Butola define "All votes"...Kwa sababu wanaamini kuwa katiba iliposema 50%+1 of All Votes ilimaanisha 50%+1 ya "Kura Halali", na tayari kigezo hicho wanaamini wamekifikia...
...By the way, tume mpaka sasa ndivyo ilivyodefine, so ndivyo nao walivyokuwa wanaamini...
By Vitalis Kimutai and Peter Opiyo
Nairobi, Kenya: The Jubilee Coalition has contested the move by the electoral commission to include spoilt votes in calculating the presidential tally.
They objected the decision to count invalid votes along with the valid ones as part of the overall tally that would define whether any candidate has secured the 50 per cent plus one constitutional threshold.
Jubilee blamed foreign missions for allegedly influencing the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) to take that position in tabulating the figures which it claimed was meant to deny the coalition a win in the first round of the contest.
IEBC had earlier stated the Constitution envisages the inclusion of all votes cast in calculating the percentage of the presidential tally.
According to the Constitution, a presidential candidate must garner 50 per cent plus one vote of all votes cast to be declared the winner.
Jubilee running mate William Ruto addressed the media at Bomas last night, but also appealed to Kenyans to remain calm as they take up the matter with the IEBC.
"We are aware some foreign missions have taken a position on this matter and have been canvassing to have IEBC include the spoilt votes in calculating the per centage," Ruto said.
He added: "Jubilee Coalition is concerned over the sudden change of rules by IEBC which to us is meant to deny us a first round win," he said.
Ruto said they would move to court to challenge IEBC on the matter if it becomes necessary.
Standard Digital Mobile - Kenya :: Jubilee protests IEBC's move on spoilt votes
A standoff erupted over the exclusion of rejected and disputed votes in the Independent Electoral and Boundaries Commission's calculations of the percentages held by the candidates. IEBC has been displaying the percentage for valid votes only. However, CORD pointed out the Constitution sets the threshold for victory at 50 per cent plus one vote for "all votes cast".
IEBC Chairman Ahmed Issack Hassan last evening announced that the percentages would now be worked out using total votes cast (including rejected and disputed votes). This immediately sparked a protest from the Jubilee alliance, whose officials say he was misinterpreting the law.
Standard Digital Mobile - Kenya :: Uhuru leads in provisional results
My Take:
Nakubaliana na Jubillee, "Kura Zilizoharibika ni Kama Mgombea wa Maruhani", kuzijumlisha kura hizi kwenye kutafuta percentage ya kura za wagombea kutasababisha ata kwenye uchaguzi wa marudio, wa washindi wawili wa juu, uwepo uwezakano pia wa kutopatikana mshindi, kwa sababu japo tutawaona Uhuru na Odinga, lakini kutakuwa pia na mgombea, "Kura Zilizoharibika"..
Ikumbukwe kuwa katika matokeo ya mpaka sasa, mgombea huyu "Kura Zilizoharibika", amekamata nafasi ya tatu nyuma ya Uhuru na Odinga.
Butola Agatany8I IEBC wako sahihi kimahesabu. Watu wa HGL mnaweza msielewe; Ili mgombea atangazwe mshindi wa uraisi anatakiwa kupa zaidi ya 50% ya kura zilizopigwa na majimbo 24 kati ya majimbo 47. "Variable" hapa ni kura zilizopigwa na idadi ya majimbo mgombea aliyoshinda (kukubalika kitaifa).
Kura zilizopigwa (X) = kura walizopata wagombea wote + kura zilizoharibika.
Ili mgombea "A" atangazwe mshindi kura alizopata A/X lazima ziwe zaidi ya 50%.
Wakifanya kama Jubilee Coalition wanavyotaka maana yake hata kama wagombea wote wangekataliwa na wapiga kura (kura za maruhani) bado tume ingetangaza mshindi kati ya wale waliopigiwa kura
Butola wewe unang'angania "simple majority" ambayo ni sheria ya Tanzania wao sheria ya 50% + 1. Sijui kwa nini unaogopga wale 377,000 kwamba uchaguzi ukirudiwa wataendelea kuharibu kura? Na zile za Keneth na wenzake si zitaongeza kura za mshindi?
Mkuu unachosema hakileti maana hata kidogo, kinachotakiwa ni kuhesabu kura halali na kura zilizoharibika sio halali-mi nikichora "ZOMBIE" au "MESS" au nikiandika bongo fleva kwenye karatasi ya kura na kuitumbukiza kwenye ballot box utaiita kura halali na kuihesabu? Jubilee wana haki ya kulalamika na kama sheria ndio inataka hivyo basi ni sheria ya hovyo na ya kipumbavu!
...Umeweka mfano mzuri sana hapa, sasa je mtu huyu aliyechora Zombie kwenye karatasi ya kura ana tofauti gani na mtu ambaye "alijisajiri kupiga kura" lakini "hakujitokeza kupiga kura"?logically huyu nae ni kama yule ambaye hajajitokeza, kama ndivyo basi kwanini matokeo yasikokotolewe kutokana na "registered voters"?..
...Naamini IEBC hawatauingia huu mkenge, wakishindwa basi mahakama itatoa definition nzuri ya "Total Votes Cast" na Jubillee kupewa ushindi wao wa "kipindi cha kwanza"..
Mkuu hiyo ndio demokrasia sasa, kwa kizungu changu cha kuunga unga wanasema Democracy is the dictatorship of the majority to the minority, as long as below 50% is regarded as a minority then they should agree with the majority which is above 50%.Ninachomaanisha, ni maoni ya wapiga kura 49.9% hayatazingatiwa? Demokrasia iko wapi hapo? hata kama atapata 52% na mwezake 48% hakuna demokrasia hapo! Bora gepu liwe kubwa ndo mmoja apewe mamlaka ya kuendesha nchi otherwise wote waendeshe nchi pamoja kama ilivo kenya/zimbabwe kwa sasa na si mpaka manung'uniko na fujo zitokee ndio wajue wanaweza fanya kazi pamoja?
Butola said:My Take:
Nakubaliana na Jubillee, "Kura Zilizoharibika ni Kama Mgombea wa Maruhani", kuzijumlisha kura hizi kwenye kutafuta percentage ya kura za wagombea kutasababisha ata kwenye uchaguzi wa marudio, wa washindi wawili wa juu, uwepo uwezakano pia wa kutopatikana mshindi, kwa sababu japo tutawaona Uhuru na Odinga, lakini kutakuwa pia na mgombea, "Kura Zilizoharibika"..
Ikumbukwe kuwa katika matokeo ya mpaka sasa, mgombea huyu "Kura Zilizoharibika", amekamata nafasi ya tatu nyuma ya Uhuru na Odinga.
Butola; According to the Constitution said:of all votes cast[/COLOR] to be declared the winner.
Butola hao 377000 walikuwa wapiga kura? Kama jibu ni ndiyo kama hawakuona mgombea anayefaa unataka kura yake isihesabiwe?